Leo Jumatano tarehe 16/12/2020 kutakuwa na uzinduzi wa balaza la madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo
Tukio hili litaambatana na matukio kadhaa ikiwemo Madiwani Kula Viapo Kujaza Fomu za Maadili Kuunda Kamati mbalimbali lakini pia kupokea taarifa ya utekelezaji wa shughuli mbalimbali zilizofanyika wakati hawapo.
Matukio mengine itakuwa kupokea Maelekezo kutoka Serikali kuu kwa madiwani na Wakuu wa Idara kutoka kwa Mh.Mkuu wa Wilaya. Baada ya Mkutano kutakuwa na Chakula maalum na Burudani, ambapo tukio yanatarajiwa kuanza saa 2.30 asubuhi. Balaza la madiwani Busokelo lina madiwani 18 wakiwemo wakuchaguliwa 13 na Viti Maalum 5.
Lwangwa, Tukuyu
Anuani ya Posta: S. L. P. 2, Tukuyu
Simu: +255 737 205 318
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@busokelodc.go.tz
Hakimiliki ©2019 Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo. Haki zote zimehifadhiwa.