• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua ya Pepe |
Busokelo District Council
Busokelo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango na Takwimu
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Usafishaji na Mazingira
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Ujenzi na Zima moto
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Ufugaji Nyuki
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Utawala na Mipango
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Elimu Afya na Maji
      • Kamati ya kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Uchumi Ujenzi na Mazingira

Majukumu ya jumla

Kamati hii itashughulikia masuala ya uzalishaji mali ikiwemo kilimo, mifugo, viwanda, madini, Biashara n.k. Aidha itashughulikia pia miundombinu na suala zima la mendeleo ya Ardhi na hifadhi ya mazingira.

Majukumu Maalum ya Kamati;

  1. kupendekeza kwa Halmashauri mipango ya kupanua biashara na jinsi ya kukusanya mapato yatokanayo na upanuzi huo.
  2. kupendekeza mipango ya matumizi ya ardhi katika eneo la Halmashauri
  3. kusimamia matumizi ya Sheria ya nguvu kazi.
  4. kuandaa mipango madhubuti ya maendeleo ya upanuzi wa kilimo katika Halmashauri
  5. kusimamia  na  kuhakiki  miradi  ya  ujenzi  wa  masoko,  minada,majosho  na  vituo  vya mifugo.
  6. kushughulikia uanzishaji na uendelezaji wa vyama vya ushirika kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Ushirika.
  7. Kubuni na kupendekeza namna ya kidhibiti moto
  8. kuhakikisha kwamba ukaguzi wa majengo unafanyika mara kwa mara.
  9. kupendekeza mipango madhubuti ya ujenzi wa barabara vijijini na wilayani kwa ujumla. 
  10. kusimamia na kuhakiki maeneo ya misitu, mapori, na  mbuga zilizotengwa kama hifadhi ya mamlaka ya Serikali za Mitaa.

Matangazo

  • Tangazo la kuitwa kwenye Usaili May 05, 2018
  • Tangazo la nafasi ya Kazi April 09, 2018
  • Matokeo ya Kidato cha nne (CSEE) 2017 January 31, 2018
  • TANGAZO LA AJIRA YA MKATABA January 19, 2018
  • Angalia zote

Habari mpya

  • Wadau wa Afya Busokelo wakutana kujadili utekelezaji wa ubia na changamoto zake

    November 27, 2018
  • Lazima tubadilike kiutendaji-Bendera

    November 16, 2018
  • Waratibu wa Elimu Kata Busokelo wakabidhiwa pikipiki

    October 03, 2018
  • Watumishi Busokelo waaswa kutojihusisha na ‘domokrasia’

    September 12, 2018
  • Angalia zote

Video

Uzinduzi wa gulio soko la Kisegese
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Watumishi Portal
  • Hati ya Mshahara
  • Orodha ya Madiwani
  • Maktaba ya Picha

Viunganishi Linganifu

  • Utumishi wa Umma
  • TAMISEMI
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya Rais
  • Tovuti ya Mkoa wa Mbeya
  • Sekretarieti ya Ajira

Kipimo cha Wateja duniani

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Lwangwa, Tukuyu

    Anuani ya Posta: S. L. P. 2, Tukuyu

    Simu: +255 737 205 318

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded.busokelo@mbeya.go.tz

Mawasiliano mengine

   

Wateja waliotembelea

writingMasterThesis

    • Sera za Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo. Haki zote zimehifadhiwa.