• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Busokelo District Council
Busokelo District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Busokelo District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Adminstration
    • Organization Structure
    • Departments
      • Adminstration and Human Resource
      • Planning and Statistics
      • Finance and Trade
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Health
      • Water
      • Sanitation and Environment
      • Agriculture, Irrigation and Cooperatives
      • Livestock and Fisheries
      • Development and Social Walfare
      • Land and Natural Resouces
      • Construction, Fire and Works
    • Units
      • Internal Audit
      • Bee Keeping
      • Election
      • Legal
      • Ict
      • Procurement and Supplies
  • Investment Oppotunities
    • Tourism
    • Agricultural
    • Livestock
    • Fishing
    • Bee Keeping
    • Industries
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
  • Councilors
    • Councilors list
    • Standing Committee
      • Finance Planning and Adminstration
      • Economy Works and Environment
      • Education Health and Water
      • CMAC
      • Ethics committee
    • Schedules
      • Councilors schedule meetings
      • Chairperson schedule
  • Projects
    • Planned projects
    • On going projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Acts
    • Customer service contrct
    • Strategic plan
    • Reports
    • Application Forms
    • Guidelines
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

Itete ward

TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA UTAWALA NA MIRADI YA MAENDELEO KUTOKA KWENYE KATA YA ITETE, KWA ROBO YA 3 KWA MWAKA WA FEDHA 2017/2018

NA.
MAELEZO
(1) TAARIFA YA UTAWALA BORA
 
Kata ya Itete ina jumla ya Vijiji 5 Vitongoji 29 na Kata ina humla ya wakazi 8745 Kata yetu ina jumla ya watumishi 83 wa kada mbalimbali kama ifuatavyo;-

NA.

KATA

MAHITAJI

WALIOPO

MAPUNGUFU


SEKTA YA UTAWALA




1

VEOs na WEOs
5
2
3

2

Walinzi
9
0
9






SEKTA YA JAMII




1

Elimu ya Msingi
71
49
22

2

Elimu ya Sekondari
20
23
1

3

Maji
6
0
6

4

Maendeleo ya Jamii
6
0
6

5

Afya, Wahudumu wa Afya ya Msingi
4
4
0

SEKTA TA UCHUMI




1

Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
6
3
3

2

Mifugo na Uvuvi
6
1
5

3

Ardhi, Maliasili na Utalii
1
0
1

MIKUTANO/VIKAO VYA KISHERIA

NA.

KIKAO/

MKUTANO

SHABAHA YA ROBO III

AKIDI

VIKAO/MIK

UTANO ILIYOFANYI

KA

AKIDI

VIKAO/

MIKUTA

NO

ISIYOFA

NYIKA

HATUA

ZILIZO

CHUKULI

WA


Mikutano
Mikuu ya vitongoji
(3x idadi ya vitongaji)
87
13050
83
12870
4
VEOs wanaendelea kuhamasisha Wenyeviti wa Vitongoji umuhimu wa mikutano ili iendelee kufanyika kila mwezi.

Kamati za Halmashauri
Ya kijiji.
(3 kila kamati x Idadi ya kamati  x Idadi ya Vijiji)
45
270
41
270
4


Halmashauri ya Kijiji (3 x Idadi ya Vijiji)
15
375
15
345
0


Mikutano mikuu ya Kijiji  (1 X IDADI YA Vijjiji)
5
6465
5
6491
0


Timu ya Menejimenti ya Kata (WMT) (1 X Kimoja kila mwezi.)
3
51
3
33
0


Kamati ya Maendeleo ya Kata (KAMAKA)
1
25
1
21
0









Vikao vya dharura vilivyofanyika na sababu za udharura huo.
Kikao kimefanyika kimoja cha dharura kwa KAMAKA Aprili, 26 2018 kwa ajili ya kujaza taarifa ya robo ya pili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo ya kata kwa mwaka wa fedha 2017/2018.
 
(II) USTAWI WAJAMII NA MAJANGA
Kata  yetu kwa upande wa hali ya ustawi wa wananchi hali ya chakula ni nzuri na majanga ya kibinadamu yaliyojitokeza kwa kipindi hiki ni kama ifuatavyo;-
(III) TAARIFA YA AFYA
Kwa upande wa sekta ya afya kata ina  jumla ya vituo vya kutolea huduma za afya 1 Kwa robo hii wananchi waliojiunga na Mfuko wa Afya ya Jamiii (CHF) ni 43  Na mchango iliyokusanywa kwa ajili ya CHF ni Tshs 360,000.00 Kata ina jumla ya nyumba za watumishi wa afya 2 na mapungufu ya nyumba za watumishi wa kada hiyo ni 2
Vilevile, kwa taarifa za vizazi na vifo vilivyojitokeza katika kata hii ni kama ifuatavyo;-
  • Idadi ya watoto waliozaliwa kwenye vituo vya kutolea huduma ya afya ni 23
  • Idadi ya watoto waliozaliwa nyumbani ni 4
  • Idadi ya watoto wachanga waliofariki ndani ya siku 7 baada ya kuzaliwa ni 0
  • Idadi ya vifo vya watoto wenye umri wa chini ya miaka 5 ni 0
  • Idadi ya vifo kwa wajawazito  ni 0
  • Idadi ya vifo vya wakina mama waliofariki ndani ya siku 42 baada ya kujufungua ni 0
  • Idadi ya vifo vya watu kuanzia miaka 5 na kuendelea ni 0
(IV) ULINZI NA USALAMA
Mheshimiwa Mwenyekiti, katika suala la uimarishaji dhana ya uzalendo na Utaifa, mafunzo ya jeshi la mgambo yametolewa/hayajatolewa waliopata mafunzo jumla yake ni 0 (Me 0 Ke 0).  Vilevile katika kata hii kuna jumla ya Polisi jamii 0 (Me 0 Ke 0) na hali ya usalama ni nzuri (matukioo ya uharifu yaliyojitekeza) (yataje).
  • ……………………………………
  • …………………………………
  • ………………………………….
  • ………………………………….
(V) HUDUMA ZA KILIMO NA MIFUGO
Kata hii huduma za ugani zinatolewa kwa kupitia Maafisa Ugani wa Wagani kazi waliopo katika Kata.   Idadi ya wagani kazi katika kata hii ni 0 (Me 0 Ke 0)
Katika kata kuna jumla ya taasisi 1 Zinazotoa huduma za kifedha kama ufuatavyo;

NA.

JINA LA

TAASISI/

CHAMA

IDADI YA

WANANCHI

IDADI YA

HISA

JUMLA YA

MTAJI

 



ME
KE


1
Itete Saccos
64
46
248

























Katika Kata hali ya uwepo wa zana za Kilimo ni mbaya (nzuri, wastani au mbaya) na upatikanaji wa pembejeo za Kilimo ni mbaya
Kata inajushughulisha na shughuli za mifugo na kilimo.
Mazao makuu yanayolimwa katika Kata hii ni mahindi, maharage, mpunga na kakao.
Mifugo ni ng’ombe, nguruwe, mbuzi, kuku, bata, nk.
 
(VI) HUDUMA ZA KISHERIA
Mheshimiwa  Mwenyekiti, katika Kata yetu Baraza la Kata/ Ardhi limeundwa na lina jumla ya wajumbe 8 (Me 5, Ke 3).  Baraza la Kata/Ardhi limeshughulikia jumla ya mashauri 8 na mashauri yanayoendelea ni 0 na makusanyo ya Baraza hili ni Tshs 60,000.00 Kwa robo hii.
(VII) SHUGHULI ZA KIUCHUMI NA MAKUSANYO YA MAPATO
  • Shughuli za kiuchumi
Kata hii ina jumla ya shughuli kuu 3 (taja idadi) za kiuchumi zinazotokelezwa na wananchi.  Shughuli hizo ni kama ifuatavyo;-
  • Ufugaji
  • Kilimo
  • Biashara ndogo ndogo
  • ………………………………
  • Makusanyo ya mapato
Kata  yetu kwa robo hii ya 3 imekisia kukusanya jumla ya Tshs 6,700,000.00 kwa kipindi cha robo hii kata imekusanya jumla ya Tshs 6,388,430.00 sawa na asilimia 95.4 ya makisio ya makusanyo ya robo mwaka.  
Mapato hayo yamepatikana  kutokana na vyanzo vya mapato vya mbao, machinjio, mahindi, baraza la kata, maziwa, vibali vya kusafirisha mifugo.
Mapato ya machinjio kwa robo hii ni Tshs 527,000.00
Vilevile, mapato hayo yamekusanywa katika Vijiji vifuatavyo;
  • Kijiji cha Selya, Tshs 2,014,988.00
  • Kijiji cha Kabembe, Tshs 1,800,000.00
  • Kijiji cha Busoka, Tshs 1,331,475.00
  • Kijiji cha Kibole, Tshs 792,974.00
  • Kijiji cha Kilugu, Tshs 388,993.00
  • Baraza la usuluhishi la kata, Tshs 60,000.00
Aidha, kata hii imekusanya jumla ya Tshs 6,714,000.00 Ambayo ni michango ya miradi ya maendeleo inayotekelezwa ndani ya kata yetu.
Kati ya kiasi hicho cha fedha, Taslimu ni Tshs 2,564,000.00 na Thamani ya Nguvu kazi ni Tshs 4,150,000.00 Kwa mchanganuo ufuatao wa nguvu kazi.
 

NA

AINA YA NGUVU KAZI

IDADI

THAMANI YA FEDHA

1
Kusaidia mafundi ujenzi wa darasa shule ya msingi Busoka
13
600,000.00
2
Kusaidia mafundi ujenzi wa madarasa 2 na ofisi shule ya msingi Kibole
15
1,600,000.00
3
Kusaidia mafundi ujenzi na kupaka chokaa choo shule ya msingi
10
150,000.00
4
Kusaidia mafundi ukarabati wa nyumba za walimu 4 shule ya msingi Ngana
160
800,000.00
5
Kuchimba mifereji ya miundombinu ya maji shule ya msingi Itete
120
600,000.00
6
Kusaidia mafundi ujenzi kuseti msingi wa jengo la choo shule ya msingi Itete
5
150,000.00
7
Kuandaa eneo la ujenzi wa zahanati ya kijiji cha Busoka
250
150,000.00
8
Kuandaa eneo la ujenzi wa zahanati ya kijiji cha Kilugu
150
150,000.00
9
Kuandaa eneo la ujenzi wa zahanati ya kijiji cha Selya
80
100,000.00
(VIII) MIRADI YA MAENDELEO
Kata yetu katika robo hii imetekeleza miradi ya maendeleo jumla ya 0 aidha, kata imekusanya jumla ya Tshs 000.00 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa robo hii.  Mchanganuo wa miradi inayotekelezwa umeambatishwa katika majedwali.
 
(IX) TAARIFA YA ELIMU MSINGI
Kata ina jumla ya shule za msingi  6 na idadi ya wanafunzi ni 2290 (Me 1157, Ke 1133) katika kata yangu hali ya mahudhurio ya wanafunzi ni asillimia 93 na hali ya ufaulu kwa ujumla kwa darasa la sabani asilimia ………
(X) TAARIFA YA ELIMU SEKONDARI
Kata  ina jumla ya shule za sekondari 1 Na idadi ya wanafunzi ni 433  (Me 219, Ke 214).  Idadi ya wanafunzi watoro ni 3 (Me 1, Ke 2) na waliorudishwa shuleni kuendelea na masomo ni 3 (Me 1, Ke 2)



















































































































  • Taarifa ya utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo katika Kata. 

Kipindi cha Taarifa ya robo ya 3 mwaka wa fedha 2017/2018

NA.

Mahali Mradi
Unapotekelezwa
Jina la
Mradi
Ufadhili wa Mradi
Hali ya utekelezaji
Fedha iliyotumika
Maoni
Nje (jina la Mfadhhili)
KIASI Tshs
H/W wa Jamii
Mchango
Wa jamii

1

S/M Busoka
Ukarabati wa darasa 1
Biolands


125,000.00
Umekamilika
125,000.00

2

S/M Kibole
Ukarabati wa madarasa 2 na ofisi 1



1,900,000.00
Umekamilika
2,100,000.00

3

S/M Ngana
Ukarabati wa madarasa 2
Ujenzi wa choo matundu 12
Biolands
SHWAZ


200,000.00
79,000.00
Umekamilika
Bado chokaa
139,000.00

4

S/M Itete
Umaliziaji choo matundu 8
SHWAZ


150,000.00
120,000.00
Kuweka masinki ya vyoo
150,000.00
120,000.00

5










6










7










8










9










         

(B) Maendeleo ya Elimu

Na

Jina la Shule

Idadi ya Wanafunzi
Hali ya mahudhurio

Hali ya ufaulu darasa la saba

Maoni
Wav
Was
Jumla
Wav
Was
Jumla
Walioandikishwa
Waliofanya
Waliofaulul
Waliofeli

1
S/M Itete
303
204
607
289
285
574
46
46
46
04

2
S/M Butola
230
212
442
208
198
406
54
54
54
15

3
S/M Busoka
207
180
387
193
170
363
54
54
54
14

4
S/M Kibole
174
176
350
158
167
325
24
24
24
03

5
S/M Kilugu
127
155
282
126
151
277
34
34
34
12

6
S/M Ngana
116
96
212
111
90
201
29
29
29
12
















(C) Taarifa ya Hali ya Ustawi wa Wananchi

NA.
Jina la kijiji
Idadi ya watu
Hali ya chakula
Majanga ya kibinadamu
Vizazi na vifo
Wav
Was
Jml
M
W
N

Mafuriko
Njaa
Wadudu/
Waharibifu
Idadi ya waliozaliwa
Idadi ya waliofariki
1
Kibole
801
955
2493


√






2
Busoka  
1011
1010



√






3
Selya
508
601



√






4
Kilugu  
997




√






5
Kabembe
1200




√





















Ufunguo: m= Hali mbaya, W = Hali wastani, N = Hali nzuri

 

 

 

(D) Taarifa ya shughuli za kiuchumi kuhusu maendeleo ya kilimo , ufugaji na Uvuvi



Upatikanaji wa wataalam
Zana za Kilimo
Pembejeo za kilimo
Pembejeo za mifugo
Pembejeo za Uvuvi
Na.
Jina la Kijiji
Mahitaji
Waliopo
Upungufu
Mahitaji
Zilizopo
Upungufu
Mahitaji
Zilizopo
Upungufu
Mahitaji
Zilizopo
Upungufu
Mahitaji
Zilizopo
Upungufu
1
















2
















3
















4
















5
















 

 

(D) Uongozi wa Kata, Vijiji na Vitongoji.

Na

Uongozi wa Kata

Uongozi wa Vijiji

Uongozi wa Vitongoji


Aina ya Kiongozi

Idadi

Na.

Aina ya Kiongozi

Idadi

Na

Aina ya Kiongozi

Idadi

1
Mhe. Diwani
1
1
Wenyeviti wa vijiji
5
1
Wenyeviti vitogoji
27
2
Watendaji wa Kata
0
2
Watendaji wa vijiji
1
2


3


3


3


 

 

 

 

Kilimo na Mifugo

 

(E) BARAZA LA KATA LA ARDHI NA NYUMBA LA KATA

Na

Baraza la Kata/Baraza la Ardhi Nyumba

Kama Baraza limefanyika

Idadi ya Mashauri ya Ardhi

 
Halijaundwa
(tick)
Limeundwa
(tick)
Me
Ke
Jml

Idadi ya Mashauri ya kawaida

Idadi ya mshauri ya Ardhi

 





Yalio
Pokelewa
Yalio
sikilizwa
Hajasi
kilizwa
Hayajasuluhishwa
Yamesu
luhishwa
Yalio
Pokelewa
Yalio
sikilizwa
Hajasi
kilizwa
Hayajasuluhishwa
Yamesu
luhishwa
 

√
5
3
8
7
7
0
7
7
1
1
0
1
1

















 

(F) Mapato na Michango ya Maendeleo

Na
Jina la Kijiji
Mapato ya Kijiji


Mradi I

Mradi 2

Mradi 3

Mradi 4

Mradi 5



Jina la mradi

Kiasi

Tshs

Jina la Mradi

Kiasi

Tshs

Jina la Mradi

Kiasi

Tshs

Jina la Mradi

Kiasi

Tshs

Jina la Mradi

Kiasi

Tshs

1












2












3












4












5












 

 

G) Miradi ya maendeleo ya kata na kijiji

Na

Jina la kata

Miradi ya Kata

Mradi 1

Mradi 2

Mradi 3

Mradi 4

Mradi 5




 
 
 
 



 
 
 
 



 
 
 
 



 
 
 
 

 

E) Uimarishaji dhana ya Uzalendo na utafiti kwa kuhamasisha vijana kuanzisha na kujiunga na vikundi vya vijana wagani kazi, mafunzo ya jeshi la mgambo, ulinzi shirikishi, polisi jamii na vyama vya kuweka na kukopa.

Na.

Jina la kijiji

Mafunzo ya Mgambo

Vijana wagani kazi

Vyma vya kuweka na kukopa

Polisi Jamii

Ulinzi shirikishi

ME
Ke
Jml
Me
Ke
Jml
Me
Ke
Jml
Me
Ke
Jml
Me
Ke
Jml

1

















2

















3

















4

















5

















 

Fungu hili linahusu taarifa mbalimbali zilizotakiwa.  Taarifa hizo ni kama ifuatavyo:-

  • Idadi ya Vijiji, Kata, Vitongoji na Idadi ya Wakazi.

Na.

Jina la Kijiji

Me

Ke

Idadi ya Watu

Idadi ya Wakazi

1






2






3






4






5






 

  • Idadi ya Vijiji, Watumishi waliopo katika Kata na taarifa ya utendaji kazi
Na.
Vijiji vilivyopo katika Kata
Idadi ya watumishi waliopo katika kijiji
Hali ya utendaji kazi

1

Busoka
17
Nzuri

2

Kibole
12

3

Kilugu
06

4

Selya
09

5

Kabembe
39

 

  • Vikao vya Kisheria vya Kata, Vijiji na Vitongoji

Na.

Vikao vya kisheria vya kata(KAMAKA)

Vikao vya kisheria vya kijiji

Vikao vya kisheria vya Vitongoji

 

Vinavyohitajika

Vilivyofanyika

Sababu ya kutofanyika

Vinavyohitajika

Vilivyofanyika

Sababu ya kutofanyika

Vinavyohitajika

Vilivyofanyika

Sababu ya kutofanyika

1










2










3










4










5










 

 

H) Miradi ya Kijiji

Na.

 

Jina la Kijiji

Miradi iliyotekelezwa katika Kijiji

1

2

3

4

5

1







2







3







4







5

 





 

 

  • Mpango wa maendeleo ya Elimu ya Msingi (MMEM)
Na.
Jina la Kijiji

Miradi ya MMEM iliyotekelezwa

Mradi

Kiasi

Mradi

Kiasi

Mradi

Kiasi

1

 

 

 

 

 

 

 

2

 

 

 

 

 

 

 

3

 

 

 

 

 

 

 

4

 

 

 

 

 

 

 

5

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

  • Mfuko wa afya ya Jamii
Na.
Jina la Kijiji
Kituo/Zahanati
Idadi ya watu waliojiunga na mfuko wa afya ya jamii
Kiasi cha michango iliyochangwa
maoni

1

Kibole

Zahanati

23

230,000.00


2

Busoka

Zahanati

20

130,000.00


3






4






5












Taarifa ya ufuatiliaji wa vyoo ngazi ya kaya katika Kata.

Namba.
Jina la kijiji
Idadi  ya watu
Idadi ya kaya
Idada ya Vichanja 
Idadi ya mashimo  ya taka

Usalama wa maji

Vyoo

Sehemu ya Kunawia Mikono

Kujisaidia nje ya choo

Maoni

Idadi ya Kaya zenye vyombo maalum vya kuhifadhia maji ya kunywa
Kaya zenye Maji ya kunywa ni  salama (yamewekwa klorini, kuchemshw, kuwekwa takasa maji, au inatumia chujio maalum-filter)

Aina ya Choo

Sakafu

Kuzuia kuenea kwa kinyesi

Usiri

Choo kinatumiwa na  kaya zaidi ya 5

A = Asili
B = Asili kilichoboreshwa
C = Chenye bomba la hewa (VIP)
D =Cha maji
E = Ikolojia
X = Hakuna
Inasafishika kwa maji (saruji, plastiki ngumu, mbao au chuma)
Choo hakitiririshi kinyesi hovyo
Ukuta
Mlango unaofungika
Paa 
Nje ya choo
Maji tiririka
Sabuni
Je! kuna kinyesi kwenye sakafu, ukuta na tundu
Je! Kuna kinyesi kuzunguka nyumba

1

2

 

3

 

 

4

5

6a

6b

6c

6d

6e

6f

7

8

9a

9b

9c

10

11

12

13

14

15

16


 1.
Kabembe  
1444
486
393
413
40 
0
323
43
42
60
0
152
0
474
401 
458
401
0
404
401 
395 
0
0 
 

2.
Busoka
2418
600
573
575
600
0
585
0
0
15
0
146
15
600
590
255
575
0
337
0
0
0
0
 

3.
Selya
1024
229
193
191
229
0
195
0
0
10
0
21
10
205
180
171
180
0
215
215
204
0
0
 

4. 
Kilugu
1661
474
138
392 
417 
0
304
25
7
4
0 
134
30 
352
330 
350
330
0
321 
321 
312 
0
0 
 

 5.
Kibole
1300
386
330
 318
 383
0
121
0
3
0
 
202
 03
123
 123
102
118
 
 37
 37
 37
 
 
 

 6.
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 

 
JUMLA
 
7847
 
2175
 
1627
 
1883
 
1669
 
0
 
1528
 
68
 
52
 
89
 
0
 
715
 
515
 
1794

1594

 
1316
 
1604
 
0
 
1314
 
972
 
948
 
0
 
0
 
 

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA USAILI WA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA. December 09, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA AJIRA YA MKATABA October 20, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI MOJA YA AJIRA April 11, 2023
  • TANGAZO LA UKODISHAJI MAGHALA YA KUHIFADHIA KOKOA June 05, 2024
  • View All

Latest News

  • ELIMU YAHATUA ZA KUWASILISHA MALALAMIKO KWA WATUMIAJI WA TAASISI ZA KIFEDHA.

    March 21, 2025
  • WANANCHI KATA YA LUFILYO WAFIKIWA NA NISHATI SAFI YA KUPIKIA.

    March 10, 2025
  • DC HANIU ATEMBELEA KALAKANA ZILIZOPO CHUO CHA VETA BUSOKELO

    March 01, 2025
  • WADAU WA VYAMA VYA SIASA BUSOKELO KUHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.

    December 21, 2024
  • View All

Video

Mkurugenzi atoa hamasa ya chakula kwa watoto mashuleni
More Videos

Quick Links

  • Watumishi Portal
  • Salary slip
  • Councilors list
  • Gallery

Related Links

  • President's Office, Public Service Management
  • TAMISEMI
  • e-Government Agency
  • President's Officia Website
  • Mbeya Regional Website
  • Public Service Recruitment Secretariet

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Lwangwa, Tukuyu

    Postal Address: S. L. P. 2, Tukuyu

    Telephone: +255 737 205 318

    Mobile:

    Email: ded@busokelodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2019 Busokelo DC . All rights reserved.