• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Busokelo District Council
Busokelo District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Busokelo District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Adminstration
    • Organization Structure
    • Departments
      • Adminstration and Human Resource
      • Planning and Statistics
      • Finance and Trade
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Health
      • Water
      • Sanitation and Environment
      • Agriculture, Irrigation and Cooperatives
      • Livestock and Fisheries
      • Development and Social Walfare
      • Land and Natural Resouces
      • Construction, Fire and Works
    • Units
      • Internal Audit
      • Bee Keeping
      • Election
      • Legal
      • Ict
      • Procurement and Supplies
  • Investment Oppotunities
    • Tourism
    • Agricultural
    • Livestock
    • Fishing
    • Bee Keeping
    • Industries
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
  • Councilors
    • Councilors list
    • Standing Committee
      • Finance Planning and Adminstration
      • Economy Works and Environment
      • Education Health and Water
      • CMAC
      • Ethics committee
    • Schedules
      • Councilors schedule meetings
      • Chairperson schedule
  • Projects
    • Planned projects
    • On going projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Acts
    • Customer service contrct
    • Strategic plan
    • Reports
    • Application Forms
    • Guidelines
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

Kisegese ward

TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA UTAWALA NA MIRADI YA MAENDELEO KUTOKA KWENYE KATA YA KISEGESE, KWA ROBO YA 3 KWA MWAKA WA FEDHA 2017/2018

NA.
MAELEZO
(1) TAARIFA YA UTAWALA BORA
 
Kata ya KESEGESE ina jumla ya Vijiji 03 Vitongoji 12 na Kata ina humla ya wakazi 5511 Kata yetu ina jumla ya watumishi 56 wa kada mbalimbali kama ifuatavyo;-

NA.

KATA

MAHITAJI

WALIOPO

MAPUNGUFU


SEKTA YA UTAWALA




1

VEOs na WEOs
03
02
01

2

Walinzi
07
07
00






SEKTA YA JAMII




1

Elimu ya Msingi



2

Elimu ya Sekondari
22
17
05

3

Maji
03
00
03

4

Maendeleo ya Jamii
03
00
03

5

Afya, Wahudumu wa Afya ya Msingi
06
03
03

SEKTA TA UCHUMI




1

Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
03
03
00

2

Mifugo na Uvuvi
03
00
03

3

Ardhi, Maliasili na Utalii
03
00
03

MIKUTANO/VIKAO VYA KISHERIA

NA.

KIKAO/

MKUTANO

SHABAHA YA ROBO III

AKIDI

VIKAO/MIK

UTANO ILIYOFANYI

KA

AKIDI

VIKAO/

MIKUTA

NO

ISIYOFA

NYIKA

HATUA

ZILIZO

CHUKULI

WA


Mikutano
Mikuu ya vitongoji
(3x idadi ya vitongaji)
36
4636
14
310
22
Hawana  elimu  ya  kutosha  kuhusu  mikutano

Kamati za Halmashauri
Ya kijiji.
(3 kila kamati x Idadi ya kamati  x Idadi ya Vijiji)
27
45
03
18
24
Hawana  elimu  ya  kutosha  kuhusu  mikutano

Halmashauri ya Kijiji (3 x Idadi ya Vijiji)
09
57
07
45
02
Mwingiliano  wa  ratiba  ya  vikao

Mikutano mikuu ya Kijiji  (1 X IDADI YA Vijjiji)
03
4636
02
320
01
Hali  ya  hewa

Timu ya Menejimenti ya Kata (WMT) (1 X Kimoja kila mwezi.)
03
10
02
09
01
Mwingiliano  wa  ratiba  ya  vika ovya  mwenge  H/M

Kamati ya Maendeleo ya Kata (KAMAKA)
01
06
01
06
00                                                                      









Vikao vya dharura vilivyofanyika na sababu za udharura huo.Kupanga  kiwango  cha  mchango  wa  ujenzi  wa  kituo  cha  Afya  na  jengo  la  Utawala  sekondari
2. Kamati  ya  mashine  soko  la  na  ghala  kukabidhi  kwenye  kamaka.
 
(II) USTAWI WAJAMII NA MAJANGA
Kata  yetu kwa upande wa hali ya ustawi wa wananchi hali ya chakula ni nzuri na majanga ya kibinadamu yaliyojitokeza kwa kipindi hiki ni kama ifuatavyo;-
(III) TAARIFA YA AFYA
Kwa upande wa sekta ya afya kata ina  jumla ya vituo vya kutolea huduma za afya 1 Kwa robo hii wananchi waliojiunga na Mfuko wa Afya ya Jamiii (CHF) ni 07  Na mchango iliyokusanywa kwa ajili ya CHF ni Tshs 60,000.00 Kata ina jumla ya nyumba za watumishi wa afya03 na mapungufu ya nyumba za watumishi wa kada hiyo ni 00
Vilevile, kwa taarifa za vizazi na vifo vilivyojitokeza katika kata hii ni kama ifuatavyo;-
  • Idadi ya watoto waliozaliwa kwenye vituo vya kutolea huduma ya afya ni 00
  • Idadi ya watoto waliozaliwa nyumbani ni 01
  • Idadi ya watoto wachanga waliofariki ndani ya siku 7 baada ya kuzaliwa ni 0
  • Idadi ya vifo vya watoto wenye umri wa chini ya miaka 5 ni 0
  • Idadi ya vifo kwa wajawazito  ni 0
  • Idadi ya vifo vya wakina mama waliofariki ndani ya siku 42 baada ya kujufungua ni 0
  • Idadi ya vifo vya watu kuanzia miaka 5 na kuendelea ni 07
(IV) ULINZI NA USALAMA
Katika  suala la uimarishaji dhana ya uzalendo na Utaifa, mafunzo ya jeshi la mgambo yametolewa/hayajatolewa waliopata mafunzo jumla yake ni 0 (Me 0 Ke 0).  Vilevile katika kata hii kuna jumla ya Polisi jamii 26 (Me24  Ke 2) na hali ya usalama ni nzuri (matukio ya uharifu yaliyojitekeza kama yapo) (yataje).
         
  • Uwizi  wa  pikipiki  mbili
  • Kijiji  cha  Kisegese  na  Ngeleka
  • ………………………………….
  • ………………………………….
(V) HUDUMA ZA KILIMO NA MIFUGO
Kata hii huduma za ugani zinatolewa kwa kupitia Maafisa Ugani wa Wagani kazi waliopo katika Kata.   Idadi ya wagani kazi katika kata hii ni 03 (Me 3Ke 0)
Katika kata kuna jumla ya taasisi 00 Zinazotoa huduma za kifedha kama ufuatavyo;

NA.

JINA LA

TAASISI/

CHAMA

IDADI YA

WANANCHI

IDADI YA

HISA

JUMLA YA

MTAJI

 


-
-
-
-
-
1
-
-
-
-
-
2





3





4











Katika Kata hali ya uwepo wa zana za Kilimo ni Wastani (nzuri, wastani au mbaya) na upatikanaji wa pembejeo za Kilimo ni Wastani
Kata inajushughulisha na shughuli za mifugo na kilimo.
Mazao makuu yanayolimwa katika Kata hii ni Kokoa, Mpunga,Mihogo, Ndizi , Maharage,Mawese, Mahindi,Viazi  Vitamu,Nyanya, na  Michikichi.
Mifugo ni ng’ombe, nguruwe, mbuzi, kuku, bata, nk.
 
(VI) HUDUMA ZA KISHERIA
Katika  Kata yetu Baraza la Kata/ Ardhi limeundwa na lina jumla ya wajumbe 9 (Me 6, Ke 3).  Baraza la Kata/Ardhi limeshughulikia jumla ya mashauri1 na mashauri yanayoendelea ni 2 na makusanyo ya Baraza hili ni Tshs 30,000 Kwa robo hii.
(VII) SHUGHULI ZA KIUCHUMI NA MAKUSANYO YA MAPATO
  • Shughuli za kiuchumi
Kata hii ina jumla ya shughuli kuu 3 (taja idadi) za kiuchumi zinazotokelezwa na wananchi.  Shughuli hizo ni kama ifuatavyo;-
  • Kilimo
  • Ufugaji
  • Biashara  ndogondogo
  • ………………………………
  • Makusanyo ya mapato
Kata  yetu kwa robo hii ya 03 imekisia kukusanya jumla ya Tshs 7,872,000.00 kwa kipindi cha robo hii kata imekusanya jumla ya Tshs 1,289,800.00 sawa na asilimia 28% ya makisio ya makusanyo ya robo mwaka.  
Mapato hayo yamepatikana  kutokana na vyanzo vya mapato Ushuru  wa  mazao  ya  Mpunga,Mbosa,Mkaa, Biashara ndogondogo.
Mapato ya machinjio kwa robo hii ni Tshs 100,000.00
Vilevile, mapato hayo yamekusanywa katika Vijiji vifuatavyo;
  • Kisegese  Tsh.
  • Ngeleka   Tsh.
  • Kasyabone  Tsh.
Aidha, kata hii imekusanya jumla ya Tshs 300,000.00 Ambayo ni michango ya miradi ya maendeleo inayotekelezwa ndani ya kata yetu.
Kati ya kiasi hicho cha fedha, Taslimu ni Tshs 300,000.00  na Thamani ya Nguvu kazi ni Tshs 850,000.00   Kwa mchanganuo ufuatao wa nguvu kazi.
 

NA

AINA YA NGUVU KAZI

IDADI

THAMANI YA FEDHA

1
Kutoa  bati  pamoja  na  paa
02
30,000
2
Shule  ya  sekondati na  jengo  la  utawa
02

3
Kubomoa  kuta  na  kuchambua  tofali
02
200,000
4
Kutoa  bati  na  paa  darasa  la  ofisi  ya  walimu  shule  ya  msingi  Kisegese
02
150,000
5
Kusafisha  kwenye  banio  la  skimu  ya  umwagiliaji
03
20,000
6



7



8



9



(VIII) MIRADI YA MAENDELEO
Kata yetu katika robo hii imetekeleza miradi ya maendeleo jumla ya 1 aidha, kata imekusanya jumla ya Tshs 300,000.00  kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa robo hii.  Mchanganuo wa miradi inayotekelezwa umeambatishwa katika majedwali.
 
(IX) TAARIFA YA ELIMU MSINGI
Kata ina jumla ya shule za msingi  4 na idadi ya wanafunzi ni 1638 (Me 781, Ke 851) katika kata yangu hali ya mahudhurio ya wanafunzi ni asillimia 92 na hali ya ufaulu kwa ujumla kwa darasa la saba ni asilimia 57
(X) TAARIFA YA ELIMU SEKONDARI
Kata  ina jumla ya shule za sekondari 1 Na idadi ya wanafunzi ni 312 (Me172, Ke 140).  Idadi ya wanafunzi watoro ni 26(Me 4, Ke 22 ) na waliorudishwa shuleni kuendelea na masomo ni .. (Me .., Ke ..)








































































































  • Taarifa ya utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo katika Kata. 

Kipindi cha Taarifa ya robo ya 3 mwaka wa fedha 2017/2018

Jina Kata Kisegese

NA.

Mahali Mradi
Unapotekelezwa
Jina la
Mradi
Ufadhili wa Mradi
Hali ya utekelezaji
Fedha iliyotumika
Maoni
Nje (jina la Mfadhhili)
KIASI Tshs
H/W wa Jamii
Mchango
Wa jamii

1

Kisegese  
Ujenzi wa barabara na karavati
NRWSSP
49940718
49940718
00
Nzuri

wanajitahhidi

2

Kasyabone
Ujenzi wa madaraja
NRWSSP
49940718
49940718
00
Nzuri

Wapo vizuri

3










4










5










6










7










8










9










         

(B) Maendeleo ya Elimu

Na

Jina la Shule

Idadi ya Wanafunzi
Hali ya mahudhurio

Hali ya ufaulu darasa la saba

Maoni
Wav
Was
Jumla
Wav
Was
Jumla
Walioandikishwa
Waliofanya
Waliofaulul
Waliofeli

1
Kasyabone
221
227
448
191
200
391
57
57
28
29

2
Kisegese
323
346
669
308
336
644
74
74
40
34

3
Ndobo
118
128
246
98
107
205
39
38
21
17

4
Ngeleka
125
150
275
117
137
254
37
37
29
8

5












6












(C) Taarifa ya Hali ya Ustawi wa Wananchi

NA.
Jina la kijiji
Idadi ya watu
Hali ya chakula
Majanga ya kibinadamu
Vizazi na vifo
Wav
Was
Jml
M
W
N

Mafuriko
Njaa
Wadudu/
Waharibifu
Idadi ya waliozaliwa
Idadi ya waliofariki
1
Kisegese
1071
1085
2156

√




√


2
Ngeleka
502
581
1023


√



√


3
Kasyabone
604
861
1525

√




√


4













5













 Ufunguo: m= Hali mbaya, W = Hali wastani, N = Hali nzuri

(D) Taarifa ya shughuli za kiuchumi kuhusu maendeleo ya kilimo , ufugaji na Uvuvi



Upatikanaji wa wataalam
Zana za Kilimo
Pembejeo za kilimo
Pembejeo za mifugo
Pembejeo za Uvuvi
Na.
Jina la Kijiji
Mahitaji
Waliopo
Upungufu
Mahitaji
Zilizopo
Upungufu
Mahitaji
Zilizopo
Upungufu
Mahitaji
Zilizopo
Upungufu
Mahitaji
Zilizopo
Upungufu
1.
Kasyabone
1
1
0



1823
0
1823
1823
0




2.
Kisegese
1
1
0



2532
0
2532
2532
0




3.
Ngeleka
1
1
0



1156
0
1156
1156
0






































(D) Uongozi wa Kata, Vijiji na Vitongoji.

Na

Uongozi wa Kata

Uongozi wa Vijiji

Uongozi wa Vitongoji


Aina ya Kiongozi

Idadi

Na.

Aina ya Kiongozi

Idadi

Na

Aina ya Kiongozi

Idadi

1
Whe. Diwani
2
1
Wenyeviti wa vijiji
3
1
Wenyeviti vitogoji
11
2
WEO
1
2
VEOS
2
2


3
MEK
1
3
VAEOS
2
3



WAEO
1







WHO
1
1
MWALIMU  MKUU
3



 

Kilimo na Mifugo

(E) BARAZA LA KATA LA ARDHI NA NYUMBA LA KATA

Na

Baraza la Kata/Baraza la Ardhi Nyumba

Kama Baraza limefanyika

Idadi ya Mashauri ya Ardhi

 
Halijaundwa
(tick)
Limeundwa
(tick)
Me
Ke
Jml

Idadi ya Mashauri ya kawaida

Idadi ya mshauri ya Ardhi

 





Yalio
Pokelewa
Yalio
sikilizwa
Hajasi
kilizwa
Hayajasuluhishwa
Yamesu
luhishwa
Yalio
Pokelewa
Yalio
sikilizwa
Hajasi
kilizwa
Hayajasuluhishwa
Yamesu
luhishwa
 

√
6
3
9
3
2
1
2
1
-
-
-
-
-

















 

(F) Mapato na Michango ya Maendeleo

Na
Jina la Kijiji
Mapato ya Kijiji


Mradi I

Mradi 2

Mradi 3

Mradi 4

Mradi 5



Jina la mradi

Kiasi

Tshs

Jina la Mradi

Kiasi

Tshs

Jina la Mradi

Kiasi

Tshs

Jina la Mradi

Kiasi

Tshs

Jina la Mradi

Kiasi

Tshs

1

KATA
KITUO CHA  AFYA
3,000,000.00








2

Ngeleka
Zahanati
550,000.00












































 

G) Miradi ya maendeleo ya kata na kijiji

Na

Jina la kata

Miradi ya Kata

Mradi 1

Mradi 2

Mradi 3

Mradi 4

Mradi 5

1

Kisegese  
Sekondari
Kituo  cha  Afya
 
 
 



 
 
 
 



 
 
 
 



 
 
 
 

 

E) Uimarishaji dhana ya Uzalendo na utafiti kwa kuhamasisha vijana kuanzisha na kujiunga na vikundi vya vijana wagani kazi, mafunzo ya jeshi la mgambo, ulinzi shirikishi, polisi jamii na vyama vya kuweka na kukopa.

Na.

Jina la kijiji

Mafunzo ya Mgambo

Vijana wagani kazi

Vyma vya kuweka na kukopa

Polisi Jamii

Ulinzi shirikishi

ME
Ke
Jml
Me
Ke
Jml
Me
Ke
Jml
Me
Ke
Jml
Me
Ke
Jml

1

Ngeleka
3
00
03












2

Kasyabone
4
00
04












3

Kisegese
16
02
18














































 

Fungu hili linahusu taarifa mbalimbali zilizotakiwa.  Taarifa hizo ni kama ifuatavyo:-

  • Idadi ya Vijiji, Kata, Vitongoji na Idadi ya Wakazi.

Na.

Jina la Kijiji

Me

Ke

Idadi ya Watu

Idadi ya Wakazi

1

Ngeleka
574
582
1156
1156

2

Kasyabone
853
970
1823
1823

3

Kisegese
1243
1289
2823
2823






  • Idadi ya Vijiji, Watumishi waliopo katika Kata na taarifa ya utendaji kazi
Na.
Vijiji vilivyopo katika Kata
Idadi ya watumishi waliopo katika kijiji
Hali ya utendaji kazi

1

Kasyabone

Nzuri

2

Ngeleka

Nzuri

3

Kisegese

Nzuri








 

  • Vikao vya Kisheria vya Kata, Vijiji na Vitongoji

Na.

Vikao vya kisheria vya kata(KAMAKA)

Vikao vya kisheria vya kijiji

Vikao vya kisheria vya Vitongoji

 

Vinavyohitajika

Vilivyofanyika

Sababu ya kutofanyika

Vinavyohitajika

Vilivyofanyika

Sababu ya kutofanyika

Vinavyohitajika

Vilivyofanyika

Sababu ya kutofanyika

1

1

1

-

9

7

Mwingiliano  wa  ratiba
36

14

Hawana  elimu  ya  kutosha

2










3










4










5











H) Miradi ya Kijiji

Na.

 

Jina la Kijiji

Miradi iliyotekelezwa katika Kijiji

1

2

3

4

5

1

Kasyabone





2

Ngeleka





3

Kisegese
Ujenzi  wa  darasa  S/msingi












 






  • Mpango wa maendeleo ya Elimu ya Msingi (MMEM)
Na.
Jina la Kijiji

Miradi ya MMEM iliyotekelezwa

Mradi

Kiasi

Mradi

Kiasi

Mradi

Kiasi

1

Kasyabone

-

-

-

-

-

 

2

Kisegese

-

-

-

-

-

 

3

Ngeleka

-

-

-

-

-

 



 

 

 

 

 

 


 

 

 

 

 

 

 

 

  • Mfuko wa afya ya Jamii
Na.
Jina la Kijiji
Kituo/Zahanati
Idadi ya watu waliojiunga na mfuko wa afya ya jamii
Kiasi cha michango iliyochangwa
maoni

1

Kasyabone 

Kasyabone 

07

60,000.00

Kutoa  elimu  juu  ya  bima ya Afya 

2

Ngeleka 





3

Kisegese























Taarifa ya ufuatiliaji wa vyoo ngazi ya kaya katika Kata.

Namba.
Jina la kijiji
Idadi  ya watu
Idadi ya kaya
Idada ya Vichanja 
Idadi ya mashimo  ya taka

Usalama wa maji

Vyoo

Sehemu ya Kunawia Mikono

Kujisaidia nje ya choo

Maoni

Idadi ya Kaya zenye vyombo maalum vya kuhifadhia maji ya kunywa
Kaya zenye Maji ya kunywa ni  salama (yamewekwa klorini, kuchemshw, kuwekwa takasa maji, au inatumia chujio maalum-filter)

Aina ya Choo

Sakafu

Kuzuia kuenea kwa kinyesi

Usiri

Choo kinatumiwa na  kaya zaidi ya 5

A = Asili
B = Asili kilichoboreshwa
C = Chenye bomba la hewa (VIP)
D =Cha maji
E = Ikolojia
X = Hakuna
Inasafishika kwa maji (saruji, plastiki ngumu, mbao au chuma)
Choo hakitiririshi kinyesi hovyo
Ukuta
Mlango unaofungika
Paa 
Nje ya choo
Maji tiririka
Sabuni
Je! kuna kinyesi kwenye sakafu, ukuta na tundu
Je! Kuna kinyesi kuzunguka nyumba

1

2

 

3

 

 

4

5

6a

6b

6c

6d

6e

6f

7

8

9a

9b

9c

10

11

12

13

14

15

16


 1.
Kisegese
2823
616
309
309
456
303
424
116
8
30
0
126
0
0
197
138
139
0
46
31
18
0
0
 

2.
Kasyabone
1823
341
171
152
293
204
279
41
2
13
0
26
61
0
228
139
157
0
56
56
16
0
0
 

3.
Ngeleka
1156
245
151
106
172
183
162
74
0
6
0
3
40
0
153
153
104
0
38
38
20
0
0
 

4. 

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 

 5.

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 

 6.
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 

 
5802
1222
628
564
921
690
865
231
10
46
0
155
101
0
578
398
402
0
140
125
54
0
0
 

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA USAILI WA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA. December 09, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA AJIRA YA MKATABA October 20, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI MOJA YA AJIRA April 11, 2023
  • TANGAZO LA UKODISHAJI MAGHALA YA KUHIFADHIA KOKOA June 05, 2024
  • View All

Latest News

  • ELIMU YAHATUA ZA KUWASILISHA MALALAMIKO KWA WATUMIAJI WA TAASISI ZA KIFEDHA.

    March 21, 2025
  • WANANCHI KATA YA LUFILYO WAFIKIWA NA NISHATI SAFI YA KUPIKIA.

    March 10, 2025
  • DC HANIU ATEMBELEA KALAKANA ZILIZOPO CHUO CHA VETA BUSOKELO

    March 01, 2025
  • WADAU WA VYAMA VYA SIASA BUSOKELO KUHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.

    December 21, 2024
  • View All

Video

Mkurugenzi atoa hamasa ya chakula kwa watoto mashuleni
More Videos

Quick Links

  • Watumishi Portal
  • Salary slip
  • Councilors list
  • Gallery

Related Links

  • President's Office, Public Service Management
  • TAMISEMI
  • e-Government Agency
  • President's Officia Website
  • Mbeya Regional Website
  • Public Service Recruitment Secretariet

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Lwangwa, Tukuyu

    Postal Address: S. L. P. 2, Tukuyu

    Telephone: +255 737 205 318

    Mobile:

    Email: ded@busokelodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2019 Busokelo DC . All rights reserved.