• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua ya Pepe |
Busokelo District Council
Busokelo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango na Takwimu
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Usafishaji na Mazingira
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Ujenzi na Zima moto
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Ufugaji Nyuki
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Utawala na Mipango
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Elimu Afya na Maji
      • Kamati ya kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Kata ya Lufilyo

TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA UTAWALA NA MIRADI YA MAENDELEO KUTOKA KWENYE KATA YA LUFILYO, KWA ROBO YA 3 KWA MWAKA WA FEDHA 2017/2018

NA.
MAELEZO
(1) TAARIFA YA UTAWALA BORA
 
Kata ya Lufilyo ina jumla ya Vijiji 5 Vitongoji 29 na Kata ina humla ya wakazi 8745 Kata yetu ina jumla ya watumishi 83 wa kada mbalimbali kama ifuatavyo;-

NA.

KATA

MAHITAJI

WALIOPO

MAPUNGUFU


SEKTA YA UTAWALA




1

VEOs na WEOs
6
3
3

2

Walinzi
9
0
9






SEKTA YA JAMII




1

Elimu ya Msingi
39
28
11

2

Elimu ya Sekondari
48
43
5

3

Maji
1
0
1

4

Maendeleo ya Jamii
1
0
1

5

Afya, Wahudumu wa Afya ya Msingi
6
3
3

SEKTA TA UCHUMI




1

Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
6
2
4

2

Mifugo na Uvuvi
0
0
0

3

Ardhi, Maliasili na Utalii
1
0
1

MIKUTANO/VIKAO VYA KISHERIA

NA.

KIKAO/

MKUTANO

SHABAHA YA ROBO III

AKIDI

VIKAO/MIK

UTANO ILIYOFANYI

KA

AKIDI

VIKAO/

MIKUTA

NO

ISIYOFA

NYIKA

HATUA

ZILIZO

CHUKULI

WA


Mikutano
Mikuu ya vitongoji
(3x idadi ya vitongaji)
63
3750
35
2200
28
VEOs wanaendelea kuhamasisha Wenyeviti wa Vitongoji umuhimu wa mikutano ili iendelee kufanyika kila mwezi.

Kamati za Halmashauri
Ya kijiji.
(3 kila kamati x Idadi ya kamati  x Idadi ya Vijiji)
45
35
15
35
0


Halmashauri ya Kijiji (3 x Idadi ya Vijiji)
15
125
15
120
0


Mikutano mikuu ya Kijiji  (1 X IDADI YA Vijjiji)
5
3750
5
985
0


Timu ya Menejimenti ya Kata (WMT) (1 X Kimoja kila mwezi.)
3
9
3
9
0


Kamati ya Maendeleo ya Kata (KAMAKA)
1
20
1
18
0









Vikao vya dharura vilivyofanyika na sababu za udharura huo.
Vikao viwili vimefanyika;
Kukabidhi madarasa ya shule ya msingi Ndubi
Ujio wa Naibu Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Akson katika Kata yetu Aprili 10, 2018.
 
(II) USTAWI WAJAMII NA MAJANGA
Kata  yetu kwa upande wa hali ya ustawi wa wananchi hali ya chakula ni nzuri na majanga ya kibinadamu yaliyojitokeza kwa kipindi hiki ni kama ifuatavyo;-
(III) TAARIFA YA AFYA
Kwa upande wa sekta ya afya kata ina  jumla ya vituo vya kutolea huduma za afya 1 Kwa robo hii wananchi waliojiunga na Mfuko wa Afya ya Jamiii (CHF) ni 271  Na mchango iliyokusanywa kwa ajili ya CHF ni Tshs 1,400,000.00 Kata ina jumla ya nyumba za watumishi wa afya 3 na mapungufu ya nyumba za watumishi wa kada hiyo ni 2
Vilevile, kwa taarifa za vizazi na vifo vilivyojitokeza katika kata hii ni kama ifuatavyo;-
  • Idadi ya watoto waliozaliwa kwenye vituo vya kutolea huduma ya afya ni 32
  • Idadi ya watoto waliozaliwa nyumbani ni 0
  • Idadi ya watoto wachanga waliofariki ndani ya siku 7 baada ya kuzaliwa ni 0
  • Idadi ya vifo vya watoto wenye umri wa chini ya miaka 5 ni 0
  • Idadi ya vifo kwa wajawazito  ni 0
  • Idadi ya vifo vya wakina mama waliofariki ndani ya siku 42 baada ya kujufungua ni 0
  • Idadi ya vifo vya watu kuanzia miaka 5 na kuendelea ni 4
(IV) ULINZI NA USALAMA
Katika  suala la uimarishaji dhana ya uzalendo na Utaifa, mafunzo ya jeshi la mgambo yametolewa/hayajatolewa waliopata mafunzo jumla yake ni 0 (Me 0 Ke 0).  Vilevile katika kata hii kuna jumla ya Polisi jamii 0 (Me 0 Ke 0) na hali ya usalama ni nzuri (matukio ya uharifu yaliyojitekeza kama yapo) (yataje).
  • ……………………………………
  • …………………………………
  • ………………………………….
  • ………………………………….
(V) HUDUMA ZA KILIMO NA MIFUGO
Kata hii huduma za ugani zinatolewa kwa kupitia Maafisa Ugani wa Wagani kazi waliopo katika Kata.   Idadi ya wagani kazi katika kata hii ni 2 (Me 2 Ke 0)
Katika kata kuna jumla ya taasisi 2 Zinazotoa huduma za kifedha kama ufuatavyo;

NA.

JINA LA

TAASISI/

CHAMA

IDADI YA

WANANCHI

IDADI YA

HISA

JUMLA YA

MTAJI

 



ME
KE


1
Lufilyo Saccos
55
46
248
2,000,000.00
2
SIMKA
664





















Katika Kata hali ya uwepo wa zana za Kilimo ni Wastani (nzuri, wastani au mbaya) na upatikanaji wa pembejeo za Kilimo ni Wastani
Kata inajushughulisha na shughuli za mifugo na kilimo.
Mazao makuu yanayolimwa katika Kata hii ni mahindi, maharage, ndizi, parachichi, mihogo, majimbi na kakao.
Mifugo ni ng’ombe, nguruwe, mbuzi, kuku, bata, nk.
 
(VI) HUDUMA ZA KISHERIA
Katika  Kata yetu Baraza la Kata/ Ardhi limeundwa na lina jumla ya wajumbe 8 (Me 5, Ke 4).  Baraza la Kata/Ardhi limeshughulikia jumla ya mashauri 0 na mashauri yanayoendelea ni 2 na makusanyo ya Baraza hili ni Tshs 0.00 Kwa robo hii.
(VII) SHUGHULI ZA KIUCHUMI NA MAKUSANYO YA MAPATO
  • Shughuli za kiuchumi
Kata hii ina jumla ya shughuli kuu 3 (taja idadi) za kiuchumi zinazotokelezwa na wananchi.  Shughuli hizo ni kama ifuatavyo;-
  • Ufugaji
  • Kilimo
  • Biashara ndogo ndogo
  • ………………………………
  • Makusanyo ya mapato
Kata  yetu kwa robo hii ya 3 imekisia kukusanya jumla ya Tshs 0.00 kwa kipindi cha robo hii kata imekusanya jumla ya Tshs 0.00 sawa na asilimia 0 ya makisio ya makusanyo ya robo mwaka.  
Mapato hayo yamepatikana  kutokana na vyanzo vya mapato vya mbao, machinjio, mahindi, baraza la kata, maziwa, vibali vya kusafirisha mifugo.
Mapato ya machinjio kwa robo hii ni Tshs 295,000.00
Vilevile, mapato hayo yamekusanywa katika Vijiji vifuatavyo;
  • Kijiji cha Kipapa, Tshs 3,107,100.00
  • Kijiji cha Kikuba, Tshs 385,000.00
  • Kijiji cha Kifunda, Tshs 295,800.00
  • Kijiji cha Kipyola, Tshs 540,500.00
  • Kijiji cha Lusungo, Tshs 400,000.00
Aidha, kata hii imekusanya jumla ya Tshs 24,125,000.00 Ambayo ni michango ya miradi ya maendeleo inayotekelezwa ndani ya kata yetu.
Kati ya kiasi hicho cha fedha, Taslimu ni Tshs 1,145,000.00 na Thamani ya Nguvu kazi ni Tshs 22,980,000.00 Kwa mchanganuo ufuatao wa nguvu kazi.
 

NA

AINA YA NGUVU KAZI

IDADI

THAMANI YA FEDHA

1
Tripu za mawe
Tripu za mchanga
Kuchimba msingi na kujenga kuta za jengo la pili katika kituo cha kutolea huduma za afya Kifunda
6
5
330,000.00
22,000,000.00
2
Tripu za mawe katika zahanati ya Lusungo
5
150,000.00
3
Kuchimba msingi wa zahanati ya Kikuba

250,000.00
4
Ujenzi wa choo shule ya msingi Kipyola

245,000.00
5



6



7



8



9



(VIII) MIRADI YA MAENDELEO
Kata yetu katika robo hii imetekeleza miradi ya maendeleo jumla ya 4 aidha, kata imekusanya jumla ya Tshs 000.00 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa robo hii.  Mchanganuo wa miradi inayotekelezwa umeambatishwa katika majedwali.
 
(IX) TAARIFA YA ELIMU MSINGI
Kata ina jumla ya shule za msingi  4 na idadi ya wanafunzi ni 1703 (Me 820, Ke 883) katika kata yangu hali ya mahudhurio ya wanafunzi ni asillimia 93 na hali ya ufaulu kwa ujumla kwa darasa la saba ni asilimia 99
(X) TAARIFA YA ELIMU SEKONDARI
Kata  ina jumla ya shule za sekondari 1 Na idadi ya wanafunzi ni 1734 (Me 1103, Ke 631).  Idadi ya wanafunzi watoro ni 9 (Me 6, Ke 3) na waliorudishwa shuleni kuendelea na masomo ni 7 (Me 4, Ke 3)














































































































  • Taarifa ya utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo katika Kata.

Kipindi cha Taarifa ya robo ya 3 mwaka wa fedha 2017/2018

NA.

Mahali Mradi
Unapotekelezwa
Jina la
Mradi
Ufadhili wa Mradi
Hali ya utekelezaji
Fedha iliyotumika
Maoni
Nje (jina la Mfadhhili)
KIASI Tshs
H/W wa Jamii
Mchango
Wa jamii

1

Kituo cha afya Kifunda
Ujenzi wa jengo la pili



500,000.00
Jengo liko hatua ya linta
500,000.00

2

Zahanati ya Lusungo
Kujenga msingi



150,000.00
Umekamilika
150,000.00

3

Zahanati ya Kikuba
Ujenzi wa msingi



250,000.00
Umekamilika
200,000.00

4

S/M Kipyola
Umaliziaji choo matundu 8



245,000.0
Jengo limefika kwenye linta
245,000.00

5










6










7










8










9










         

(B) Maendeleo ya Elimu

Na

Jina la Shule

Idadi ya Wanafunzi
Hali ya mahudhurio

Hali ya ufaulu darasa la saba

Maoni
Wav
Was
Jumla
Wav
Was
Jumla
Walioandikishwa
Waliofanya
Waliofaulul
Waliofeli

1
Lufilyo
345
364
709
331
354
685





2
Lusungo
127
138
265
126
137
263





3
Ndubi
206
209
415
185
196
381





4
Kifunda
142
172
314
115
152
267





5












6



























(C) Taarifa ya Hali ya Ustawi wa Wananchi

NA.
Jina la kijiji
Idadi ya watu
Hali ya chakula
Majanga ya kibinadamu
Vizazi na vifo
Wav
Was
Jml
M
W
N

Mafuriko
Njaa
Wadudu/
Waharibifu
Idadi ya waliozaliwa
Idadi ya waliofariki
1
Lusungo


986


√






2
Kipapa


1660


√






3
Kikuba


1898


√






4
Kifunda


1450


√






5
Kipyola


498


√





















Ufunguo: m= Hali mbaya, W = Hali wastani, N = Hali nzuri

 

 

 

(D) Taarifa ya shughuli za kiuchumi kuhusu maendeleo ya kilimo , ufugaji na Uvuvi



Upatikanaji wa wataalam
Zana za Kilimo
Pembejeo za kilimo
Pembejeo za mifugo
Pembejeo za Uvuvi
Na.
Jina la Kijiji
Mahitaji
Waliopo
Upungufu
Mahitaji
Zilizopo
Upungufu
Mahitaji
Zilizopo
Upungufu
Mahitaji
Zilizopo
Upungufu
Mahitaji
Zilizopo
Upungufu
1
Lusungo
1
1
0
520


47








2
Kipapa
1
0
1
600


33








3
Kikuba
1
0
1
814


92








4
Kifunda
1
0
1
460


87








5
Kipyola
1
0
1
296


25








 

 

(D) Uongozi wa Kata, Vijiji na Vitongoji.

Na

Uongozi wa Kata

Uongozi wa Vijiji

Uongozi wa Vitongoji


Aina ya Kiongozi

Idadi

Na.

Aina ya Kiongozi

Idadi

Na

Aina ya Kiongozi

Idadi

1
Mhe. Diwani
1
1
Wenyeviti wa vijiji
5
1
Wenyeviti vitogoji
21
2
Watendaji wa Kata
1
2
Watendaji wa vijiji
1
2


3


3


3



Kilimo na Mifugo

 

(E) BARAZA LA KATA LA ARDHI NA NYUMBA LA KATA

Na

Baraza la Kata/Baraza la Ardhi Nyumba

Kama Baraza limefanyika

Idadi ya Mashauri ya Ardhi

 
Halijaundwa
(tick)
Limeundwa
(tick)
Me
Ke
Jml

Idadi ya Mashauri ya kawaida

Idadi ya mshauri ya Ardhi

 





Yalio
Pokelewa
Yalio
sikilizwa
Hajasi
kilizwa
Hayajasuluhishwa
Yamesu
luhishwa
Yalio
Pokelewa
Yalio
sikilizwa
Hajasi
kilizwa
Hayajasuluhishwa
Yamesu
luhishwa
 

√
4
4
8
3
0
0
0
0
1
1
0
0
1

















 

(F) Mapato na Michango ya Maendeleo

Na
Jina la Kijiji
Mapato ya Kijiji


Mradi I

Mradi 2

Mradi 3

Mradi 4

Mradi 5



Jina la mradi

Kiasi

Tshs

Jina la Mradi

Kiasi

Tshs

Jina la Mradi

Kiasi

Tshs

Jina la Mradi

Kiasi

Tshs

Jina la Mradi

Kiasi

Tshs

1












2












3












4












5












 

G) Miradi ya maendeleo ya kata na kijiji

Na

Jina la kata

Miradi ya Kata

Mradi 1

Mradi 2

Mradi 3

Mradi 4

Mradi 5




 
 
 
 



 
 
 
 



 
 
 
 



 
 
 
 

 

E) Uimarishaji dhana ya Uzalendo na utafiti kwa kuhamasisha vijana kuanzisha na kujiunga na vikundi vya vijana wagani kazi, mafunzo ya jeshi la mgambo, ulinzi shirikishi, polisi jamii na vyama vya kuweka na kukopa.

Na.

Jina la kijiji

Mafunzo ya Mgambo

Vijana wagani kazi

Vyma vya kuweka na kukopa

Polisi Jamii

Ulinzi shirikishi

ME
Ke
Jml
Me
Ke
Jml
Me
Ke
Jml
Me
Ke
Jml
Me
Ke
Jml

1

















2

















3

















4

















5

















 

Fungu hili linahusu taarifa mbalimbali zilizotakiwa.  Taarifa hizo ni kama ifuatavyo:-

  • Idadi ya Vijiji, Kata, Vitongoji na Idadi ya Wakazi.

Na.

Jina la Kijiji

Me

Ke

Idadi ya Watu

Idadi ya Wakazi

1

Lusungo
434
552


2

Kipapa
715
845


3

Kikuba
900
998


4

Kifunda
666
784


5

Kipyola
221
277


 

  • Idadi ya Vijiji, Watumishi waliopo katika Kata na taarifa ya utendaji kazi
Na.
Vijiji vilivyopo katika Kata
Idadi ya watumishi waliopo katika kijiji
Hali ya utendaji kazi

1

Lusungo
2
Nzuri

2

Kipapa
72
Nzuri

3

Kikuba
3
Nzuri

4

Kifunda
5
Nzuri

5

Kipyola
0
Nzuri

 

  • Vikao vya Kisheria vya Kata, Vijiji na Vitongoji

Na.

Vikao vya kisheria vya kata(KAMAKA)

Vikao vya kisheria vya kijiji

Vikao vya kisheria vya Vitongoji

 

Vinavyohitajika

Vilivyofanyika

Sababu ya kutofanyika

Vinavyohitajika

Vilivyofanyika

Sababu ya kutofanyika

Vinavyohitajika

Vilivyofanyika

Sababu ya kutofanyika

1

1

1

0

15

15

0

63

63

0

2










3










4










5










 

H) Miradi ya Kijiji

Na.

 

Jina la Kijiji

Miradi iliyotekelezwa katika Kijiji

1

2

3

4

5

1







2







3







4







5

 





 

  • Mpango wa maendeleo ya Elimu ya Msingi (MMEM)
Na.
Jina la Kijiji

Miradi ya MMEM iliyotekelezwa

Mradi

Kiasi

Mradi

Kiasi

Mradi

Kiasi

1

 

 

 

 

 

 

 

2

 

 

 

 

 

 

 

3

 

 

 

 

 

 

 

4

 

 

 

 

 

 

 

5

 

 

 

 

 

 

 

  

  • Mfuko wa afya ya Jamii
Na.
Jina la Kijiji
Kituo/Zahanati
Idadi ya watu waliojiunga na mfuko wa afya ya jamii
Kiasi cha michango iliyochangwa
maoni

1

Lusungo

Zahanati

1

1,360,000.00


2

Kipapa

Zahanati

265

20,000.00


3

Kikuba

Zahanati

2

20,000.00


4

Kifunda

Zahanati

2

10,000.00


5

Kipyola

Zahanati

1

10,000.00








Taarifa ya ufuatiliaji wa vyoo ngazi ya kaya katika Kata.

Namba.
Jina la kijiji
Idadi  ya watu
Idadi ya kaya
Idada ya Vichanja 
Idadi ya mashimo  ya taka

Usalama wa maji

Vyoo

Sehemu ya Kunawia Mikono

Kujisaidia nje ya choo

Maoni

Idadi ya Kaya zenye vyombo maalum vya kuhifadhia maji ya kunywa
Kaya zenye Maji ya kunywa ni  salama (yamewekwa klorini, kuchemshw, kuwekwa takasa maji, au inatumia chujio maalum-filter)

Aina ya Choo

Sakafu

Kuzuia kuenea kwa kinyesi

Usiri

Choo kinatumiwa na  kaya zaidi ya 5

A = Asili
B = Asili kilichoboreshwa
C = Chenye bomba la hewa (VIP)
D =Cha maji
E = Ikolojia
X = Hakuna
Inasafishika kwa maji (saruji, plastiki ngumu, mbao au chuma)
Choo hakitiririshi kinyesi hovyo
Ukuta
Mlango unaofungika
Paa 
Nje ya choo
Maji tiririka
Sabuni
Je! kuna kinyesi kwenye sakafu, ukuta na tundu
Je! Kuna kinyesi kuzunguka nyumba

1

2

 

3

 

 

4

5

6a

6b

6c

6d

6e

6f

7

8

9a

9b

9c

10

11

12

13

14

15

16


 1.
Lusungo
986
408
367
367
314
314
21
21
10
0
0
314
314
314
314
0
314
0
314
314
314
0
0 
 

2.
Kipapa
1660
415
394
376
411
367
332
195
25
69
19
158
125
374
373
370
323
1
361
92
253
0
0
 

3.
Kikuba
1898
390
390
390
390
390
377
1
10
2
0
0
12
0
390
390
390
0
0
0
390
0
0
 

4. 
Kifunda
1450
218
204
204
218
218
218
218
218
11
11
11
0
0
218
218
218
0
218
218
218
0
0 
 

 5.
Kipyola
498
178
164
163
164
104
167
0
0
0
 0
0
136
0
165
125
124
0
0
 147
106
0
0
 

 6.
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 

JUMLA
6491
1609
1519
1500
1497
1393
1408
728
67
103
40
158
273
906
1460
1417
1369
1
893
771
1281
0
0
 
 

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA USAILI WA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA. December 09, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA AJIRA YA MKATABA October 20, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI MOJA YA AJIRA April 11, 2023
  • TANGAZO LA UKODISHAJI MAGHALA YA KUHIFADHIA KOKOA June 05, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MHE. HOMERA AHIMIZA USHIRIKIANO WA WANANCHI NA SERIKALI UTEKELEZAJI MIRADI YA MAENDELEO.

    June 11, 2025
  • KIDELI SASA BASI, CHANJO YA KUKU YA YAZINDULIWA RASMI BUSOKELO.

    June 09, 2025
  • MAFANIKIO SEKTA YA KILIMO HALMASHAURI YA BUSOKELO MWAKA 2024/2025.

    June 06, 2025
  • KAMPUNI YA UJENZI WA BARABARA YA CHINA ROADS AND BRIDGE CO-OPERATION YASAINI MKATABA WA KUWA MPANGAJI KATIKA MAKAMBI YA MBAMBO.

    May 29, 2025
  • Angalia zote

Video

Mkurugenzi atoa hamasa ya chakula kwa watoto mashuleni
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Watumishi Portal
  • Hati ya Mshahara
  • Orodha ya Madiwani
  • Maktaba ya Picha

Viunganishi Linganifu

  • Utumishi wa Umma
  • TAMISEMI
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya Rais
  • Tovuti ya Mkoa wa Mbeya
  • Sekretarieti ya Ajira

Kipimo cha Wateja duniani

world map hits counter

Wateja waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Lwangwa, Tukuyu

    Anuani ya Posta: S. L. P. 2, Tukuyu

    Simu: +255 737 205 318

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@busokelodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2019 Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo. Haki zote zimehifadhiwa.