• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua ya Pepe |
Busokelo District Council
Busokelo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango na Takwimu
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Usafishaji na Mazingira
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Ujenzi na Zima moto
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Ufugaji Nyuki
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Utawala na Mipango
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Elimu Afya na Maji
      • Kamati ya kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Kata ya Mpombo

TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA UTAWALA NA MIRADI YA MAENDELEO KUTOKA KWENYE KATA YA MPOMBO, KWA ROBO YA 3 KWA MWAKA WA FEDHA 2017/2018

NA.
MAELEZO
(1) TAARIFA YA UTAWALA BORA
 
Kata ya Mpombo ina jumla ya Vijiji 5 Vitongoji 19 na Kata ina jumla ya wakazi 8787 Kata yetu ina jumla ya watumishi 59 wa kada mbalimbali kama ifuatavyo;-

NA.

KATA

MAHITAJI

WALIOPO

MAPUNGUFU


SEKTA YA UTAWALA




1

VEOs na WEOs
5
1
4

2

Walinzi
7
1
6






SEKTA YA JAMII




1

Elimu ya Msingi
44
35
9

2

Elimu ya Sekondari
20
16
4

3

Maji
6
-
6

4

Maendeleo ya Jamii
6
-
6

5

Afya, Wahudumu wa Afya ya Msingi
8
3
5

SEKTA TA UCHUMI




1

Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
6
3
3

2

Mifugo na Uvuvi
6
-
6

3

Ardhi, Maliasili na Utalii
6
-
6

MIKUTANO/VIKAO VYA KISHERIA

NA.

KIKAO/

MKUTANO

SHABAHA YA ROBO III

AKIDI

VIKAO/MIK

UTANO ILIYOFANYI

KA

AKIDI

VIKAO/

MIKUTA

NO

ISIYOFA

NYIKA

HATUA

ZILIZO

CHUKULI

WA


Mikutano
Mikuu ya vitongoji
(3x idadi ya vitongaji)
Kila  kitongoji  kifanye  mikutano kila  mwezi
57
34

23
Wenyeviti wa  vitongoji  wamehamasisha  kufanya  mikutano  hiyo

Kamati za Halmashauri
Ya kijiji.
(3 kila kamati x Idadi ya kamati  x Idadi ya Vijiji)
Kamati  za  vijiji  zifanye  vikao  vya  mwezi
45
3
42

Kamati  za  Halmashauri  ya kijiji zimehimizwa kufanya  vikao  hivyo

Halmashauri ya Kijiji (3 x Idadi ya Vijiji)
Vikao  vya  Halmashauri  vifanyike
15
8

7
Serikali  za  vijiji  zifanye  vikao  hivyo

Mikutano mikuu ya Kijiji  (1 X IDADI YA Vijjiji)

5
4

1
Mikutano  ifanyika  kila  baada  ya  miezi  mitatu

Timu ya Menejimenti ya Kata (WMT) (1 X Kimoja kila mwezi.)
Kila  mwezi  kifanyike  mara moja
1
1

-


Kamati ya Maendeleo ya Kata (KAMAKA)
Kifanyike  mara  moja  kwa  baada  ya
1
1

-
Tutawaita kwa  majadiliano








Vikao vya dharura vilivyofanyika na sababu za udharura huo………………………………………………………………………………….
 
(II) USTAWI WAJAMII NA MAJANGA
Kata  yetu kwa upande wa hali ya ustawi wa wananchi hali ya chakula ni Wastani na majanga ya kibinadamu yaliyojitokeza kwa kipindi hiki ni kama ifuatavyo;-
(III) TAARIFA YA AFYA
Kwa upande wa sekta ya afya kata ina  jumla ya vituo vya kutolea huduma za afya 1 Kwa robo hii wananchi waliojiunga na Mfuko wa Afya ya Jamiii (CHF) ni 1  Na mchango iliyokusanywa kwa ajili ya CHF ni Tshs 10,000 Kata ina jumla ya nyumba za watumishi wa afya 1 na mapungufu ya nyumba za watumishi wa kada hiyo ni 5
Vilevile, kwa taarifa za vizazi na vifo vilivyojitokeza katika kata hii ni kama ifuatavyo;-
  • Idadi ya watoto waliozaliwa kwenye vituo vya kutolea huduma ya afya ni 8
  • Idadi ya watoto waliozaliwa nyumbani ni 2
  • Idadi ya watoto wachanga waliofariki ndani ya siku 7 baada ya kuzaliwa ni 0
  • Idadi ya vifo vya watoto wenye umri wa chini ya miaka 5 ni 0
  • Idadi ya vifo kwa wajawazito  ni 0
  • Idadi ya vifo vya wakina mama waliofariki ndani ya siku 42 baada ya kujufungua ni 0
  • Idadi ya vifo vya watu kuanzia miaka 5 na kuendelea ni0
(IV) ULINZI NA USALAMA
Katika  suala la uimarishaji dhana ya uzalendo na Utaifa, mafunzo ya jeshi la mgambo yametolewa/hayajatolewa waliopata mafunzo jumla yake ni 0 (Me 0 Ke 0).  Vilevile katika kata hii kuna jumla ya Polisi jamii 2 (Me1  Ke 1) na hali ya usalama ni wastani (matukio ya uharifu yaliyojitekeza kama yapo) (yataje).
  •  ……………………………………
  • …………………………………
  • ………………………………….
  • ………………………………….
(V) HUDUMA ZA KILIMO NA MIFUGO
Kata hii huduma za ugani zinatolewa kwa kupitia Maafisa Ugani wa Wagani kazi waliopo katika Kata.   Idadi ya wagani kazi katika kata hii ni 4(Me 3Ke 1)
Katika kata kuna jumla ya taasisi 1  Zinazotoa huduma za kifedha kama ufuatavyo;

NA.

JINA LA

TAASISI/

CHAMA

IDADI YA

WANANCHI

IDADI YA

HISA

JUMLA YA

MTAJI

 



ME
KE


1
Umavikai Kyejo Saccos
9
-

35,000,000
2




13,000,000


















Katika Kata hali ya uwepo wa zana za Kilimo ni Wastani (nzuri, wastani au mbaya) na upatikanaji wa pembejeo za Kilimo ni Wastani
Kata inajushughulisha na shughuli za mifugo na kilimo.
Mazao makuu yanayolimwa katika Kata hii ni, Maharage, Mahindi,Viazi Vitamu, Viazi mviringo,Mgimbi, Njegele, Mihogo, na Chai,  
 (VI) HUDUMA ZA KISHERIA
Katika  Kata yetu Baraza la Kata/ Ardhi limeundwa na lina jumla ya wajumbe 8 (Me 5 Ke 3).  Baraza la Kata/Ardhi limeshughulikia jumla ya mashauri 5 na mashauri yanayoendelea ni 3 na makusanyo ya Baraza hili ni Tshs 21,000 Kwa robo hii.
(VII) SHUGHULI ZA KIUCHUMI NA MAKUSANYO YA MAPATO
  • Shughuli za kiuchumi
Kata hii ina jumla ya shughuli kuu 3 (taja idadi) za kiuchumi zinazotokelezwa na wananchi.  Shughuli hizo ni kama ifuatavyo;-
  • Kilimo
  • Ufugaji
  • Biashara  ndogondogo
  • ………………………………
  • Makusanyo ya mapato
Kata  yetu kwa robo hii ya 3 imekisia kukusanya jumla ya Tshs 32,500,000.00  kwa kipindi cha robo hii kata imekusanya jumla ya Tshs6,303,200.00  sawa na asilimia 19.4% ya makisio ya makusanyo ya robo mwaka.  
Mapato hayo yamepatikana  kutokana na vyanzo vya mapato Ushuru  wa  mazao   Mbao,  Machinjio, Usafirishaji  mifugo na  ushuru wa  ndizi.
Mapato ya machinjio kwa robo hii ni Tshs ………………….
Vilevile, mapato hayo yamekusanywa katika Vijiji vifuatavyo;
  • Lusanje        Tsh. 1,319,000.00
  • Ijoka      Tsh. 2,807,500.00
  • Lulasi    Tsh.  1,561,700.00
  • Kasanga  Tsh225,000.00
  • Bwilando  Tsh.  390,000.00
Aidha, kata hii imekusanya jumla ya Tshs. 1, 820,000.00   Ambayo ni michango ya miradi ya maendeleo inayotekelezwa ndani ya kata yetu.
Kati ya kiasi hicho cha fedha, Taslimu ni Tshs 1,360,000.00  na Thamani ya Nguvu kazi ni Tshs 460,000.00    Kwa mchanganuo ufuatao wa nguvu kazi.
 

NA

AINA YA NGUVU KAZI

IDADI

THAMANI YA FEDHA

1
Kuchimba  msingi  wa  darasa  S/M
1
300,000.00
2
Trip 1 Mchanga
1
80,000.00
3
Trip 1Mawe
1
80,000.00
4



5



6



7



8



9



(VIII) MIRADI YA MAENDELEO
Kata yetu katika robo hii imetekeleza miradi ya maendeleo jumla ya 3  aidha, kata imekusanya jumla ya Tshs 1,360,000.00   kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa robo hii.  Mchanganuo wa miradi inayotekelezwa umeambatishwa katika majedwali.
 
(IX) TAARIFA YA ELIMU MSINGI
Kata ina jumla ya shule za msingi 5 na idadi ya wanafunzi ni 1782 (Me 925, Ke 857) katika kata yangu hali ya mahudhurio ya wanafunzi ni asillimia 93.4% na hali ya ufaulu kwa ujumla kwa darasa la saba ni asilimia
(X) TAARIFA YA ELIMU SEKONDARI
Kata  ina jumla ya shule za sekondari 1  Na idadi ya wanafunzi ni 367 (Me168, Ke 199).  Idadi ya wanafunzi watoro ni 3 (Me 2, Ke 1) na waliorudishwa shuleni kuendelea na masomo ni .. (Me .., Ke ..)
 
 











































































































 

  • Taarifa ya utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo katika Kata.

Kipindi cha Taarifa ya robo ya 3 mwaka wa fedha 2017/2018

Jina Kata Mpombo

NA.

Mahali Mradi
Unapotekelezwa
Jina la
Mradi
Ufadhili wa Mradi
Hali ya utekelezaji
Fedha iliyotumika
Maoni
Nje (jina la Mfadhhili)
KIASI Tshs
H/W wa Jamii
Mchango
Wa jamii

1

Lulasi
Ujenzi  kituo cha  afya
Mfuko  wa  jimbo
5,000,000.00

110,000.00
Usawa  wa  linta
1,100,000.00
Ujenzi  unaoendelea

2

Ijoka
Ujenzi  wa  zahanati



260,000.00
Tofari  tano
260,000.00
Ujenzi  unaoendelea

3

Kasanga
Ujenzi  wa  darasa S/M Kasanga



460,000.00
Hatua  ya  kukamilika  msingi
460,000.00
Ujenzi  unaoendelea

 










 










 










 










 










 










         

(B) Maendeleo ya Elimu

Na

Jina la Shule

Idadi ya Wanafunzi
Hali ya mahudhurio

Hali ya ufaulu darasa la saba

Maoni
Wav
Was
Jumla
Wav
Was
Jumla
Walioandikishwa
Waliofanya
Waliofaulul
Waliofeli

1
Bwilando
168
165
333
151
145
296





2
Mapambano
252
236
488
228
217
445





3
Ipoma
177
172
349
177
168
345





4
Lusanje
200
175
375
193
164
357





5
Kasanga
128
109
237
117
105
222





6
Kyejo
168
199
367
166
198
364





7












(C) Taarifa ya Hali ya Ustawi wa Wananchi

NA.
Jina la kijiji
Idadi ya watu
Hali ya chakula
Majanga ya kibinadamu
Vizazi na vifo
Wav
Was
Jml
M
W
N

Mafuriko
Njaa
Wadudu/
Waharibifu
Idadi ya waliozaliwa
Idadi ya waliofariki
1
Lusanje
1115
1215
2330




-
-
Fall army worm
2
2
2
Ijoka
1007
1220
2227




-
-
Fall army worm
1
2
3
Lulasi
568
618
1186




-
-
Fall army worm
2
1
4
Kasanga
547
594
1141




-
-
Fall army worm
2
2
5
Bwilando
591
673
1164




-
-
Fall army worm
1
-


Ufunguo: m= Hali mbaya, W = Hali wastani, N = Hali nzuri

(D) Taarifa ya shughuli za kiuchumi kuhusu maendeleo ya kilimo , ufugaji na Uvuvi



Upatikanaji wa wataalam
Zana za Kilimo
Pembejeo za kilimo
Pembejeo za mifugo
Pembejeo za Uvuvi
Na.
Jina la Kijiji
Mahitaji
Waliopo
Upungufu
Mahitaji
Zilizopo
Upungufu
Mahitaji
Zilizopo
Upungufu
Mahitaji
Zilizopo
Upungufu
Mahitaji
Zilizopo
Upungufu
1.
Lusanje
m
m
m
w
w
w
m
m
m
m
m
m
m


2.
Ijoka
m
m
m
w
w
w
m
m
m
m
m
m
m


3.
Lulasi
m
m
m
w
w
w
m
m
m
m
m
m
m


4.
Kasanga
m
m
m
w
w
w
m
m
m
m
m
m
m


5.
Bwilando
m
m
m
w
w
w
m
m
m
m
m
m
m


6
















(D) Uongozi wa Kata, Vijiji na Vitongoji.

Na

Uongozi wa Kata

Uongozi wa Vijiji

Uongozi wa Vitongoji


Aina ya Kiongozi

Idadi

Na.

Aina ya Kiongozi

Idadi

Na

Aina ya Kiongozi

Idadi

1
Mh. Diwani
1
1
M/kiti kijiji
5
1
M/kiti kitongoji
19
2








3


























 

Kilimo na Mifugo

 

(E) BARAZA LA KATA LA ARDHI NA NYUMBA LA KATA

Na

Baraza la Kata/Baraza la Ardhi Nyumba

Kama Baraza limefanyika

Idadi ya Mashauri ya Ardhi

 
Halijaundwa
(tick)
Limeundwa
(tick)
Me
Ke
Jml

Idadi ya Mashauri ya kawaida

Idadi ya mshauri ya Ardhi

 





Yalio
Pokelewa
Yalio
sikilizwa
Hajasi
kilizwa
Hayajasuluhishwa
Yamesu
luhishwa
Yalio
Pokelewa
Yalio
sikilizwa
Hajasi
kilizwa
Hayajasuluhishwa
Yamesu
luhishwa
 

√
5
3
8
-
-
-
-

-
-
-
-
-

















 

(F) Mapato na Michango ya Maendeleo

Na
Jina la Kijiji
Mapato ya Kijiji


Mradi I

Mradi 2

Mradi 3

Mradi 4

Mradi 5



Jina la mradi

Kiasi

Tshs

Jina la Mradi

Kiasi

Tshs

Jina la Mradi

Kiasi

Tshs

Jina la Mradi

Kiasi

Tshs

Jina la Mradi

Kiasi

Tshs

1

Lulasi
Ujenzi  wa  kituo  cha Afya  
1,100,000.00








2

Ijoka
Ujenzi  wa  zahanati
260,000.00








3

Kasanga
Ujenzi  wa  darasa
460,000.00








4












5












6












 

G) Miradi ya maendeleo ya kata na kijiji

Na

Jina la kata

Miradi ya Kata

Mradi 1

Mradi 2

Mradi 3

Mradi 4

Mradi 5

1



 
 
 
 



 
 
 
 



 
 
 
 



 
 
 
 

 

E) Uimarishaji dhana ya Uzalendo na utafiti kwa kuhamasisha vijana kuanzisha na kujiunga na vikundi vya vijana wagani kazi, mafunzo ya jeshi la mgambo, ulinzi shirikishi, polisi jamii na vyama vya kuweka na kukopa.

Na.

Jina la kijiji

Mafunzo ya Mgambo

Vijana wagani kazi

Vyma vya kuweka na kukopa

Polisi Jamii

Ulinzi shirikishi

ME
Ke
Jml
Me
Ke
Jml
Me
Ke
Jml
Me
Ke
Jml
Me
Ke
Jml

1

















2

















3

















4

















5

















6

















 

Fungu hili linahusu taarifa mbalimbali zilizotakiwa.  Taarifa hizo ni kama ifuatavyo:-

  • Idadi ya Vijiji, Kata, Vitongoji na Idadi ya Wakazi.

Na.

Jina la Kijiji

Me

Ke

Idadi ya Watu

Idadi ya Wakazi

1

Lusanje
1115
1215
2330
2330

2

Ijoka
1007
1220
2227
2227

3

Lulasi
568
6T18
1186
1186

4

Kasanga
547
594
1141
1141

5

Bwilando
591
673
1164
1164

6






  • IdadNtapisi  i ya Vijiji, Watumishi waliopo katika Kata na taarifa ya utendaji kazi
Na.
Vijiji vilivyopo katika Kata
Idadi ya watumishi waliopo katika kijiji
Hali ya utendaji kazi

1

Lusanje
28
Nzuri

2

Ijoka
9
Nzuri

3

Lulasi
10
Nzuri

4

Kasanga
7
Nzuri

5

Bwilando
6
Nzuri

 

  • Vikao vya Kisheria vya Kata, Vijiji na Vitongoji

Na.

Vikao vya kisheria vya kata(KAMAKA)

Vikao vya kisheria vya kijiji

Vikao vya kisheria vya Vitongoji

 

Vinavyohitajika

Vilivyofanyika

Sababu ya kutofanyika

Vinavyohitajika

Vilivyofanyika

Sababu ya kutofanyika

Vinavyohitajika

Vilivyofanyika

Sababu ya kutofanyika

1

1

1

-

15

8


57

34


2










3










4










5










 

H) Miradi ya Kijiji

Na.

 

Jina la Kijiji

Miradi iliyotekelezwa katika Kijiji

1

2

3

4

5


Lulasi
Ujenzi  wa  kituo  cha  afya





Ijoka  
Ujenzi  wa  zahanati





Kasanga
Ujenzi  wa  darasa  S/M



















 





  

  • Mpango wa maendeleo ya Elimu ya Msingi (MMEM)
Na.
Jina la Kijiji

Miradi ya MMEM iliyotekelezwa

Mradi

Kiasi

Mradi

Kiasi

Mradi

Kiasi

1


 

 

 

 

 

 

2


 

 

 

 

 

 

3


 

 

 

 

 

 

4


 

 

 

 

 

 

5


 

 

 

 

 

 

6


 

 

 

 

 

 

 

  • Mfuko wa afya ya Jamii
Na.
Jina la Kijiji
Kituo/Zahanati
Idadi ya watu waliojiunga na mfuko wa afya ya jamii
Kiasi cha michango iliyochangwa
maoni

1

Lusanje

Lusanje 

1

290,000.00


2






3






4






5






6





Taarifa ya ufuatiliaji wa vyoo ngazi ya kaya katika Kata.


Namba.
Jina la kijiji
Idadi  ya watu
Idadi ya kaya
Idada ya Vichanja 
Idadi ya mashimo  ya taka

Usalama wa maji

Vyoo

Sehemu ya Kunawia Mikono

Kujisaidia nje ya choo

Maoni

Idadi ya Kaya zenye vyombo maalum vya kuhifadhia maji ya kunywa
Kaya zenye Maji ya kunywa ni  salama (yamewekwa klorini, kuchemshw, kuwekwa takasa maji, au inatumia chujio maalum-filter)

Aina ya Choo

Sakafu

Kuzuia kuenea kwa kinyesi

Usiri

Choo kinatumiwa na  kaya zaidi ya 5

A = Asili
B = Asili kilichoboreshwa
C = Chenye bomba la hewa (VIP)
D =Cha maji
E = Ikolojia
X = Hakuna
Inasafishika kwa maji (saruji, plastiki ngumu, mbao au chuma)
Choo hakitiririshi kinyesi hovyo
Ukuta
Mlango unaofungika
Paa 
Nje ya choo
Maji tiririka
Sabuni
Je! kuna kinyesi kwenye sakafu, ukuta na tundu
Je! Kuna kinyesi kuzunguka nyumba

1

2

 

3

 

 

4

5

6a

6b

6c

6d

6e

6f

7

8

9a

9b

9c

10

11

12

13

14

15

16


 1.

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 

2.

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 

3.

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 

4. 

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 

 5.

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 

 6.
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 


Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA USAILI WA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA. December 09, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA AJIRA YA MKATABA October 20, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI MOJA YA AJIRA April 11, 2023
  • TANGAZO LA UKODISHAJI MAGHALA YA KUHIFADHIA KOKOA June 05, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MHE. HOMERA AHIMIZA USHIRIKIANO WA WANANCHI NA SERIKALI UTEKELEZAJI MIRADI YA MAENDELEO.

    June 11, 2025
  • KIDELI SASA BASI, CHANJO YA KUKU YA YAZINDULIWA RASMI BUSOKELO.

    June 09, 2025
  • MAFANIKIO SEKTA YA KILIMO HALMASHAURI YA BUSOKELO MWAKA 2024/2025.

    June 06, 2025
  • KAMPUNI YA UJENZI WA BARABARA YA CHINA ROADS AND BRIDGE CO-OPERATION YASAINI MKATABA WA KUWA MPANGAJI KATIKA MAKAMBI YA MBAMBO.

    May 29, 2025
  • Angalia zote

Video

Mkurugenzi atoa hamasa ya chakula kwa watoto mashuleni
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Watumishi Portal
  • Hati ya Mshahara
  • Orodha ya Madiwani
  • Maktaba ya Picha

Viunganishi Linganifu

  • Utumishi wa Umma
  • TAMISEMI
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya Rais
  • Tovuti ya Mkoa wa Mbeya
  • Sekretarieti ya Ajira

Kipimo cha Wateja duniani

world map hits counter

Wateja waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Lwangwa, Tukuyu

    Anuani ya Posta: S. L. P. 2, Tukuyu

    Simu: +255 737 205 318

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@busokelodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2019 Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo. Haki zote zimehifadhiwa.