Leo tarehe 15.4.2023,baada ya Kamati ya Halmashauri ya Mradi wa Boost kutoa elimu kwa Wananchi juu ya ujeo wa fedha za ujenzi wa madarasa kwa nyakati tofauti katika Halmashauri ya wilaya ya Busokelo. Wananchi wa Kata ya Kisegese kijiji cha Kasyabone wamefurahia ujio huo na kuunga mkono kwa Kufyeka Eneo la ujenzi wa madarasa mawili, Wamesha Sogeza tofali na Mawe.
Lwangwa, Tukuyu
Anuani ya Posta: S. L. P. 2, Tukuyu
Simu: +255 737 205 318
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@busokelodc.go.tz
Hakimiliki ©2019 Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo. Haki zote zimehifadhiwa.