• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua ya Pepe |
Busokelo District Council
Busokelo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango na Takwimu
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Usafishaji na Mazingira
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Ujenzi na Zima moto
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Ufugaji Nyuki
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Utawala na Mipango
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Elimu Afya na Maji
      • Kamati ya kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

RC MBEYA ATOA MAAGIZO KWA HALMASHAURI KUSIMAMIA MIRADI NA KUONGEZA MAPATO.

Imewekwa tarehe: February 19th, 2026

RC MBEYA ATOA MAAGIZO KWA HALMASHAURI KUSIMAMIA MIRADI NA KUONGEZA MAPATO.


Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Beno Malisa, amezitaka Timu za Wataalamu katika Halmashauri zote za Mkoa wa Mbeya kuhakikisha zinafanya ziara za mara kwa mara za ukaguzi wa miradi ya maendeleo ili kufuatilia utekelezaji wake na kutatua changamoto zinazowakabili wananchi katika maeneo yao.


Mhe. Malisa ametoa rai hiyo leo tarehe 19 Februari  2026 wakati akifungua kikao maalumu cha kupokea na kujadili Taarifa za Utekelezaji wa Shughuli mbalimbali za Serikali kutoka Halmashauri na Taasisi za Serikali kwa kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2025/2026.


Katika kikao hicho, Mhe. Malisa amesisitiza kuwa usimamizi madhubuti wa miradi ya maendeleo ni wajibu wa viongozi na wataalamu wa Halmashauri, akibainisha kuwa Serikali imeendelea kutoa fedha nyingi kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya kimkakati katika sekta mbalimbali ikiwemo elimu, afya, miundombinu ya barabara, maji na kilimo katika Mkoa wa Mbeya.

Ameeleza kuwa ni muhimu miradi hiyo kusimamiwa kwa weledi, kukamilika kwa wakati na kuwanufaisha wananchi kiuchumi na kijamii.


Aidha, amezitaka Halmashauri zote kuongeza juhudi katika ukusanyaji wa mapato ya ndani, na amesisitiza umuhimu wa kurejeshwa kwa wakati mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na Halmashauri kwa vikundi vya Vijana, Wanawake na Watu wenye Ulemavu,.


Mhe.Malisa amesitiza kuhusu namna bora ya kutatua changamoto zinawakabili wakulima.


Kikao hicho kimehudhuriwa na Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri zote saba za Mkoa wa Mbeya, Timu za Wataalamu wa Halmashauri, Waheshimiwa Wakuu wa Wilaya pamoja na wataalamu kutoka taasisi mbalimbali za Serikali zikiwemo  (TMA),  (TFRA),  (TPHPA),  (TOSCI),  (TARURA),  (TANROADS),  Electric Supply Company (TANESCO)  (RUWASA).

Kwa ujumla, kikao hiki ni chachu ya kuimarisha uwajibikaji, kuongeza mapato fursa za kiuchumi  kupitia biashara ,kilimo na miradi ya maendeleo inayotekelezwa ili kuleta matokeo chanya kwa wananchi wa Mkoa wa Mbeya kwa maendeleo endelevu.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA USAILI WA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA. December 09, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA AJIRA YA MKATABA October 20, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI MOJA YA AJIRA April 11, 2023
  • TANGAZO LA UKODISHAJI MAGHALA YA KUHIFADHIA KOKOA June 05, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • RC MBEYA ATOA MAAGIZO KWA HALMASHAURI KUSIMAMIA MIRADI NA KUONGEZA MAPATO.

    February 19, 2026
  • BUSOKELO DC KUSAKA VIPAJI VYA MPIRA KWA VIJANA, YAHIMIZA UMUHIMU WA MICHEZO KATIKA MAENDELEO.

    February 12, 2026
  • CMT BUSOKELO YAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO, YAAGIZA MIRADI YOTE IKAMILIKE IFIKAPO 20/01/2026.

    January 15, 2026
  • SHILINGI BILIONI 32.9 ZAIDHINISHWA BAJETI YA HALMASHAURI MWAKA WA FEDHA 2026/2027.

    January 14, 2026
  • Angalia zote

Video

Mkurugenzi atoa hamasa ya chakula kwa watoto mashuleni
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Watumishi Portal
  • Hati ya Mshahara
  • Orodha ya Madiwani
  • Maktaba ya Picha

Viunganishi Linganifu

  • Utumishi wa Umma
  • TAMISEMI
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya Rais
  • Tovuti ya Mkoa wa Mbeya
  • Sekretarieti ya Ajira

Kipimo cha Wateja duniani

world map hits counter

Wateja waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Lwangwa, Tukuyu

    Anuani ya Posta: S. L. P. 2, Tukuyu

    Simu: +255 737 205 318

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@busokelodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2019 Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo. Haki zote zimehifadhiwa.