Kuelekea siku ya Wanawake duniani, Naibu waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhe. Atupele Mwakibete amewataka Wanawake kufanya kazi kwa bidii na kuongeza ushirikiano miongoni mwao ikiwa ni nyenzo muhimu ya kupanua wigo wa uchumi wa Taifa kwa kuchangamkia fursa mbalimbali zinazowazunguka
Aidha amekemea vitendo vya ubaguzi kati yao kwani kufanya hivyo kunadidimiza harakati za wanawake kujinasua katika vitendo vya ukatili na unyanyasaji.
Lwangwa, Tukuyu
Anuani ya Posta: S. L. P. 2, Tukuyu
Simu: +255 737 205 318
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@busokelodc.go.tz
Hakimiliki ©2019 Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo. Haki zote zimehifadhiwa.