Wah. Madiwani,Mkurugenzi , baadhi ya Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo pamoja na Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Tukuyu wametembelea Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kujifunza jinsi shughuli za Bunge zinavyoendeshwa. Sambamba na hilo pia wamehudhuria uwasilishaji wa Bajeti ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi iliyowasilishwa na Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi Mh. Fredy Atupele Mwakibete
Lwangwa, Tukuyu
Anuani ya Posta: S. L. P. 2, Tukuyu
Simu: +255 737 205 318
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@busokelodc.go.tz
Hakimiliki ©2019 Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo. Haki zote zimehifadhiwa.