• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua ya Pepe |
Busokelo District Council
Busokelo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango na Takwimu
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Usafishaji na Mazingira
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Ujenzi na Zima moto
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Ufugaji Nyuki
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Utawala na Mipango
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Elimu Afya na Maji
      • Kamati ya kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Elimu Sekondari

MAJUKUMU YA IDARA YA ELIMU SEKONDARI.

  • Kuwakilisha Wizara ya Elimu, Sayansi n teknolojia nat katika ngazi zote
  • Kufafanua na kusimamia utekelezaji wa Sera ya Elimu na Mafunzo, Sheria na Kanuni katika Elimu ya Watu Wazima na Ufundi Stadi.
  • Kutoa ushauri wa kitalaamu kwa Halmashauri ya Wilaya, Mji au Manispaa kuhusu masuala yote ya kielimu.
  • Kudhibiti matumizi ya fedha za elimu kwa mujibu wa miongozo ya fedha za Serikali.
  • Kushughulikia upanuzi wa Elimu katika ngazi ya Elimu ya Awali, Elimu ya Msingi, Elimu ya Sekondari, Mafunzo ya Ualimu, Elimu ya Watu Wazima na Vituo vya Ufundi Stadi.
  • Kufuatilia kwa madhumuni ya kutathmini maendeleo ya Elimu katika Wilaya.
  • Kutayarisha na kusimamia utekelezaji wa mipango ya maendeleo ya Elimu kila mwaka.
  • Kuhakikisha kwamba shule zote zinaboresha mazingira ya kujifunzia na kufundishia.
  • Kuhimiza udhibiti wa nidhamu ya walimu na wanafunzi wilayani.
  • Kusimamia maslahi ya walimu.
  • Kuratibu na kusimamia mitihani ya Darasa la Nne, Darasa la Saba , Kidato cha Nne, Kidato cha Sita, Mafunzo ya Ualimu na Mitihani ya Vituo vya Ufundi Stadi katika wilaya kwa kushirikiana na Uongozi wa Elimu Mkoa na Baraza la Mitihani la Tanzania .
  • Kufuatilia Utekelezaji wa taarifa za Ukaguzi wa Shule na Vyuo.
  • Kusimamia Maendeleo ya Taaluma katika wilaya.
  • Kukusanya, kuratibu na kuchambua takwimu za elimu katika Wilaya kwa ajili ya Mipango ya Maendeleo katika ngazi ya Shule, Wilaya, Mkoa na Taifa.
  • Ni Katibu wa Kamati ya elimu na Utamaduni ya Halmashauri ya Wilaya/Mji/Manispaa kufuatana na kifungu cha 2 cha Sheria ya Elimu Na. 25 ya mwaka 1978 na kurekebishwa mwaka 1995.
  • Kufanya kazi nyingine kama utakavyoelekezwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya.

TAALUMA:

  • Kufuatilia na kusimamia utekelezaji wa taarifa za ukaguzi wa shule za sekondari.
  • Kuratibu na kusimamia mitihani ya kitaifa inayoendeshwa kwa shule za Sekondari katika Halmashauri.
  • Kubuni mipango ya mitihani ya elimu ya sekondari na kusimamia utekelezaji wake.
  • Kuhakikisha kuwa walimu na watumishi wengine wa shule za sekondari wanafanyiwa tathmini ya wazi ya utendaji kazi (Open Performance Review and Appraisal System) – OPRAS
  • Kubuni na kuratibu mipango ya mafunzo kazini kwaa walimu na watumishi wengine wa shule za Sekondari.
  • Kuratibu mashindano ya michezo na taaluma ya Shule za sekondari katika Halmashauri.
  • Kusimamia maendeleo ya taaluma na michezo ya shule za sekondari katika Halmashauri.
  • Kuhakikisha walimu wa Shule za sekondari wanapangiwa katika shiule kwa kuzingatia ikamainayokubalika.
  • Kufanya kazzi nyingine nitakazopewa na Mkurugenzi wa Halmashauri au Afisa Elimu wa Elimu ya Sekondari wa Halmashauri.

Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA ZA MUDA ZA MAKARANI NA WASIMAMIZI WA SENSA 2022 May 05, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA BUSOKELO June 23, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA AJIRA YA MKATABA October 20, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • WAH. MADIWANI,MKURUGENZI PAMOJA NA BAADHI YA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA BUSOKELO WAMETEMBELEA BUNGENI

    May 24, 2022
  • VIKUNDI 24 VYA WANAWAKE NA VIJANA VYAKABIDHIWA MIKOPO KIASI CHA MILIONI 118,500,000

    April 29, 2022
  • KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA HESABU ZA SERIKALI ZA MITAA

    March 23, 2022
  • KAMATI YA FEDHA ,UTAWALA NA MIPANGO IMEKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA JENGO LA UTAWALA

    March 05, 2022
  • Angalia zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Watumishi Portal
  • Hati ya Mshahara
  • Orodha ya Madiwani
  • Maktaba ya Picha

Viunganishi Linganifu

  • Utumishi wa Umma
  • TAMISEMI
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya Rais
  • Tovuti ya Mkoa wa Mbeya
  • Sekretarieti ya Ajira

Kipimo cha Wateja duniani

world map hits counter

Wateja waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Lwangwa, Tukuyu

    Anuani ya Posta: S. L. P. 2, Tukuyu

    Simu: +255 737 205 318

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@busokelodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2019 Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo. Haki zote zimehifadhiwa.