TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA UTAWALA NA MIRADI YA MAENDELEO KUTOKA KWENYE KATA YA LWANGWA, KWA ROBO YA 3 KWA MWAKA WA FEDHA 2017/2018
NA.
|
MAELEZO
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
(1) TAARIFA YA UTAWALA BORA
Kata ya Lwangwa ina jumla ya Vijiji 5 Vitongoji 15 na Kata ina humla ya wakazi 10668 Kata yetu ina jumla ya watumishi 110 wa kada mbalimbali kama ifuatavyo;-
Vikao viwili vimefanyika; Kukabidhi madarasa ya shule ya msingi Ndubi Ujio wa Naibu Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Akson katika Kata yetu Aprili 10, 2018. (II) USTAWI WAJAMII NA MAJANGA Kata yetu kwa upande wa hali ya ustawi wa wananchi hali ya chakula ni nzuri na majanga ya kibinadamu yaliyojitokeza kwa kipindi hiki ni kama ifuatavyo;- (III) TAARIFA YA AFYA Kwa upande wa sekta ya afya kata ina jumla ya vituo vya kutolea huduma za afya 3 Kwa robo hii wananchi waliojiunga na Mfuko wa Afya ya Jamiii (CHF) ni 55 Na mchango iliyokusanywa kwa ajili ya CHF ni Tshs 470,000.00 Kata ina jumla ya nyumba za watumishi wa afya 8 na mapungufu ya nyumba za watumishi wa kada hiyo ni5 Vilevile, kwa taarifa za vizazi na vifo vilivyojitokeza katika kata hii ni kama ifuatavyo;-
Katika suala la uimarishaji dhana ya uzalendo na Utaifa, mafunzo ya jeshi la mgambo yametolewa/hayajatolewa waliopata mafunzo jumla yake ni 0 (Me 0 Ke 0). Vilevile katika kata hii kuna jumla ya Polisi jamii 0 (Me 0 Ke 0) na hali ya usalama ni nzuri (matukio ya uharifu yaliyojitekeza kama yapo) (yataje).
Kata hii huduma za ugani zinatolewa kwa kupitia Maafisa Ugani wa Wagani kazi waliopo katika Kata. Idadi ya wagani kazi katika kata hii ni 0 (Me 0 Ke 0) Katika kata kuna jumla ya taasisi 3 Zinazotoa huduma za kifedha kama ufuatavyo;
Kata inajushughulisha na shughuli za mifugo na kilimo. Mazao makuu yanayolimwa katika Kata hii ni Ndizi, mahindi, maharage, ndizi, parachichi, mihogo, majimbi na kakao. Mifugo ni ng’ombe, nguruwe, mbuzi, kuku, bata, nk. (VI) HUDUMA ZA KISHERIA Katika Kata yetu Baraza la Kata/ Ardhi limeundwa na lina jumla ya wajumbe 8 (Me 5, Ke 3). Baraza la Kata/Ardhi limeshughulikia jumla ya mashauri 3 na mashauri yanayoendelea ni 0 na makusanyo ya Baraza hili ni Tshs 60,000 Kwa robo hii. (VII) SHUGHULI ZA KIUCHUMI NA MAKUSANYO YA MAPATO
Mapato hayo yamepatikana kutokana na vyanzo vya mapato Ushuru wa mazao ya kilimo /Mifugo (maziwa) ushuru wa machinjio ushuru wa Mbao. Mapato ya machinjio kwa robo hii ni Tshs 211,000.00 Vilevile, mapato hayo yamekusanywa katika Vijiji vifuatavyo;
Kati ya kiasi hicho cha fedha, Taslimu ni Tshs 2,100,000.00 na Thamani ya Nguvu kazi ni Tshs 2,750,000 Kwa mchanganuo ufuatao wa nguvu kazi.
Kata yetu katika robo hii imetekeleza miradi ya maendeleo jumla ya 4 aidha, kata imekusanya jumla ya Tshs 4,850,000.00 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa robo hii. Mchanganuo wa miradi inayotekelezwa umeambatishwa katika majedwali. (IX) TAARIFA YA ELIMU MSINGI Kata ina jumla ya shule za msingi 6 na idadi ya wanafunzi ni 2241 (Me 1144, Ke 1097) katika kata yangu hali ya mahudhurio ya wanafunzi ni asillimia ….. na hali ya ufaulu kwa ujumla kwa darasa la saba ni asilimia ……. (X) TAARIFA YA ELIMU SEKONDARI Kata ina jumla ya shule za sekondari 2 Na idadi ya wanafunzi ni 1120 (Me 672, Ke 448). Idadi ya wanafunzi watoro ni 8 (Me 4, Ke 4) na waliorudishwa shuleni kuendelea na masomo ni .. (Me .., Ke ..) |
Kipindi cha Taarifa ya robo ya 3 mwaka wa fedha 2017/2018
Jina Kata Lwangwa
NA. |
Mahali Mradi
Unapotekelezwa |
Jina la
Mradi |
Ufadhili wa Mradi
|
Hali ya utekelezaji
|
Fedha iliyotumika
|
Maoni
|
|||
Nje (jina la Mfadhhili)
|
KIASI Tshs
|
H/W wa Jamii
|
Mchango
Wa jamii |
||||||
1 |
Kitali
|
Ujenzi Zahanati Lupaso
|
Wananchi
|
1,025,000.00
|
|
1,025,000.00
|
|
7,250,000.00
|
Halmashauri tunaomba watusaidie
|
2 |
Kitali
|
Ujenzi wa Zahanati Kitali
|
Wananchi
|
1,275,000.00
|
|
1,275,000.00
|
|
800,000.00
|
|
3 |
Lulasi
|
Jengo la kupumzikia wagonjwa
|
Mfuko wa Jimbo
|
1,025,000.00
|
|
1,025,000.00
|
|
525,000.00
|
|
4 |
Mbigili
|
Kituo cha Afya
|
Wananchi
|
1,525,000.00
|
|
1,525,000.00
|
|
Haijafunikwa
|
|
5 |
|
|
|
|
|
|
|
|
|
6 |
|
|
|
|
|
|
|
|
|
7 |
|
|
|
|
|
|
|
|
|
8 |
|
|
|
|
|
|
|
|
|
9 |
|
|
|
|
|
|
|
|
|
(B) Maendeleo ya Elimu
Na
|
Jina la Shule |
Idadi ya Wanafunzi
|
Hali ya mahudhurio
|
Hali ya ufaulu darasa la saba |
Maoni
|
|||||||
Wav
|
Was
|
Jumla
|
Wav
|
Was
|
Jumla
|
Walioandikishwa
|
Waliofanya
|
Waliofaulul
|
Waliofeli
|
|
||
1
|
Ikama S/M
|
227
|
222
|
449
|
201
|
208
|
409
|
57
|
-
|
-
|
-
|
-
|
2
|
Lupaso S/M
|
143
|
151
|
293
|
139
|
147
|
286
|
38
|
-
|
-
|
-
|
-
|
3
|
Nkuyu S/M
|
200
|
176
|
276
|
191
|
167
|
358
|
50
|
-
|
-
|
-
|
-
|
4
|
Lukasi S/M
|
240
|
209
|
449
|
211
|
187
|
398
|
51
|
-
|
-
|
-
|
-
|
5
|
Mbisa S/M
|
126
|
138
|
269
|
119
|
128
|
247
|
32
|
-
|
-
|
-
|
-
|
6
|
Mbigili S/M
|
208
|
201
|
209
|
176
|
174
|
350
|
46
|
|
-
|
-
|
-
|
(C) Taarifa ya Hali ya Ustawi wa Wananchi
NA.
|
Jina la kijiji
|
Idadi ya watu
|
Hali ya chakula
|
Majanga ya kibinadamu
|
Vizazi na vifo
|
|||||||||
Wav
|
Was
|
Jml
|
M
|
W
|
N
|
|
Mafuriko
|
Njaa
|
Wadudu/
Waharibifu |
Idadi ya waliozaliwa
|
Idadi ya waliofariki
|
|||
1
|
|
|
|
|
|
|
√
|
|
|
|
FALL ARM WORM
|
|
|
|
2
|
|
|
|
|
|
|
√
|
|
|
|
|
|
|
|
3
|
|
|
|
|
|
|
√
|
|
|
|
|
|
|
|
4
|
|
|
|
|
|
|
√
|
|
|
|
|
|
|
|
5
|
|
|
|
|
|
|
√
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
Ufunguo: m= Hali mbaya, W = Hali wastani, N = Hali nzuri
(D) Taarifa ya shughuli za kiuchumi kuhusu maendeleo ya kilimo , ufugaji na Uvuvi
|
|
Upatikanaji wa wataalam
|
Zana za Kilimo
|
Pembejeo za kilimo
|
Pembejeo za mifugo
|
Pembejeo za Uvuvi
|
||||||||||
Na.
|
Jina la Kijiji
|
Mahitaji
|
Waliopo
|
Upungufu
|
Mahitaji
|
Zilizopo
|
Upungufu
|
Mahitaji
|
Zilizopo
|
Upungufu
|
Mahitaji
|
Zilizopo
|
Upungufu
|
Mahitaji
|
Zilizopo
|
Upungufu
|
1
|
IKAMAMBANDE
|
1
|
-
|
1
|
8000
|
7654
|
346
|
170
|
100kg
|
70
|
50kg
|
36tan
|
14
|
|
|
|
2
|
LUKASI
|
1
|
1
|
-
|
1945
|
1840
|
105
|
100kg
|
29kg
|
80kg
|
20kg
|
9.5tan
|
10.5
|
|
|
|
3
|
KITALI
|
1
|
-
|
1
|
3160
|
2959
|
201
|
170kg
|
60kg
|
110kg
|
30kg
|
11.5tan
|
19.5
|
|
|
|
4
|
MBIGILI
|
1
|
1
|
-
|
2295
|
2110
|
185
|
120kg
|
80kg
|
40kg
|
40kg
|
18tan
|
22
|
|
|
|
5
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
(D) Uongozi wa Kata, Vijiji na Vitongoji.
Na |
Uongozi wa Kata |
Uongozi wa Vijiji |
Uongozi wa Vitongoji |
|||||
|
Aina ya Kiongozi |
Idadi |
Na. |
Aina ya Kiongozi |
Idadi |
Na |
Aina ya Kiongozi |
Idadi |
1
|
Mhe. Diwani
|
2
|
1
|
Wenyeviti wa vijiji
|
4
|
1
|
Wenyeviti vitogoji
|
14
|
2
|
|
|
2
|
|
|
2
|
|
|
3
|
|
|
3
|
|
|
3
|
|
|
Kilimo na Mifugo
(E) BARAZA LA KATA LA ARDHI NA NYUMBA LA KATA
Na |
Baraza la Kata/Baraza la Ardhi Nyumba |
Kama Baraza limefanyika |
Idadi ya Mashauri ya Ardhi |
|||||||||||||
|
Halijaundwa
(tick) |
Limeundwa
(tick) |
Me
|
Ke
|
Jml
|
Idadi ya Mashauri ya kawaida |
Idadi ya mshauri ya Ardhi |
|||||||||
|
|
|
|
|
|
Yalio
Pokelewa |
Yalio
sikilizwa |
Hajasi
kilizwa |
Hayajasuluhishwa
|
Yamesu
luhishwa |
Yalio
Pokelewa |
Yalio
sikilizwa |
Hajasi
kilizwa |
Hayajasuluhishwa
|
Yamesu
luhishwa |
|
|
|
√
|
5
|
3
|
8
|
3
|
3
|
-
|
-
|
-
|
-
|
-
|
-
|
-
|
-
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
(F) Mapato na Michango ya Maendeleo
Na
|
Jina la Kijiji
|
Mapato ya Kijiji
|
|||||||||
|
|
Mradi I |
Mradi 2 |
Mradi 3 |
Mradi 4 |
Mradi 5 |
|||||
|
|
Jina la mradi |
Kiasi Tshs |
Jina la Mradi |
Kiasi Tshs |
Jina la Mradi |
Kiasi Tshs |
Jina la Mradi |
Kiasi Tshs |
Jina la Mradi |
Kiasi Tshs |
1 |
Kitali
|
Ujenzi zahanati Lupaso
|
1,025,000.00
|
Ujenzi zahanati Kitali
|
1,275,000.00
|
|
|
|
|
|
|
2 |
Lukasi
|
Jengo la kupumzikia
|
1,025,000.00
|
|
|
|
|
|
|
|
|
3 |
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
4 |
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
5 |
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
G) Miradi ya maendeleo ya kata na kijiji
Na |
Jina la kata |
Miradi ya Kata |
||||
Mradi 1 |
Mradi 2 |
Mradi 3 |
Mradi 4 |
Mradi 5 |
||
1 |
Lwangwa
|
Ujenzi wa kituo cha Afya
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
E) Uimarishaji dhana ya Uzalendo na utafiti kwa kuhamasisha vijana kuanzisha na kujiunga na vikundi vya vijana wagani kazi, mafunzo ya jeshi la mgambo, ulinzi shirikishi, polisi jamii na vyama vya kuweka na kukopa.
Na. |
Jina la kijiji |
Mafunzo ya Mgambo |
Vijana wagani kazi |
Vyma vya kuweka na kukopa |
Polisi Jamii |
Ulinzi shirikishi |
||||||||||
ME
|
Ke
|
Jml
|
Me
|
Ke
|
Jml
|
Me
|
Ke
|
Jml
|
Me
|
Ke
|
Jml
|
Me
|
Ke
|
Jml
|
||
1 |
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
2 |
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
3 |
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
4 |
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
5 |
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
Fungu hili linahusu taarifa mbalimbali zilizotakiwa. Taarifa hizo ni kama ifuatavyo:-
Na. |
Jina la Kijiji |
Me |
Ke |
Idadi ya Watu |
Idadi ya Wakazi |
1 |
Ikama mbande
|
|
|
5497
|
4465
|
2 |
Kitali
|
|
|
2273
|
2070
|
3 |
Lukasi
|
|
|
1812
|
2463
|
4 |
Mbigili
|
|
|
2626
|
1670
|
5 |
|
|
|
|
|
Na.
|
Vijiji vilivyopo katika Kata
|
Idadi ya watumishi waliopo katika kijiji
|
Hali ya utendaji kazi
|
1 |
Ikama mbande
|
|
|
2 |
Kitali
|
|
|
3 |
Lukasi
|
|
|
4 |
|
|
|
5 |
|
|
|
Na. |
Vikao vya kisheria vya kata(KAMAKA) |
Vikao vya kisheria vya kijiji |
Vikao vya kisheria vya Vitongoji |
||||||
|
Vinavyohitajika |
Vilivyofanyika |
Sababu ya kutofanyika |
Vinavyohitajika |
Vilivyofanyika |
Sababu ya kutofanyika
|
Vinavyohitajika |
Vilivyofanyika |
Sababu ya kutofanyika |
1 |
1 |
1 |
- |
4 |
4 |
-
|
45
|
40 |
Uchache wa mahudhurio
|
2 |
|
|
|
|
|
|
|
|
|
3 |
|
|
|
|
|
|
|
|
|
4 |
|
|
|
|
|
|
|
|
|
5 |
|
|
|
|
|
|
|
|
|
H) Miradi ya Kijiji
Na. |
Jina la Kijiji |
Miradi iliyotekelezwa katika Kijiji |
||||
1 |
2 |
3 |
4 |
5 |
||
1 |
Kitali
|
Ujenzi zahanati Lupaso
|
Ujenzi zahanati Kitali
|
|
|
|
2 |
Lukasi
|
Jengo la kupumzikia
|
|
|
|
|
3 |
|
|
|
|
|
|
4 |
|
|
|
|
|
|
5 |
|
|
|
|
|
|
Na.
|
Jina la Kijiji
|
Miradi ya MMEM iliyotekelezwa |
|||||
Mradi |
Kiasi |
Mradi |
Kiasi |
Mradi |
Kiasi |
||
1 |
|
|
|
|
|
|
|
2 |
|
|
|
|
|
|
|
3 |
|
|
|
|
|
|
|
4 |
|
|
|
|
|
|
|
5 |
|
|
|
|
|
|
|
Na.
|
Jina la Kijiji
|
Kituo/Zahanati
|
Idadi ya watu waliojiunga na mfuko wa afya ya jamii
|
Kiasi cha michango iliyochangwa
|
maoni
|
1 |
Ikamambande |
Ikama Zahanati |
11 |
100,000.00 |
Kuendelea kwa elimu kwa wananchi |
2 |
Lukasi |
Lukasi Zahanati |
38 |
315,000.00 |
|
3 |
Mbigili |
Mbigili Zahanati |
6 |
55,000.00 |
|
4 |
|
|
|
|
|
5 |
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
Namba.
|
Jina la kijiji
|
Idadi ya watu
|
Idadi ya kaya
|
Idada ya Vichanja
|
Idadi ya mashimo ya taka
|
Usalama wa maji |
Vyoo |
Sehemu ya Kunawia Mikono |
Kujisaidia nje ya choo |
Maoni
|
|
|||||||||||||||
Idadi ya Kaya zenye vyombo maalum vya kuhifadhia maji ya kunywa
|
Kaya zenye Maji ya kunywa ni salama (yamewekwa klorini, kuchemshw, kuwekwa takasa maji, au inatumia chujio maalum-filter)
|
|
||||||||||||||||||||||||
Aina ya Choo |
Sakafu |
Kuzuia kuenea kwa kinyesi |
Usiri |
Choo kinatumiwa na kaya zaidi ya 5
|
|
|||||||||||||||||||||
A = Asili
|
B = Asili kilichoboreshwa
|
C = Chenye bomba la hewa (VIP)
|
D =Cha maji
|
E = Ikolojia
|
X = Hakuna
|
Inasafishika kwa maji (saruji, plastiki ngumu, mbao au chuma)
|
Choo hakitiririshi kinyesi hovyo
|
Ukuta
|
Mlango unaofungika
|
Paa
|
Nje ya choo
|
Maji tiririka
|
Sabuni
|
Je! kuna kinyesi kwenye sakafu, ukuta na tundu
|
Je! Kuna kinyesi kuzunguka nyumba
|
|
||||||||||
1 |
2 |
|
3 |
|
|
4 |
5 |
6a |
6b |
6c |
6d |
6e |
6f |
7 |
8 |
9a |
9b |
9c |
10 |
11 |
12 |
13 |
14 |
15 |
16 |
|
1.
|
Ikamambande
|
520
|
4465
|
200
|
415
|
300
|
100
|
450
|
11
|
15
|
35
|
0
|
0
|
65
|
600
|
515
|
85
|
485
|
0
|
|
|
|
|
|
|
|
2.
|
Kitali
|
402
|
2070
|
339
|
194
|
5
|
12
|
354
|
6
|
5
|
13
|
0
|
35
|
6
|
381
|
386
|
221
|
198
|
0
|
|
|
|
|
|
|
|
3.
|
Lukasi
|
392
|
1670
|
187
|
241
|
390
|
5
|
390
|
0
|
0
|
5
|
0
|
2
|
1
|
385
|
388
|
391
|
382
|
0
|
|
|
|
|
|
|
|
4.
|
Mbigili
|
590
|
2463
|
488
|
457
|
524
|
125
|
402
|
1
|
4
|
10
|
0
|
30
|
6
|
388
|
92
|
310
|
298
|
0
|
|
|
|
|
|
|
|
5.
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
6.
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
1904
|
10668
|
1214
|
1303
|
1219
|
232
|
1590
|
18
|
24
|
63
|
0
|
67
|
78
|
1754
|
1381
|
1007
|
1363
|
0
|
|
|
|
|
|
|
|
Lwangwa, Tukuyu
Anuani ya Posta: S. L. P. 2, Tukuyu
Simu: +255 737 205 318
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@busokelodc.go.tz
Hakimiliki ©2019 Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo. Haki zote zimehifadhiwa.