• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua ya Pepe |
Busokelo District Council
Busokelo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango na Takwimu
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Usafishaji na Mazingira
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Ujenzi na Zima moto
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Ufugaji Nyuki
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Utawala na Mipango
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Elimu Afya na Maji
      • Kamati ya kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Kata ya Mpata

TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA UTAWALA NA MIRADI YA MAENDELEO KUTOKA KWENYE KATA YA MPATA, KWA ROBO YA 3 KWA MWAKA WA FEDHA 2017/2018

NA.
MAELEZO
(1) TAARIFA YA UTAWALA BORA
 
Kata ya Mpata ina jumla ya Vijiji 3 Vitongoji 11 na Kata ina humla ya wakazi 3715 Kata yetu ina jumla ya watumishi 31 wa kada mbalimbali kama ifuatavyo;-

NA.

KATA

MAHITAJI

WALIOPO

MAPUNGUFU


SEKTA YA UTAWALA




1

VEOs na WEOs
3
1
2

2

Walinzi









SEKTA YA JAMII




1

Elimu ya Msingi
13
11
2

2

Elimu ya Sekondari
11
10
1

3

Maji



4

Maendeleo ya Jamii
4
-
4

5

Afya, Wahudumu wa Afya ya Msingi
4
2
2

SEKTA TA UCHUMI




1

Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
4
2
2

2

Mifugo na Uvuvi
4
-
4

3

Ardhi, Maliasili na Utalii




MIKUTANO/VIKAO VYA KISHERIA

NA.

KIKAO/

MKUTANO

SHABAHA YA ROBO III

AKIDI

VIKAO/MIK

UTANO ILIYOFANYI

KA

AKIDI

VIKAO/

MIKUTA

NO

ISIYOFA

NYIKA

HATUA

ZILIZO

CHUKULI

WA


Mikutano
Mikuu ya vitongoji
(3x idadi ya vitongaji)
33
5478
18
1617
15
Waliambiwakila VEOna  M/Kitongoji wahakikishe  wanakaa na kufanya  mikutano kila  inavyotakiwa

Kamati za Halmashauri
Ya kijiji.
(3 kila kamati x Idadi ya kamati  x Idadi ya Vijiji)
36
54
-
-
36
Waliambiwakila VEOna  M/Kitongoji wahakikishe  wanakaa na kufanya  mikutano kila  inavyotakiwa

Halmashauri ya Kijiji (3 x Idadi ya Vijiji)
09
225
7
98
2
Waliambiwakila VEOna  M/Kitongoji wahakikishe  wanakaa na kufanya  mikutano kila  inavyotakiwa

Mikutano mikuu ya Kijiji  (1 X IDADI YA Vijjiji)
3
5482
3
376
0


Timu ya Menejimenti ya Kata (WMT) (1 X Kimoja kila mwezi.)
3
27
-
-
3


Kamati ya Maendeleo ya Kata (KAMAKA)
1
12
1
11
-









Vikao vya dharura vilivyofanyika na sababu za udharura huo.Vikao vya dharula ni vitatu vikao vyote vitatu  vilikuwa vinahusiana  na  maswara ya  kupata  eneola ujenzi wa kituo cha  Afya,kuchagua  kamati za kusimamia ujenzi  na  kufanya  tathimini za ujenzi.
 
(II) USTAWI WAJAMII NA MAJANGA
Kata  yetu kwa upande wa hali ya ustawi wa wananchi hali ya chakula ni nzuri na majanga ya kibinadamu yaliyojitokeza kwa kipindi hiki ni kama ifuatavyo;-
(III) TAARIFA YA AFYA
Kwa upande wa sekta ya afya kata ina  jumla ya vituo vya kutolea huduma za afya 1 Kwa robo hii wananchi waliojiunga na Mfuko wa Afya ya Jamiii (CHF) ni 2  Na mchango iliyokusanywa kwa ajili ya CHF ni Tshs 20,000.00 Kata ina jumla ya nyumba za watumishi wa afya2na mapungufu ya nyumba za watumishi wa kada hiyo ni 2
Vilevile, kwa taarifa za vizazi na vifo vilivyojitokeza katika kata hii ni kama ifuatavyo;-
  • Idadi ya watoto waliozaliwa kwenye vituo vya kutolea huduma ya afya ni 10
  • Idadi ya watoto waliozaliwa nyumbani ni 0
  • Idadi ya watoto wachanga waliofariki ndani ya siku 7 baada ya kuzaliwa ni 0
  • Idadi ya vifo vya watoto wenye umri wa chini ya miaka 5 ni 0
  • Idadi ya vifo kwa wajawazito  ni 0
  • Idadi ya vifo vya wakina mama waliofariki ndani ya siku 42 baada ya kujufungua ni 0
  • Idadi ya vifo vya watu kuanzia miaka 5 na kuendelea ni 12
(IV) ULINZI NA USALAMA
Katika  suala la uimarishaji dhana ya uzalendo na Utaifa, mafunzo ya jeshi la mgambo yametolewa/hayajatolewa waliopata mafunzo jumla yake ni 0 (Me 0 Ke 0).  Vilevile katika kata hii kuna jumla ya Polisi jamii - (Me-  Ke -) na hali ya usalama ni nzuri (matukio ya uharifu yaliyojitekeza kama yapo) (yataje).
  •  ……………………………………
  • …………………………………
  • ………………………………….
  • ………………………………….
(V) HUDUMA ZA KILIMO NA MIFUGO
Kata hii huduma za ugani zinatolewa kwa kupitia Maafisa Ugani wa Wagani kazi waliopo katika Kata.   Idadi ya wagani kazi katika kata hii ni -(Me 0Ke 0)
Katika kata kuna jumla ya taasisi…..Zinazotoa huduma za kifedha kama ufuatavyo;

NA.

JINA LA

TAASISI/

CHAMA

IDADI YA

WANANCHI

IDADI YA

HISA

JUMLA YA

MTAJI

 


-
-
-
-
-
1
-
-
-
-
-
2





3





4











Katika Kata hali ya uwepo wa zana za Kilimo ni Wastani (nzuri, wastani au mbaya) na upatikanaji wa pembejeo za Kilimo ni Wastani
Kata inajushughulisha na shughuli za mifugo na kilimo.
Mazao makuu yanayolimwa katika Kata hii ni,Mihogo, Ndizi , Maharage, Mahindi,Viazi  Vitamu, Karanga ,Chai na  Migomba
 
 (VI) HUDUMA ZA KISHERIA
Katika  Kata yetu Baraza la Kata/ Ardhi limeundwa na lina jumla ya wajumbe 6 (Me 4 Ke 2).  Baraza la Kata/Ardhi limeshughulikia jumla ya mashauri1 na mashauri yanayoendelea ni 3 na makusanyo ya Baraza hili ni Tshs 9,000.00  Kwa robo hii.
(VII) SHUGHULI ZA KIUCHUMI NA MAKUSANYO YA MAPATO
  • Shughuli za kiuchumi
Kata hii ina jumla ya shughuli kuu 3 (taja idadi) za kiuchumi zinazotokelezwa na wananchi.  Shughuli hizo ni kama ifuatavyo;-
  • Kilimo
  • Ufugaji
  • Biashara  ndogondogo
  • ………………………………
  • Makusanyo ya mapato
Kata  yetu kwa robo hii ya 3 imekisia kukusanya jumla ya Tshs 6,435,600.00  kwa kipindi cha robo hii kata imekusanya jumla ya Tshs 3,942,000.00  sawa na asilimia 61.3% ya makisio ya makusanyo ya robo mwaka.  
Mapato hayo yamepatikana  kutokana na vyanzo vya mapato Ushuru  wa  mazao  ya  Mpunga,Mbosa,Mkaa, Biashara ndogondogo.
Mapato ya machinjio kwa robo hii ni Tshs 20,000.00
Vilevile, mapato hayo yamekusanywa katika Vijiji vifuatavyo;
  • Mpata    Tsh. 3,031,600.00  
  • Ipagika    Tsh. 550,400.00
  • Kilimansanga   Tsh.  360,000.00
Aidha, kata hii imekusanya jumla ya Tshs 300,000.00  Ambayo ni michango ya miradi ya maendeleo inayotekelezwa ndani ya kata yetu.
Kati ya kiasi hicho cha fedha, Taslimu ni Tshs - na Thamani ya Nguvu kazi ni Tshs 4,540,000.00   Kwa mchanganuo ufuatao wa nguvu kazi.
 

NA

AINA YA NGUVU KAZI

IDADI

THAMANI YA FEDHA

1
Kusogeza  tofari kwenda  sehemu  ya ujenzi  wa  kituo cha  afya
13500
2,700,000.00
2
Kusogeza  mchanga kwenda  sehemu  ya ujenzi  wa  kituo cha  afya
34
1,700,000.00
3
Kusomba mchanga  wa  ujenziwa choo s/mMpata
1
140,000.00
4
Kufyatua  tofari ujenzi wa  S/M Ipagika
130
19,500.00
5



6



7



8



9



(VIII) MIRADI YA MAENDELEO
Kata yetu katika robo hii imetekeleza miradi ya maendeleo jumla ya - aidha, kata imekusanya jumla ya Tshs -  kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa robo hii.  Mchanganuo wa miradi inayotekelezwa umeambatishwa katika majedwali.
 
(IX) TAARIFA YA ELIMU MSINGI
Kata ina jumla ya shule za msingi  2na idadi ya wanafunzi ni 655 (Me 327, Ke 328) katika kata yangu hali ya mahudhurio ya wanafunzi ni asillimia 94% na hali ya ufaulu kwa ujumla kwa darasa la saba ni asilimia
(X) TAARIFA YA ELIMU SEKONDARI
Kata  ina jumla ya shule za sekondari1  Na idadi ya wanafunzi ni107 (Me 50, Ke 57).  Idadi ya wanafunzi watoro ni - (Me- , Ke -  ) na waliorudishwa shuleni kuendelea na masomo ni .. (Me .., Ke ..)











































































































  • Taarifa ya utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo katika Kata.

Kipindi cha Taarifa ya robo ya 3 mwaka wa fedha 2017/2018

Jina Kata Mpata

NA.

Mahali Mradi
Unapotekelezwa
Jina la
Mradi
Ufadhili wa Mradi
Hali ya utekelezaji
Fedha iliyotumika
Maoni
Nje (jina la Mfadhhili)
KIASI Tshs
H/W wa Jamii
Mchango
Wa jamii

 










 










 










 










 










 










 










 










 










         

(B) Maendeleo ya Elimu

Na

Jina la Shule

Idadi ya Wanafunzi
Hali ya mahudhurio

Hali ya ufaulu darasa la saba

Maoni
Wav
Was
Jumla
Wav
Was
Jumla
Walioandikishwa
Waliofanya
Waliofaulul
Waliofeli

1
Mpata  S/M
159
174
333
150
160
310





2
Nyanga  S/M
168
154
322
160
148
308

























































(C) Taarifa ya Hali ya Ustawi wa Wananchi

NA.
Jina la kijiji
Idadi ya watu
Hali ya chakula
Majanga ya kibinadamu
Vizazi na vifo
Wav
Was
Jml
M
W
N

Mafuriko
Njaa
Wadudu/
Waharibifu
Idadi ya waliozaliwa
Idadi ya waliofariki
1
Ipagika
453
449
902




-
-
Fall arm worm
5
3
2
Mpata
650
681
1331




-
-
Fall arm worm
4
3
3
Kilimansanga
730
752
1482




-
-
Fall arm worm
8
6




























  

Ufunguo: m= Hali mbaya, W = Hali wastani, N = Hali nzuri

(D) Taarifa ya shughuli za kiuchumi kuhusu maendeleo ya kilimo , ufugaji na Uvuvi



Upatikanaji wa wataalam
Zana za Kilimo
Pembejeo za kilimo
Pembejeo za mifugo
Pembejeo za Uvuvi
Na.
Jina la Kijiji
Mahitaji
Waliopo
Upungufu
Mahitaji
Zilizopo
Upungufu
Mahitaji
Zilizopo
Upungufu
Mahitaji
(L)
Zilizopo
Upungufu
(L)
Mahitaji
Zilizopo
Upungufu
1.
Ipagika
1
1
-
1444
575
869
24.31
0.58
23.73
0.922
-
0.92
-
-
-
2.
Mpata
1
-
-
1758
740
1018
32.23
1.46
30.77
2.691
-
2.691
-
-
-
3.
Kilimansanga
1
1
1
2274
962
1312
41.69
0.95
40.74
2.385
-
2.385
-
-
-
4.
















5.
















(D) Uongozi wa Kata, Vijiji na Vitongoji.

Na

Uongozi wa Kata

Uongozi wa Vijiji

Uongozi wa Vitongoji


Aina ya Kiongozi

Idadi

Na.

Aina ya Kiongozi

Idadi

Na

Aina ya Kiongozi

Idadi

1
Mh. Diwani
1
1
M/kiti kijiji
3
1
Wenyeviti vitogoji
11
2
WEO
1
2
VEOS
3
2


3
MEK
1
3


3




















 

Kilimo na Mifugo

 

(E) BARAZA LA KATA LA ARDHI NA NYUMBA LA KATA

Na

Baraza la Kata/Baraza la Ardhi Nyumba

Kama Baraza limefanyika

Idadi ya Mashauri ya Ardhi

 
Halijaundwa
(tick)
Limeundwa
(tick)
Me
Ke
Jml

Idadi ya Mashauri ya kawaida

Idadi ya mshauri ya Ardhi

 

√
4
2
6
Yalio
Pokelewa
Yalio
sikilizwa
Hajasi
kilizwa
Hayajasuluhishwa
Yamesu
luhishwa
Yalio
Pokelewa
Yalio
sikilizwa
Hajasi
kilizwa
Hayajasuluhishwa
Yamesu
luhishwa
 





-
-
-
-

-
-
-
-
-

















 

(F) Mapato na Michango ya Maendeleo

Na
Jina la Kijiji
Mapato ya Kijiji


Mradi I

Mradi 2

Mradi 3

Mradi 4

Mradi 5



Jina la mradi

Kiasi

Tshs

Jina la Mradi

Kiasi

Tshs

Jina la Mradi

Kiasi

Tshs

Jina la Mradi

Kiasi

Tshs

Jina la Mradi

Kiasi

Tshs





























































 

 G) Miradi ya maendeleo ya kata na kijiji

Na

Jina la kata

Miradi ya Kata

Mradi 1

Mradi 2

Mradi 3

Mradi 4

Mradi 5

1

Mpata
Ujenzi  wa  kituo cha  afya
 
 
 
 



 
 
 
 



 
 
 
 



 
 
 
 

 

E) Uimarishaji dhana ya Uzalendo na utafiti kwa kuhamasisha vijana kuanzisha na kujiunga na vikundi vya vijana wagani kazi, mafunzo ya jeshi la mgambo, ulinzi shirikishi, polisi jamii na vyama vya kuweka na kukopa.

Na.

Jina la kijiji

Mafunzo ya Mgambo

Vijana wagani kazi

Vyma vya kuweka na kukopa

Polisi Jamii

Ulinzi shirikishi

ME
Ke
Jml
Me
Ke
Jml
Me
Ke
Jml
Me
Ke
Jml
Me
Ke
Jml

1

Ipagika
-
-

-
-










2

Mpata
-
-

-
-










3

Kilimansanga
-
-

-
-












-
-

-
-












-
-

-
-










 

Fungu hili linahusu taarifa mbalimbali zilizotakiwa.  Taarifa hizo ni kama ifuatavyo:-

  • Idadi ya Vijiji, Kata, Vitongoji na Idadi ya Wakazi.

Na.

Jina la Kijiji

Me

Ke

Idadi ya Watu

Idadi ya Wakazi

1

Ipagika
453
449
902
902

2

Mpata
650
681
1331
1331

3

Kilimansanga
730
752
1482
1482






  • IdadNtapisi  i ya Vijiji, Watumishi waliopo katika Kata na taarifa ya utendaji kazi
Na.
Vijiji vilivyopo katika Kata
Idadi ya watumishi waliopo katika kijiji
Hali ya utendaji kazi

1

Ipagika
1
Nzuri

2

Mpata
25
Nzuri

3

Kilimansanga
5
Nzuri








 

  • Vikao vya Kisheria vya Kata, Vijiji na Vitongoji

Na.

Vikao vya kisheria vya kata(KAMAKA)

Vikao vya kisheria vya kijiji

Vikao vya kisheria vya Vitongoji

 

Vinavyohitajika

Vilivyofanyika

Sababu ya kutofanyika

Vinavyohitajika

Vilivyofanyika

Sababu ya kutofanyika

Vinavyohitajika

Vilivyofanyika

Sababu ya kutofanyika

1

1

1


9

7

Wajumbe kutokutimia
33

21

Mwingiliano wa ratiba

2










3










4










5










 

H) Miradi ya Kijiji

Na.

 

Jina la Kijiji

Miradi iliyotekelezwa katika Kijiji

1

2

3

4

5





































 





 

  • Mpango wa maendeleo ya Elimu ya Msingi (MMEM)
Na.
Jina la Kijiji

Miradi ya MMEM iliyotekelezwa

Mradi

Kiasi

Mradi

Kiasi

Mradi

Kiasi

1


 

 

 

 

 

 

2


 

 

 

 

 

 

3


 

 

 

 

 

 



 

 

 

 

 

 


 

 

 

 

 

 

 


  • Mfuko wa afya ya Jamii
Na.
Jina la Kijiji
Kituo/Zahanati
Idadi ya watu waliojiunga na mfuko wa afya ya jamii
Kiasi cha michango iliyochangwa
maoni

1

Mpata 

Mpata

1

10,000.00

Waongeze  Bidii

2

Kilimansanga 

Mpata

1

10,000.00


3
























Taarifa ya ufuatiliaji wa vyoo ngazi ya kaya katika Kata.


Namba.
Jina la kijiji
Idadi  ya watu
Idadi ya kaya
Idada ya Vichanja 
Idadi ya mashimo  ya taka

Usalama wa maji

Vyoo

Sehemu ya Kunawia Mikono

Kujisaidia nje ya choo

Maoni

Idadi ya Kaya zenye vyombo maalum vya kuhifadhia maji ya kunywa
Kaya zenye Maji ya kunywa ni  salama (yamewekwa klorini, kuchemshw, kuwekwa takasa maji, au inatumia chujio maalum-filter)

Aina ya Choo

Sakafu

Kuzuia kuenea kwa kinyesi

Usiri

Choo kinatumiwa na  kaya zaidi ya 5

A = Asili
B = Asili kilichoboreshwa
C = Chenye bomba la hewa (VIP)
D =Cha maji
E = Ikolojia
X = Hakuna
Inasafishika kwa maji (saruji, plastiki ngumu, mbao au chuma)
Choo hakitiririshi kinyesi hovyo
Ukuta
Mlango unaofungika
Paa 
Nje ya choo
Maji tiririka
Sabuni
Je! kuna kinyesi kwenye sakafu, ukuta na tundu
Je! Kuna kinyesi kuzunguka nyumba

1

2

 

3

 

 

4

5

6a

6b

6c

6d

6e

6f

7

8

9a

9b

9c

10

11

12

13

14

15

16


 1.
Kilimansanga
1482
362
327
311
353
0
0
0
3
0
0
343
0
351
265
69
289
0
0
0
0
0
0
0

2.
Ipagika
902
205
195
194
205
0
0
0
0
0
0
204
0
204
196
46
132
0
0
0
0
0
0
0

3.
Mpata
1331
394
324
129
394
0
0
0
0
0
0
341
0
341
241
36
45
0
0
0
0
0
0
0

4. 

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 

 5.

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 

 6.
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 

 
961
846
634
952
0
0
1
5
0
0
 
888
0
896
702
154
466
0
0
0
0
0
0
0


Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA USAILI WA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA. December 09, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA AJIRA YA MKATABA October 20, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI MOJA YA AJIRA April 11, 2023
  • TANGAZO LA UKODISHAJI MAGHALA YA KUHIFADHIA KOKOA June 05, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • JUMLA YA MIRADI YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 171. YAKAGULIWA NA KAMATI YA UKAGUZI.

    July 14, 2025
  • MAJARIBIO YA VIJANA WENYE VIPAJI VYA SOKA BUSOKELO

    July 18, 2025
  • MHE. HOMERA AHIMIZA USHIRIKIANO WA WANANCHI NA SERIKALI UTEKELEZAJI MIRADI YA MAENDELEO.

    June 11, 2025
  • KIDELI SASA BASI, CHANJO YA KUKU YA YAZINDULIWA RASMI BUSOKELO.

    June 09, 2025
  • Angalia zote

Video

Mkurugenzi atoa hamasa ya chakula kwa watoto mashuleni
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Watumishi Portal
  • Hati ya Mshahara
  • Orodha ya Madiwani
  • Maktaba ya Picha

Viunganishi Linganifu

  • Utumishi wa Umma
  • TAMISEMI
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya Rais
  • Tovuti ya Mkoa wa Mbeya
  • Sekretarieti ya Ajira

Kipimo cha Wateja duniani

world map hits counter

Wateja waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Lwangwa, Tukuyu

    Anuani ya Posta: S. L. P. 2, Tukuyu

    Simu: +255 737 205 318

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@busokelodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2019 Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo. Haki zote zimehifadhiwa.