• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua ya Pepe |
Busokelo District Council
Busokelo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango na Takwimu
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Usafishaji na Mazingira
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Ujenzi na Zima moto
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Ufugaji Nyuki
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Utawala na Mipango
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Elimu Afya na Maji
      • Kamati ya kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

KIDELI SASA BASI, CHANJO YA KUKU YA YAZINDULIWA RASMI BUSOKELO.

Imewekwa tarehe: June 9th, 2025

KIDELI SASA BASI, CHANJO YA KUKU YA YAZINDULIWA RASMI BUSOKELO.

Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo imezindua rasmi kampeni ya utoaji chanjo ya kideli kwa ajili ya kuku,uzinduzi huo umefanyika katika viwanja vya ofisi ya Halmashauri na kuhudhuriwa na wataalamu wa mifugo pamoja na wafugaji leo  09 June,2025.

Akizungumza katika uzinduzi huo Kaimu wa Idara ya kilimo,Mifugo na Uvuvi Bw. Celestine Kimaro amesema kuwa zoezi hili ni la kitaifa na linafanyika Tanzania nzima, na chanjo hii ni mpango wa serikali  wa miaka mitano kuanzia 2025 mpaka 2030. 

Halmashauri ya Busokelo inatarajia kutoa chanjo kwa kuku 180,000 na wataalamu wa mifugo watapita kila kijiji kuhakikisha kuku wote wanapatawa chanjo hiyo.

Aidha, Daktari wa Mifugo wa Halmashauri amethibitisha kuwa chanjo inayotolewa ni kwa ajili ya kuzuia ugonjwa wa kideli ambao unasababishwa na virusi ambavyo huathiri kuku hasa kuku wadogo,ugonjwa huo unaambukizwa kwa njia ya hewa na dalili zake ni pamoja na kinyesi cha kijani,homa kali na kusababisha kifo mara moja endapo kuku hatapatiwa chanjo.

Sambamba na hilo mwakilishi wa Wafugaji  Bw.Ally Kitogelo ameishukuru serikali na wataalamu wa mifugo kwa kuleta chanjo ya kideli kwa ajili ya kuku kwani itasaidia kukabiliana na ugonjwa wa kideli ambao umekuwa changamoto kubwa kwa Wafugaji wa kuku.

Mwakilishi wa Wafugaji kata ya Lwangwa Bi.Tulinagwe Stashoni ameiomba serikali zoezi la chanjo ya kideli liwe endelevu kwa sababu wafugaji wanateseka na wamekuwa wakipata hasara sana kutokana na ugonjwa wa kideli pia ameishukuru Serikali ya awamu ya sita kwa kuwakumbuka Wafugaji wa kuku.

Uzinduzi wa chanjo ya kideli cha kuku katika Halmashauri ya Busokelo ni hatua muhimu katika ukuzaji endelevu wa ufugaji wa kuku.kwa kuku walio salama ma wenye afya,uzinduzi huu unaimarisha jitihada za serikali katika kuhakikisha ufugaji unakuwa imara katika maendeleo ya kijamii na kiuchumi.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA USAILI WA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA. December 09, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA AJIRA YA MKATABA October 20, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI MOJA YA AJIRA April 11, 2023
  • TANGAZO LA UKODISHAJI MAGHALA YA KUHIFADHIA KOKOA June 05, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MHE. HOMERA AHIMIZA USHIRIKIANO WA WANANCHI NA SERIKALI UTEKELEZAJI MIRADI YA MAENDELEO.

    June 11, 2025
  • KIDELI SASA BASI, CHANJO YA KUKU YA YAZINDULIWA RASMI BUSOKELO.

    June 09, 2025
  • MAFANIKIO SEKTA YA KILIMO HALMASHAURI YA BUSOKELO MWAKA 2024/2025.

    June 06, 2025
  • KAMPUNI YA UJENZI WA BARABARA YA CHINA ROADS AND BRIDGE CO-OPERATION YASAINI MKATABA WA KUWA MPANGAJI KATIKA MAKAMBI YA MBAMBO.

    May 29, 2025
  • Angalia zote

Video

Mkurugenzi atoa hamasa ya chakula kwa watoto mashuleni
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Watumishi Portal
  • Hati ya Mshahara
  • Orodha ya Madiwani
  • Maktaba ya Picha

Viunganishi Linganifu

  • Utumishi wa Umma
  • TAMISEMI
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya Rais
  • Tovuti ya Mkoa wa Mbeya
  • Sekretarieti ya Ajira

Kipimo cha Wateja duniani

world map hits counter

Wateja waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Lwangwa, Tukuyu

    Anuani ya Posta: S. L. P. 2, Tukuyu

    Simu: +255 737 205 318

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@busokelodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2019 Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo. Haki zote zimehifadhiwa.