• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Busokelo District Council
Busokelo District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Busokelo District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Adminstration
    • Organization Structure
    • Departments
      • Adminstration and Human Resource
      • Planning and Statistics
      • Finance and Trade
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Health
      • Water
      • Sanitation and Environment
      • Agriculture, Irrigation and Cooperatives
      • Livestock and Fisheries
      • Development and Social Walfare
      • Land and Natural Resouces
      • Construction, Fire and Works
    • Units
      • Internal Audit
      • Bee Keeping
      • Election
      • Legal
      • Ict
      • Procurement and Supplies
  • Investment Oppotunities
    • Tourism
    • Agricultural
    • Livestock
    • Fishing
    • Bee Keeping
    • Industries
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
  • Councilors
    • Councilors list
    • Standing Committee
      • Finance Planning and Adminstration
      • Economy Works and Environment
      • Education Health and Water
      • CMAC
      • Ethics committee
    • Schedules
      • Councilors schedule meetings
      • Chairperson schedule
  • Projects
    • Planned projects
    • On going projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Acts
    • Customer service contrct
    • Strategic plan
    • Reports
    • Application Forms
    • Guidelines
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

BUSOKELO KUWAPATIA WATOTO CHANJO YA POLIO.

Posted on: September 18th, 2023

BUSOKELO KUWAPATIA WATOTO CHANJO YA POLIO.

Kampeni Kitaifa ya chanjo ya polio itafanyika nyumba kwa nyumba katika Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo ili kuwakinga Watoto wote walio na umri 0 hadi miaka 8 dhidhi ya ugonjwa hatari wa Polio.

Hayo yamebainishwa leo 18/09/2023 na Mwenyekiti wa Kamati ya Msingi ya Afya ngazi ya Jamii Mhe. Jafarr Haniu katika kikao kilicho wakutanisha wajumbe wa kamati hiyo katika Ukumbi wa Halmahsauri ya Wilaya ya Busokelo Kwa ajili ya maandalizi ya kampeni ya Kitaifa ya Chanjo ya Polio itakayo anzaa tarehe 21-24/09/2023

Akifungua kikao hicho Mwenyekiti wa kamati hiyo Mkuu wa Wilaya ya Rungwe Mhe. Jaffar Haniu, amewaagiza wajumbe wa kamati wahakikishe kuwa  jamii inashirikishwa kikamilifu, ili zoezi la utoaji chanjo ya matone ya Polio iwafikie kwa wingi watoto katika maeneo yote ya Busokelo.

“Nikampeni  ya Kitaifa ambayo itaanza kuanzia 21 mpaka tarehe 24, itahususha Watoto wenye umri wa miaka 0 hadi 8, itahusisha vituo vya afya,maeneo ya mikusanyiko, nyumba hadi nyumba, ni zoezi amabalo linahitaji ushiriki wetu sote , viongozi wa dini Watumishi  kwahiyo niwaombe sana tushiriki kila mmoja kwa nafasi yake lengo Watoto wapate chanjo ili tuweze kuwakinga Watoto wetu dhidhi ungonjwa huu ” amesema Mhe.Haniu.

Akifafanua kuhusu kampeni ya kitaifa ya Chanjo ya Polio, Mratibu wa Chanjo Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo Bw. Bariki Mhagama ameeleza kuwa lengo la Kampeni hiyo ni  kuongeza  uelewa kwa wanajamii kuhusu faida ya chanjo za Polio, Kuwafikia  watoto wengi zaidi  katika maeneo yetu na  taasisi zetu, kutumia taasisi, taaaluma na nafasi tulizonazo  ili kuwafikia wanajamii kwa kauli moja ya kwenda kuwapeleka Watoto  wapate chanjo itakayo wakinga dhidhi ya ugonjwa wa Polio na kuwa Mabalozi wa kuendesha  kampeni dhidi ugonjwa hatari wa Polio na chanjo yake.

POLIO ni ugonjwa unaosababishwa na kirusi cha polio, ugonjwa huu humsababishia mgonjwa kupooza  viungo vya mwili na hata kupoteza maisha. Virusi vinaweza kuingia kwa njia ya mdomo kwa kunywa maji au chakula ambacho kimechafuliwa na kinyesi kutoka kwa mtu aliyeambukizwa na virusi hivyo

Kwa mara ya mwisho Tanzania ilipata Mgonjwa  wa Polio mnamo mwaka 1996 ,hivi karibuni Mgonjwa amegundulika Sumbawanga Mkoani Rukwa, na hivyo Serikali imeamua kufanya kampeni ya chanjo ya Polio katika mikoa ya Rukwa, Mbeya, Songwe, Katavi,  Kigoma na Kagera.

Walengwa  wa chanjo ya  watoto walio na umri 0 hadi miaka 8 walioko  mashuleni, Nyumbani, Vituo vya kulelea watoto, na  shule za awali bila malipo yoyote.


Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA USAILI WA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA. December 09, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA AJIRA YA MKATABA October 20, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI MOJA YA AJIRA April 11, 2023
  • TANGAZO LA UKODISHAJI MAGHALA YA KUHIFADHIA KOKOA June 05, 2024
  • View All

Latest News

  • JUMLA YA MIRADI YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 171. YAKAGULIWA NA KAMATI YA UKAGUZI.

    July 14, 2025
  • MAJARIBIO YA VIJANA WENYE VIPAJI VYA SOKA BUSOKELO

    July 18, 2025
  • MHE. HOMERA AHIMIZA USHIRIKIANO WA WANANCHI NA SERIKALI UTEKELEZAJI MIRADI YA MAENDELEO.

    June 11, 2025
  • KIDELI SASA BASI, CHANJO YA KUKU YA YAZINDULIWA RASMI BUSOKELO.

    June 09, 2025
  • View All

Video

Mkurugenzi atoa hamasa ya chakula kwa watoto mashuleni
More Videos

Quick Links

  • Watumishi Portal
  • Salary slip
  • Councilors list
  • Gallery

Related Links

  • President's Office, Public Service Management
  • TAMISEMI
  • e-Government Agency
  • President's Officia Website
  • Mbeya Regional Website
  • Public Service Recruitment Secretariet

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Lwangwa, Tukuyu

    Postal Address: S. L. P. 2, Tukuyu

    Telephone: +255 737 205 318

    Mobile:

    Email: ded@busokelodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2019 Busokelo DC . All rights reserved.