• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Busokelo District Council
Busokelo District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Busokelo District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Adminstration
    • Organization Structure
    • Departments
      • Adminstration and Human Resource
      • Planning and Statistics
      • Finance and Trade
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Health
      • Water
      • Sanitation and Environment
      • Agriculture, Irrigation and Cooperatives
      • Livestock and Fisheries
      • Development and Social Walfare
      • Land and Natural Resouces
      • Construction, Fire and Works
    • Units
      • Internal Audit
      • Bee Keeping
      • Election
      • Legal
      • Ict
      • Procurement and Supplies
  • Investment Oppotunities
    • Tourism
    • Agricultural
    • Livestock
    • Fishing
    • Bee Keeping
    • Industries
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
  • Councilors
    • Councilors list
    • Standing Committee
      • Finance Planning and Adminstration
      • Economy Works and Environment
      • Education Health and Water
      • CMAC
      • Ethics committee
    • Schedules
      • Councilors schedule meetings
      • Chairperson schedule
  • Projects
    • Planned projects
    • On going projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Acts
    • Customer service contrct
    • Strategic plan
    • Reports
    • Application Forms
    • Guidelines
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

ELIMU YAHATUA ZA KUWASILISHA MALALAMIKO KWA WATUMIAJI WA TAASISI ZA KIFEDHA.

Posted on: March 21st, 2025

ELIMU YAHATUA ZA KUWASILISHA  MALALAMIKO KWA WATUMIAJI WA TAASISI ZA KIFEDHA.


Benki Kuu ya Tanzania imewapatia Elimu Watumishi wa Umma katika Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo namna ya kutumia Mfumo wa kuwasilisha malalamiko kuhusu Taasisi za Kifedha.

Mafunzo hayo yamefanyika leo 21, Machi 2025 katika ukumbi wa Halmashauri ya Busokelo.

Lengo la matumizi ya Mfumo huo ni kuwezesha kurahisisha utatuzi wa malalamiko ya watumiaji wa Taasisi za Kifedha ikiwemo Benki na Taasis ndogo za utoaji huduma za kifedha wasiyochukua  Amana Microphinance

Maafisa wa Benki kuu ya Tanzania BOT Kanda ya Mbeya , wamewataka Watumishi wote wa Umma na wateja wote wa Taasisi za Kifedha kuhakikisha  wanasoma kwa makini na kuielewa mikataba na masharti ya mikopo kabla kuchukua mikopo katika Taasisi hizo .

Taratibu za kushughulikia malalamiko

Kabla ya kuleta malalamiko Benki kuu, mteja atatakiwa kwanza kuwasilisha malalamiko ndani ya taasisi ya kifedha. Ili malalamiko yapokelewe, malalamiko hayo lazima yawe yamewasilishwa Benki Kuu ndani ya muda wa miaka miwili tangu kutokea kwa tukio la kusababisha malalamiko.

Taasisi ya kifedha inapaswa kutatua malalamiko ya mteja ndani ya siku 14 tangu tarehe ya kuleta malalamiko. Ikiwa haiwezi kutatua malalamiko ndani ya muda uliowekwa, itamjulisha mteja mara moja sababu za kushindwa kutatua ndani ya muda pamoja na hatua zinazochukuliwa kwa haraka kutatua malalamiko, na sio zaidi ya siku 7 baadaye.

Endapo mteja akionekana kutokubaliana na uamuzi wa taasisi ya kifedha au akishindwa kupata jibu kutoka taasisi ya kifedha ndani ya siku 14 tangu tarehe ya kuleta malalamiko, anaweza kuleta malalamiko yake Benki kuu ndani ya siku 14.

Aidha BOT imetoa wito kwa Taasisi zote zinazohusisha na biashara kukopesha fedha bila vibali kutoka Benki kuu zihakikishe zihakikishe zinafuata taratibu za kupatia leseni za biashara hiyo kutoka Benki kuu.




Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA USAILI WA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA. December 09, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA AJIRA YA MKATABA October 20, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI MOJA YA AJIRA April 11, 2023
  • TANGAZO LA UKODISHAJI MAGHALA YA KUHIFADHIA KOKOA June 05, 2024
  • View All

Latest News

  • ELIMU YAHATUA ZA KUWASILISHA MALALAMIKO KWA WATUMIAJI WA TAASISI ZA KIFEDHA.

    March 21, 2025
  • WANANCHI KATA YA LUFILYO WAFIKIWA NA NISHATI SAFI YA KUPIKIA.

    March 10, 2025
  • DC HANIU ATEMBELEA KALAKANA ZILIZOPO CHUO CHA VETA BUSOKELO

    March 01, 2025
  • WADAU WA VYAMA VYA SIASA BUSOKELO KUHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.

    December 21, 2024
  • View All

Video

Mkurugenzi atoa hamasa ya chakula kwa watoto mashuleni
More Videos

Quick Links

  • Watumishi Portal
  • Salary slip
  • Councilors list
  • Gallery

Related Links

  • President's Office, Public Service Management
  • TAMISEMI
  • e-Government Agency
  • President's Officia Website
  • Mbeya Regional Website
  • Public Service Recruitment Secretariet

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Lwangwa, Tukuyu

    Postal Address: S. L. P. 2, Tukuyu

    Telephone: +255 737 205 318

    Mobile:

    Email: ded@busokelodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2019 Busokelo DC . All rights reserved.