- Home
- About Us
-
Adminstration
- Organization Structure
-
Departments
- Adminstration and Human Resource
- Planning and Statistics
- Finance and Trade
- Primary Education
- Secondary Education
- Health
- Water
- Sanitation and Environment
- Agriculture, Irrigation and Cooperatives
- Livestock and Fisheries
- Development and Social Walfare
- Land and Natural Resouces
- Construction, Fire and Works
- Units
- Investment Oppotunities
- Our Services
- Councilors
- Projects
- Publications
- Media Center

Mapema leo saa 12:00 asubuhi, Mhe.Haniu aliongoza zoezi lakukimbia umbali wa kilometa 2.5 kutoka Makao makuu ya Halmashauri ya Busokelo hadi kijiji cha Kitali kitongoji cha Lupaso na kisha kuendesha zoezi la usafi wa mazingira katika maeneo ya Hosipitali ya Wilaya ya Busokelo.
Aidha, Mhe.Haniu aliwashukuru na kuwapongeza watu wote waliojitokeza kushiriki zoezi hilo kwa siku ya leo na akasisitiza kuwa Wananch wote katika Wilaya ya Rungwe waendelee kushiriki katika mazoezi ya viungo na usafi wa mazingira kila ifikapo mwisho wa mwezi kwa lengo la kulinda afya zao na kutekeleza agizo la Serikali.










