• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Busokelo District Council
Busokelo District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Busokelo District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Adminstration
    • Organization Structure
    • Departments
      • Adminstration and Human Resource
      • Planning and Statistics
      • Finance and Trade
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Health
      • Water
      • Sanitation and Environment
      • Agriculture, Irrigation and Cooperatives
      • Livestock and Fisheries
      • Development and Social Walfare
      • Land and Natural Resouces
      • Construction, Fire and Works
    • Units
      • Internal Audit
      • Bee Keeping
      • Election
      • Legal
      • Ict
      • Procurement and Supplies
  • Investment Oppotunities
    • Tourism
    • Agricultural
    • Livestock
    • Fishing
    • Bee Keeping
    • Industries
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
  • Councilors
    • Councilors list
    • Standing Committee
      • Finance Planning and Adminstration
      • Economy Works and Environment
      • Education Health and Water
      • CMAC
      • Ethics committee
    • Schedules
      • Councilors schedule meetings
      • Chairperson schedule
  • Projects
    • Planned projects
    • On going projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Acts
    • Customer service contrct
    • Strategic plan
    • Reports
    • Application Forms
    • Guidelines
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

UZINDUZI ZAHANATI YA SELYA

Posted on: June 27th, 2024

MHE.HANIU AZINDUA ZAHANATI MPYA YA KIJIJI CHA ITETE.


Mkuu wa Wilaya ya Rungwe Mhe. Jaffar Haniu amezindua rasmi huduma za matibabu katika zahanati mpya ya Selya katika Kata ya Itete.

Uzinduzi huo umefanyika leo 27/06/2024 katika kijiji cha Selya Kata ya Itete Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo.

Akizungumza na Wananchi wa Itete mara baada ya kukagua miundombinu ya zahanati hiyo pamoja vifaa tiba vilivyopo katika zahanati hiyo mpya, Mhe.Haniu amesema kuwa  Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan inahakikisha Wananchi wake katika maeneo yote nchini wanapata huduma bora za matibabu  katika maeneo yao ya karibu.

"Wito wangu kwenu, ninaomba tuitunze zahanati hii, hii ni ya kwetu ni nguvu zetu na ujenzi tulianza wenyewe na Serikali yetu ilituongezea  fedha za ukamilishaji vifaa tiba pamoja na Wataalamu, Serikali ya Awamu ya Sita inahakikisha Wananchi wake wanapata huduma bora za matibabu katika maeneo ya karibu ili kuondoa adha ya kusafiri umbali mrefu wa kufuata huduma za matibabu" Alisema Mhe. Haniu.

Aidha Mhe.Haniu amewataka Wananchi wa Itete kuitunza miundombinu ya Zahanati hiyo ili idumu  na akasisitiza kuendelezwe ushirikiano baina ya Wananchi na Wataalamu walipo katika zahanati hiyo.

Katika hatua nyingine Mhe. Haniu amemshukuru Mkurungenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo pamoja na Diwani wa Kata ya Itete na Wananchi wote kwa kushiriki kikamilifu katika usimamizi  wa miradi na kutekeleza Ilani ya Chama cha Mapinduzi .

Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo Bi.Loema Peter ameishukuru Serikali ya Awamu ya Sita kwa kutenga kiasi cha fedha shilingi Milioni 85 kwaajili ya Ukamilishaji wa Zahanati  hiyo, pia ameishukuru Kamati ya Ujenzi, Wananchi wa Selya na Mheshimiwa Diwani wa Kata ya Itete kwa kushirikiana tangu hatua za awali hadi kukamilika kwa zahanati hiyo.

Diwani wa Kata ya Itete Mhe.Gwandege M.Mwakigemo, Ameishukuru Serikali ya Awamu ya Sita kwa kuwezesha upatikanaji wa huduma muhimu za jamii kwa Wanakijiji wa Selya.


Ujenzi wa zahanati mpya ya Selya umegharimu shilingi Milioni 85 kutoka Serikali kuu, shilingi milioni 22 ikiwa ni nguvu za Wananchi na shilingi milioni 3 kutoka mfuko wa Jimbo.


Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA USAILI WA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA. December 09, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA AJIRA YA MKATABA October 20, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI MOJA YA AJIRA April 11, 2023
  • TANGAZO LA UKODISHAJI MAGHALA YA KUHIFADHIA KOKOA June 05, 2024
  • View All

Latest News

  • JUMLA YA MIRADI YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 171. YAKAGULIWA NA KAMATI YA UKAGUZI.

    July 14, 2025
  • MAJARIBIO YA VIJANA WENYE VIPAJI VYA SOKA BUSOKELO

    July 18, 2025
  • MHE. HOMERA AHIMIZA USHIRIKIANO WA WANANCHI NA SERIKALI UTEKELEZAJI MIRADI YA MAENDELEO.

    June 11, 2025
  • KIDELI SASA BASI, CHANJO YA KUKU YA YAZINDULIWA RASMI BUSOKELO.

    June 09, 2025
  • View All

Video

Mkurugenzi atoa hamasa ya chakula kwa watoto mashuleni
More Videos

Quick Links

  • Watumishi Portal
  • Salary slip
  • Councilors list
  • Gallery

Related Links

  • President's Office, Public Service Management
  • TAMISEMI
  • e-Government Agency
  • President's Officia Website
  • Mbeya Regional Website
  • Public Service Recruitment Secretariet

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Lwangwa, Tukuyu

    Postal Address: S. L. P. 2, Tukuyu

    Telephone: +255 737 205 318

    Mobile:

    Email: ded@busokelodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2019 Busokelo DC . All rights reserved.