• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Busokelo District Council
Busokelo District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Busokelo District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Adminstration
    • Organization Structure
    • Departments
      • Adminstration and Human Resource
      • Planning and Statistics
      • Finance and Trade
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Health
      • Water
      • Sanitation and Environment
      • Agriculture, Irrigation and Cooperatives
      • Livestock and Fisheries
      • Development and Social Walfare
      • Land and Natural Resouces
      • Construction, Fire and Works
    • Units
      • Internal Audit
      • Bee Keeping
      • Election
      • Legal
      • Ict
      • Procurement and Supplies
  • Investment Oppotunities
    • Tourism
    • Agricultural
    • Livestock
    • Fishing
    • Bee Keeping
    • Industries
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
  • Councilors
    • Councilors list
    • Standing Committee
      • Finance Planning and Adminstration
      • Economy Works and Environment
      • Education Health and Water
      • CMAC
      • Ethics committee
    • Schedules
      • Councilors schedule meetings
      • Chairperson schedule
  • Projects
    • Planned projects
    • On going projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Acts
    • Customer service contrct
    • Strategic plan
    • Reports
    • Application Forms
    • Guidelines
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

ZEOZI LA UANDIKISHAJI LINAENDELEA NENDA KAJIANDIKISHE

Posted on: October 11th, 2024

Msimamizi wa Uchaguzi Halmshauri ya Wilaya ya Busokelo Adv.Peter Salama akitoa Elimu ya Umhimu wa kujiandikisha katika Orodha ya Wakazi  katika kitongoji cha Itiki kata ya Lwangwa 11/10/2024.

Adv.Salama amefika katika Kijiji cha Kitali Kata ya Lwangwa kwa lengo la kukagua vituo vya Uandikisha ili kuona namna zoezi hilo linavyoendelea na kisha kuwahamasisha Wananchi kuhakikisha Wanajiandikisha katika Orodha ya Mkaazi ili wapate sifa ya Kushiriki Uchaguzi wa serikali za Mitaa ifikapo Novemba 27 2024.

sifa za kujiandikisha katika Orodha ya Wapiga kura katika Daftari la Wakaazi.

1.Uwe Rai wa Tanzania.

2. Uwe na Umri wa miaka 18 na kuendelea

3.Uwe Mkazi wa kitongoji husikia

4.Uwe na akili timamu.

Naye Diwani wa Kata ya Lwangwa Mhe.Jackosnj Mwampulule  ambaye ni Mkazi wa Kitongoji cha Itiki amehimizia wananchi Wote kuhakikisha wanajiandikisha katika Orodha ya Wapiga kura kwa muda wa siku kumi zilizopangwa  kuanzia leo 11/10/ 2024. hadi 21/10/2024.


"Serikali za Mitaa Sauti ya Wananchi, Jitokeze Kushiriki Uchaguzi.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA USAILI WA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA. December 09, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA AJIRA YA MKATABA October 20, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI MOJA YA AJIRA April 11, 2023
  • TANGAZO LA UKODISHAJI MAGHALA YA KUHIFADHIA KOKOA June 05, 2024
  • View All

Latest News

  • MHE. HOMERA AHIMIZA USHIRIKIANO WA WANANCHI NA SERIKALI UTEKELEZAJI MIRADI YA MAENDELEO.

    June 11, 2025
  • KIDELI SASA BASI, CHANJO YA KUKU YA YAZINDULIWA RASMI BUSOKELO.

    June 09, 2025
  • MAFANIKIO SEKTA YA KILIMO HALMASHAURI YA BUSOKELO MWAKA 2024/2025.

    June 06, 2025
  • KAMPUNI YA UJENZI WA BARABARA YA CHINA ROADS AND BRIDGE CO-OPERATION YASAINI MKATABA WA KUWA MPANGAJI KATIKA MAKAMBI YA MBAMBO.

    May 29, 2025
  • View All

Video

Mkurugenzi atoa hamasa ya chakula kwa watoto mashuleni
More Videos

Quick Links

  • Watumishi Portal
  • Salary slip
  • Councilors list
  • Gallery

Related Links

  • President's Office, Public Service Management
  • TAMISEMI
  • e-Government Agency
  • President's Officia Website
  • Mbeya Regional Website
  • Public Service Recruitment Secretariet

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Lwangwa, Tukuyu

    Postal Address: S. L. P. 2, Tukuyu

    Telephone: +255 737 205 318

    Mobile:

    Email: ded@busokelodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2019 Busokelo DC . All rights reserved.