• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Busokelo District Council
Busokelo District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Busokelo District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Adminstration
    • Organization Structure
    • Departments
      • Adminstration and Human Resource
      • Planning and Statistics
      • Finance and Trade
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Health
      • Water
      • Sanitation and Environment
      • Agriculture, Irrigation and Cooperatives
      • Livestock and Fisheries
      • Development and Social Walfare
      • Land and Natural Resouces
      • Construction, Fire and Works
    • Units
      • Internal Audit
      • Bee Keeping
      • Election
      • Legal
      • Ict
      • Procurement and Supplies
  • Investment Oppotunities
    • Tourism
    • Agricultural
    • Livestock
    • Fishing
    • Bee Keeping
    • Industries
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
  • Councilors
    • Councilors list
    • Standing Committee
      • Finance Planning and Adminstration
      • Economy Works and Environment
      • Education Health and Water
      • CMAC
      • Ethics committee
    • Schedules
      • Councilors schedule meetings
      • Chairperson schedule
  • Projects
    • Planned projects
    • On going projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Acts
    • Customer service contrct
    • Strategic plan
    • Reports
    • Application Forms
    • Guidelines
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

FUM YAAGIZA MRADI WA MAWESE KISEGESE UZALISHAJI UANZE.

Posted on: July 19th, 2023

FUM YAAGIZA MRADI WA MAWESE KISEGESE UZALISHAJI UANZE.

Na Peter I.Tungu.

Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango (FUM) Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo, imekagua mradi wa kikundi cha akina Mama cha kuchakata mawese kilichopo katika kata ya Kisegese ikiagiza mradi huo ukamilike ili kuanza uzalishaji wa mafuta ya mawese.

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo, Mhe. Anyosisye Njobero, aliongoza ziara hiyo tarehe 18/07/2023  akiwa na Mkurugenzi Mtendji Halmashauri ya Busokelo Mhe.Loema I.Peter ambaye ndiye katibu wa kamati ya (FUM), pamoja na wajumbe wa kamati hiyo ambao ni Waheshimiwa Madiwani na Wakuu wa Idara na vitengo Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo, kwaajili ya kufanya tathmini  ya miradi ya maendeleo ya jamii inayotekelezwa katika Halmashauri ya Busokelo. 

Mradi huo wa akinamama wa Kukamua mawese katika kata ya Kisegese, unajumuisha wanawake watano(5), upo katika hatua ya ufungaji mitambo una gharama ya milioni 25, ambazo zimetokana na mkopo unaotolewa na Halmashauri kwaajili ya kuwawezesha wanawake  kujikwamua kiuchumi unatarajiwa kukamilika ifikapo tarehe 22/07/2027.

Aidha Mwenyekiti wa kamati ya (FUM) alipongeza kazi nzuri iliyofanywa na wanakikundi hao, akiwataka wakamilishe kwa haraka ufungaji wa mashine na uzalishaji uanze mara moja ili wanakikundi waanze kurejesha mkopo.Katika hatua nyingine Mhe.Njobero amewashauri wanakikundi hao kujenga stoo kwaajili ya kuhifadhi mafuta watakayo zalisha kiwandani hapo.  “niwapi mmetenga eneo la stoo kwaajili ya kuhifadhi bidhaa zenu, ni vema basi mradi ukikamilika mjenge stoo kwaajili ya kuhifadhi mafuta mtakayo zalisha,ni lazima kuwe na stoo” amesema Mhe. Njobero. 

Awali akisoma taarifa ya wanakikundi, Katibu wa mradi hou Bi.Rosa Kalesa,alisema mpaka sasa Kikundi kimefanikiwa kununua mshine mbili kwaajili ya kukamulia mawese zenye thamani ya shilingi million 13, million 12 zikitumika katika ujenzi wa jengo la mradi, gharama za ufundi na usafirishaji vifaa vya ujenzi.Naye Diwani wa kata ya Kisegese Mhe Losajo K.Brayan aliwapongeza wanakikundi hao kwa hatua waliyofikia katika utekelezaji mradi, huku akisisitiza kuwa anatamani kuona kazi hiyo ikikamilika haraka ili uzalishaji uanze katika eneo la mradi. 

Mradi wa kukamua mawese Kisegese ulitarajiwa kukamilika tarehe 17/07/2023, hivyo mafundi wanangojea kukauka kwa zege katika eneo ambalo mashine zinararajiwa kufungwa. Hivyo kamati ya (FUM) aliagiza hadi kufikia tarehe 22/07/2023 mradi uwe umekamilika na uzalishaji uanze.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA USAILI WA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA. December 09, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA AJIRA YA MKATABA October 20, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI MOJA YA AJIRA April 11, 2023
  • TANGAZO LA UKODISHAJI MAGHALA YA KUHIFADHIA KOKOA June 05, 2024
  • View All

Latest News

  • MHE. HOMERA AHIMIZA USHIRIKIANO WA WANANCHI NA SERIKALI UTEKELEZAJI MIRADI YA MAENDELEO.

    June 11, 2025
  • KIDELI SASA BASI, CHANJO YA KUKU YA YAZINDULIWA RASMI BUSOKELO.

    June 09, 2025
  • MAFANIKIO SEKTA YA KILIMO HALMASHAURI YA BUSOKELO MWAKA 2024/2025.

    June 06, 2025
  • KAMPUNI YA UJENZI WA BARABARA YA CHINA ROADS AND BRIDGE CO-OPERATION YASAINI MKATABA WA KUWA MPANGAJI KATIKA MAKAMBI YA MBAMBO.

    May 29, 2025
  • View All

Video

Mkurugenzi atoa hamasa ya chakula kwa watoto mashuleni
More Videos

Quick Links

  • Watumishi Portal
  • Salary slip
  • Councilors list
  • Gallery

Related Links

  • President's Office, Public Service Management
  • TAMISEMI
  • e-Government Agency
  • President's Officia Website
  • Mbeya Regional Website
  • Public Service Recruitment Secretariet

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Lwangwa, Tukuyu

    Postal Address: S. L. P. 2, Tukuyu

    Telephone: +255 737 205 318

    Mobile:

    Email: ded@busokelodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2019 Busokelo DC . All rights reserved.