• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Busokelo District Council
Busokelo District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Busokelo District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Adminstration
    • Organization Structure
    • Departments
      • Adminstration and Human Resource
      • Planning and Statistics
      • Finance and Trade
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Health
      • Water
      • Sanitation and Environment
      • Agriculture, Irrigation and Cooperatives
      • Livestock and Fisheries
      • Development and Social Walfare
      • Land and Natural Resouces
      • Construction, Fire and Works
    • Units
      • Internal Audit
      • Bee Keeping
      • Election
      • Legal
      • Ict
      • Procurement and Supplies
  • Investment Oppotunities
    • Tourism
    • Agricultural
    • Livestock
    • Fishing
    • Bee Keeping
    • Industries
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
  • Councilors
    • Councilors list
    • Standing Committee
      • Finance Planning and Adminstration
      • Economy Works and Environment
      • Education Health and Water
      • CMAC
      • Ethics committee
    • Schedules
      • Councilors schedule meetings
      • Chairperson schedule
  • Projects
    • Planned projects
    • On going projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Acts
    • Customer service contrct
    • Strategic plan
    • Reports
    • Application Forms
    • Guidelines
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

HALMASHAURI 7 ZA MKOA WA MBEYA ZAPATIWA MAFUNZO YA MATUMIZI YA MFUMO WA MANUNUZI YA UMMA KWA NJIA YA MTANDAO NeST

Posted on: August 24th, 2023

HALMASHAURI 7 ZA MKOA WA MBEYA ZAPATIWA MAFUNZO YA MATUMIZI YA MFUMO WA MANUNUZI YA UMMA KWA NJIA YA MTANDAO NeST.

  • Maafisa mbalimbali wa serikali kutoka Halmashauri saba za Mkoa wa Mbeya wanaendelea kupatiwa Mafunzo ya kujenga uelewa kuhusu matumizi ya Mfumo mpya wa Serikali wa Manunuzi ya Umma kwa njia ya Mtandao unao julikana kama NeST.

Mafunzo hayo ya siku tano yenye lengo la kuwajenga uwezo Maafisa wa Serikali Watumishi wa Umma juu ya namna bora ya kutumia Mfumo mpya wa serikali wa Manunuzi ya Umma kwa njia ya mtandao NeST yamehusisha Maafisa Manunuzi, Wakaguzi wa ndani,Wanasheria Maafisa TEHAMA, Maafisa Mipango na Maafisa Habari kutoka Halmashauri  ya Wilaya ya Busokelo, Chunya, Mbeya Mbalali, Kyela, Rungwe, Mbeya vijijini na Mbeya Jiji.

Mafunzo hayo yameanza jana tarehe 23/08/2023 katika Ukumbi wa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, yanatarajiwa kukamilika ifika tarehe 27/08/2023.

Akizungumza katika Mafunzo hayo Mkufunzi wa matumizi ya Mfumo wa NeST, Afisa TEHAMA Mkoa wa Mbeya Bwana Frank Choka amewataka washiriki wote kufuatilia na kuzingatia mafunzo hayo kwa weledi ili wakawe Mabalozi wazuri katika maeneo yao ya kazi kwa kuwafundisha watumishi na watu wengine kuhusu namna bora ya kutumia Mfumo wa NeST katika manununzi ya Umma.

Serikali ya Tanzania ilitambulisha mfumo mpya wa manunuzi ya Umma kwa njia ya Mtandao NeST katika mwaka wa fedha 2023/2024, kutoka katika mfumo wa zamani  ujulikanao kama TANEPS.

Mfumo mpya wa Ununuzi NeST unatarajiwa kuanza rasmi katika Taasisi zote za Umma ifikapo Octoba Mosi 2023.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA USAILI WA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA. December 09, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA AJIRA YA MKATABA October 20, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI MOJA YA AJIRA April 11, 2023
  • TANGAZO LA UKODISHAJI MAGHALA YA KUHIFADHIA KOKOA June 05, 2024
  • View All

Latest News

  • MHE. HOMERA AHIMIZA USHIRIKIANO WA WANANCHI NA SERIKALI UTEKELEZAJI MIRADI YA MAENDELEO.

    June 11, 2025
  • KIDELI SASA BASI, CHANJO YA KUKU YA YAZINDULIWA RASMI BUSOKELO.

    June 09, 2025
  • MAFANIKIO SEKTA YA KILIMO HALMASHAURI YA BUSOKELO MWAKA 2024/2025.

    June 06, 2025
  • KAMPUNI YA UJENZI WA BARABARA YA CHINA ROADS AND BRIDGE CO-OPERATION YASAINI MKATABA WA KUWA MPANGAJI KATIKA MAKAMBI YA MBAMBO.

    May 29, 2025
  • View All

Video

Mkurugenzi atoa hamasa ya chakula kwa watoto mashuleni
More Videos

Quick Links

  • Watumishi Portal
  • Salary slip
  • Councilors list
  • Gallery

Related Links

  • President's Office, Public Service Management
  • TAMISEMI
  • e-Government Agency
  • President's Officia Website
  • Mbeya Regional Website
  • Public Service Recruitment Secretariet

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Lwangwa, Tukuyu

    Postal Address: S. L. P. 2, Tukuyu

    Telephone: +255 737 205 318

    Mobile:

    Email: ded@busokelodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2019 Busokelo DC . All rights reserved.