• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Busokelo District Council
Busokelo District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Busokelo District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Adminstration
    • Organization Structure
    • Departments
      • Adminstration and Human Resource
      • Planning and Statistics
      • Finance and Trade
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Health
      • Water
      • Sanitation and Environment
      • Agriculture, Irrigation and Cooperatives
      • Livestock and Fisheries
      • Development and Social Walfare
      • Land and Natural Resouces
      • Construction, Fire and Works
    • Units
      • Internal Audit
      • Bee Keeping
      • Election
      • Legal
      • Ict
      • Procurement and Supplies
  • Investment Oppotunities
    • Tourism
    • Agricultural
    • Livestock
    • Fishing
    • Bee Keeping
    • Industries
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
  • Councilors
    • Councilors list
    • Standing Committee
      • Finance Planning and Adminstration
      • Economy Works and Environment
      • Education Health and Water
      • CMAC
      • Ethics committee
    • Schedules
      • Councilors schedule meetings
      • Chairperson schedule
  • Projects
    • Planned projects
    • On going projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Acts
    • Customer service contrct
    • Strategic plan
    • Reports
    • Application Forms
    • Guidelines
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

JAMII IJENGEWE UELEWA KUHUSU UMHIMU WA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA 2024

Posted on: June 15th, 2024

JAMII IJENGEWE UELEWA KUHUSU UMHIMU WA  UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA  KURA 2024.


Mkurugenzi Mtendaji wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Bw.Ramadhan Kailima amewataka Maafisa Habari na Mikoa na Halmashauri nchini kuhakikisha  jamii ya Watanzania inajengewa uelewa kuhusu umuhimu wa  Uboreshaji wa Daftari la kudumu la Wapiga Kura mwaka 2024.


Bw.Kailima emeeleza hayo leo 15/06/2024 katika  Mkutano  wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi na Maafisa Habari wa Mikoa na  Halmashauri uliofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City  Jijini Dares Salaam.

Bw.Kailima amesema kuwa Maafisa Habari Kwa kushurikiana na vyombo mbalimbali vya Habari vilivyopo katika Mikoa na Halmashauri  wanao wajibu  wa kuueleimisha Umma wa WaTanzania  kuhusu zoezi la Uboreshaji wa Daftari la kudumu la Wapiga Kura kwa kutoa taarifa sahihi na kupinga aina yoyote ya upotoshwaji unaofanywa na baadhi ya watu katika jamii.


Zoezi la Uboreshaji wa Daftari la kudumu la Wapiga Kura nchini linatarajiwa kuzinduliwa rasmi July 1/2024 Kitaifa Mkoani Kigoma.


Kwa kuzingatia matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi, Wapiga Kura wapya 5,586,433 wanatarajiwa kuandikishwa  ambao ni sawa na asilimia 18.7 ya Wapiga Kura  29,754,699 waliopo kwenye Daftari la  baada a Uboreshaji uliofanyika Mwaka 2019/2020.


Kwa upande wake  Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga Kura Bi.Giveness Aswile amesema kuwa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi NEC, Kwa kuzingatia  mashariti  ya kifungu cha 9(1) na (2) cha sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na ya Mwaka 2024 pamoja na vifungu vingine  vinavyohusu uandikishaji  na Uboreshaji, zoezi hilo lina husisha mambo muhimu mambayo ni:

1.Kuandikisha Wapiga Kura wapya  amabo ni Raia wa Tanzania  wenye umri wa miaka 18 na zaidi na watakao timiza  umri huo  ifikapo tarehe ya Uchaguzi Mwaka 2024.


2.Kutoa fursa Kwa Wapiga Kura waliopo kwenye Daftari na ambao wamehama, ili waweze kuhamisha  taarifa zao kutoka  kata au Jimbo walilonandikiashwa awali.

3. Kutoa fursa Kwa Wapiga Kura walilonandikiashwa kurekebisha taarifa zao yakiwemo majina  na taarifa nyingine.

4. Kuotoa kadi mpya  Kwa Wapiga Kura Walipoteza kadi  au kurekebisha kadi zao zilizo haribika

5. Kuondoa taarifa ya  Wapiga Kura Walipoteza sifa za kuwepo kwenye Daftari la  kutokana na sababu mbalimbali  ikiwa ni pamoja na kuukana uraia wao wa Tanzania au kifo.


Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA USAILI WA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA. December 09, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA AJIRA YA MKATABA October 20, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI MOJA YA AJIRA April 11, 2023
  • TANGAZO LA UKODISHAJI MAGHALA YA KUHIFADHIA KOKOA June 05, 2024
  • View All

Latest News

  • JUMLA YA MIRADI YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 171. YAKAGULIWA NA KAMATI YA UKAGUZI.

    July 14, 2025
  • MAJARIBIO YA VIJANA WENYE VIPAJI VYA SOKA BUSOKELO

    July 18, 2025
  • MHE. HOMERA AHIMIZA USHIRIKIANO WA WANANCHI NA SERIKALI UTEKELEZAJI MIRADI YA MAENDELEO.

    June 11, 2025
  • KIDELI SASA BASI, CHANJO YA KUKU YA YAZINDULIWA RASMI BUSOKELO.

    June 09, 2025
  • View All

Video

Mkurugenzi atoa hamasa ya chakula kwa watoto mashuleni
More Videos

Quick Links

  • Watumishi Portal
  • Salary slip
  • Councilors list
  • Gallery

Related Links

  • President's Office, Public Service Management
  • TAMISEMI
  • e-Government Agency
  • President's Officia Website
  • Mbeya Regional Website
  • Public Service Recruitment Secretariet

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Lwangwa, Tukuyu

    Postal Address: S. L. P. 2, Tukuyu

    Telephone: +255 737 205 318

    Mobile:

    Email: ded@busokelodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2019 Busokelo DC . All rights reserved.