• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Busokelo District Council
Busokelo District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Busokelo District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Adminstration
    • Organization Structure
    • Departments
      • Adminstration and Human Resource
      • Planning and Statistics
      • Finance and Trade
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Health
      • Water
      • Sanitation and Environment
      • Agriculture, Irrigation and Cooperatives
      • Livestock and Fisheries
      • Development and Social Walfare
      • Land and Natural Resouces
      • Construction, Fire and Works
    • Units
      • Internal Audit
      • Bee Keeping
      • Election
      • Legal
      • Ict
      • Procurement and Supplies
  • Investment Oppotunities
    • Tourism
    • Agricultural
    • Livestock
    • Fishing
    • Bee Keeping
    • Industries
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
  • Councilors
    • Councilors list
    • Standing Committee
      • Finance Planning and Adminstration
      • Economy Works and Environment
      • Education Health and Water
      • CMAC
      • Ethics committee
    • Schedules
      • Councilors schedule meetings
      • Chairperson schedule
  • Projects
    • Planned projects
    • On going projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Acts
    • Customer service contrct
    • Strategic plan
    • Reports
    • Application Forms
    • Guidelines
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

JUMLA YA MIRADI YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 171. YAKAGULIWA NA KAMATI YA UKAGUZI.

Posted on: July 14th, 2025

JUMLA YA MIRADI YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 171. YAKAGULIWA NA KAMATI YA UKAGUZI.


Kamati ya Ukaguzi wa Miradi Halmashauri ya Busokelo leo 14/07/2025 imekagua na  kupongeza katua za utekelezaji wa miradi ya maendeleo yenye thamani ya shilingi milioni 171.

Miongoni miradi iliyokaguliwa ni pamoja na ujenzi wa Bweni la Wanafunzi katika shule ya Sekondari ya Wavulana Busokelo Kata ya Isange unaojengwa kupitia milioni 80 za mapato ya shule , hadi sasa mradi huo upo katika hatua ya linta.


Mwenyekiti wa Kamati ya Ukaguzi Halmashauri ya Busokelo Mwl.Wilbert Bendera  alipongeza hatua za Ujenzi wa mradi huo huku akisisitiza kukamilika kwa mradi huo katika muda uliyopangwa ili Wanafunzi waanze kutumia Bweni hilo.

Aidha katika hatua nyingine Kamati ilikagua ujenzi wa nyumba ya Mtumishi katika shule ya msingi Ipyela Kata ya Luteba wenye thamani ya shilingi milioni 51 kupitia mradi wa GPE-PSP, ujenzi upo katika hatua ya kupaua .Kamati iliwapongeza Wataalamu na Wananchi wanaosimamia ujenzi huo.

Katika hatua nyingine Kamati ilifika katika mradi wa ujenzi  wa Ofisi ya Mtendaji wa Kijiji Kata ya Kandete, ambapo Halmashauri imetenga kiasi cha Shilingi milioni 40 kupitia mapato ya ndani ili kutekeleza ujenzi huo, na mpaka sasa ujenzi upo katika hatua ya msingi na tayari mafundi wamekwisha mwaga jamvi katika msingi huo.

Katika kuhitimisha ziara ya ukaguzi Mwenyekiti wa Kamati  Mwl.Bendera pamoja na wajumbe walipongeza juhudi za Serikali ya Awamu ya Sita kwa kuwezesha utekelezaji miradi mbalimbali ya maendeleo katika Halmashauri ya Busokelo, na kuwahimiza Wananchi kuendelea kuunga mkono juhudi za Serikali kwa kushiriki kimalilifu katika utekelezaji wa miradi hiyo.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA USAILI WA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA. December 09, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA AJIRA YA MKATABA October 20, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI MOJA YA AJIRA April 11, 2023
  • TANGAZO LA UKODISHAJI MAGHALA YA KUHIFADHIA KOKOA June 05, 2024
  • View All

Latest News

  • JUMLA YA MIRADI YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 171. YAKAGULIWA NA KAMATI YA UKAGUZI.

    July 14, 2025
  • MAJARIBIO YA VIJANA WENYE VIPAJI VYA SOKA BUSOKELO

    July 18, 2025
  • MHE. HOMERA AHIMIZA USHIRIKIANO WA WANANCHI NA SERIKALI UTEKELEZAJI MIRADI YA MAENDELEO.

    June 11, 2025
  • KIDELI SASA BASI, CHANJO YA KUKU YA YAZINDULIWA RASMI BUSOKELO.

    June 09, 2025
  • View All

Video

Mkurugenzi atoa hamasa ya chakula kwa watoto mashuleni
More Videos

Quick Links

  • Watumishi Portal
  • Salary slip
  • Councilors list
  • Gallery

Related Links

  • President's Office, Public Service Management
  • TAMISEMI
  • e-Government Agency
  • President's Officia Website
  • Mbeya Regional Website
  • Public Service Recruitment Secretariet

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Lwangwa, Tukuyu

    Postal Address: S. L. P. 2, Tukuyu

    Telephone: +255 737 205 318

    Mobile:

    Email: ded@busokelodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2019 Busokelo DC . All rights reserved.