• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Busokelo District Council
Busokelo District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Busokelo District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Adminstration
    • Organization Structure
    • Departments
      • Adminstration and Human Resource
      • Planning and Statistics
      • Finance and Trade
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Health
      • Water
      • Sanitation and Environment
      • Agriculture, Irrigation and Cooperatives
      • Livestock and Fisheries
      • Development and Social Walfare
      • Land and Natural Resouces
      • Construction, Fire and Works
    • Units
      • Internal Audit
      • Bee Keeping
      • Election
      • Legal
      • Ict
      • Procurement and Supplies
  • Investment Oppotunities
    • Tourism
    • Agricultural
    • Livestock
    • Fishing
    • Bee Keeping
    • Industries
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
  • Councilors
    • Councilors list
    • Standing Committee
      • Finance Planning and Adminstration
      • Economy Works and Environment
      • Education Health and Water
      • CMAC
      • Ethics committee
    • Schedules
      • Councilors schedule meetings
      • Chairperson schedule
  • Projects
    • Planned projects
    • On going projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Acts
    • Customer service contrct
    • Strategic plan
    • Reports
    • Application Forms
    • Guidelines
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

MFUMO WA NeST KATIKA MANUNUZI YA UMMA UTUMIKE KUPUNGUZA HOJA ZA CAG ILI KUAONGEZA UWAJIBIKAJI MKOANI MBEYA

Posted on: August 27th, 2023

MFUMO WA NeST KATIKA  MANUNUZI YA UMMA UTUMIKE  KUPUNGUZA  HOJA ZA CAG ILI KUAONGEZA UWAJIBIKAJI MKOANI MBEYA .

Watumishi wa Umma Mkoa wa Mbeya, wametakiwa kuutumia vizuri mfumo wa Manununzi ya Umma kwa njia ya Mtandao NeST ili kupunguza hoja CAG katika Halmashauri zote za Mkoa wa Mbeya.

Hayo yameelezwa leo tarehe 27/08/2023 na Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Mbeya Bwana Vincent Agustine Mbua wakati akifunga mafunzo ya siku tano(5)kuhusu Matumizi ya Mfumo wa Manunuzi ya Umma kwa njia ya Mtandao NeST yaliyo wakutanisha watumishi  wa  Halmashauri zote za Mkoa wa Mbeya katika Ukumbi wa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya.

Bwana Mbua  amewasitizia washiriki wa mafunzo  hayo kwenda kuwa chachu ya mabadiliko katika kitengo cha manunuzi katika Halmashauri zao  kwa kuwafundisha watumishi wengine namna kutumia mfumo wa NeST katika kufanya Manunuzi ili kuongeza ufanisi katika kufanya manunuzi na utangazaji  wa tenda kwa wazabuni. 

"Yatumieni vizuri mafunzo haya  miliyopata ili yakawe chachu ya mafanikio na  mabadiliko katika  kitengo cha Manunuzi  ya Umma kwenye maeneo yenu ya kazi" amesema Bwana Vincent Agustine Mbua 

Katika hautua nyingine Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Mbeya, baada ya mafunzo hayo ametaka Maafisa Masuuli katika Halmashauri zote za Mbeya  kuandaa Mpango wa Manunuzi   mwaka wa fedha 2023/2024 kupitia  Mfumo mpya wa Manunuzi ya Umma NeST hadi kufikia tarehe 05/09/2023.

Kwa upande wao washiriki wa Mafunzo hayo, Wameishukuru  Serikali  ya Awamu ya sita kwa kuanzisha Mfumo mpya wa Manunuzi ya Umma NeST  kwani  ni mfumo salama, wenye ufanisi  unaokoa muda katika kufanya manunuzi na kutangaza tenda na pia unganishwa na taarifa nyingne muhimu za NIDA na TRA   na mifumo yote ya kibiashara.

Mkaguzi wa ndani kutoka Halmashauri ya Busokelo CPA Kabile Mwita amepongeza ujio wa mfumo wa NeST kwani utasaidia Serikali kupunguza hoja za ukaguzi, na kuongeza uwazi na uwajibikaji katika kusimamia ununuzi wa umma.

Maafisa Manunuzi, Wakaguzi wa ndani, Maafisa TEHAMA, Wanasheria, Mafisa Mipango na Maafisa Habari  wa Halmshauri saba(7) za Mkoa wa Mbeya wameshiriki mafunzo ya siku5 kuhusu matumizi ya Mfumo wa Manunuzi ya Umma kwa njia Mtandao NeST yalianza tarehe 23/08/2023 hadi leo 27/08/2023 katika Ukumbi wa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA USAILI WA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA. December 09, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA AJIRA YA MKATABA October 20, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI MOJA YA AJIRA April 11, 2023
  • TANGAZO LA UKODISHAJI MAGHALA YA KUHIFADHIA KOKOA June 05, 2024
  • View All

Latest News

  • MHE. HOMERA AHIMIZA USHIRIKIANO WA WANANCHI NA SERIKALI UTEKELEZAJI MIRADI YA MAENDELEO.

    June 11, 2025
  • KIDELI SASA BASI, CHANJO YA KUKU YA YAZINDULIWA RASMI BUSOKELO.

    June 09, 2025
  • MAFANIKIO SEKTA YA KILIMO HALMASHAURI YA BUSOKELO MWAKA 2024/2025.

    June 06, 2025
  • KAMPUNI YA UJENZI WA BARABARA YA CHINA ROADS AND BRIDGE CO-OPERATION YASAINI MKATABA WA KUWA MPANGAJI KATIKA MAKAMBI YA MBAMBO.

    May 29, 2025
  • View All

Video

Mkurugenzi atoa hamasa ya chakula kwa watoto mashuleni
More Videos

Quick Links

  • Watumishi Portal
  • Salary slip
  • Councilors list
  • Gallery

Related Links

  • President's Office, Public Service Management
  • TAMISEMI
  • e-Government Agency
  • President's Officia Website
  • Mbeya Regional Website
  • Public Service Recruitment Secretariet

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Lwangwa, Tukuyu

    Postal Address: S. L. P. 2, Tukuyu

    Telephone: +255 737 205 318

    Mobile:

    Email: ded@busokelodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2019 Busokelo DC . All rights reserved.