• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Busokelo District Council
Busokelo District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Busokelo District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Adminstration
    • Organization Structure
    • Departments
      • Adminstration and Human Resource
      • Planning and Statistics
      • Finance and Trade
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Health
      • Water
      • Sanitation and Environment
      • Agriculture, Irrigation and Cooperatives
      • Livestock and Fisheries
      • Development and Social Walfare
      • Land and Natural Resouces
      • Construction, Fire and Works
    • Units
      • Internal Audit
      • Bee Keeping
      • Election
      • Legal
      • Ict
      • Procurement and Supplies
  • Investment Oppotunities
    • Tourism
    • Agricultural
    • Livestock
    • Fishing
    • Bee Keeping
    • Industries
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
  • Councilors
    • Councilors list
    • Standing Committee
      • Finance Planning and Adminstration
      • Economy Works and Environment
      • Education Health and Water
      • CMAC
      • Ethics committee
    • Schedules
      • Councilors schedule meetings
      • Chairperson schedule
  • Projects
    • Planned projects
    • On going projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Acts
    • Customer service contrct
    • Strategic plan
    • Reports
    • Application Forms
    • Guidelines
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

MHE.HOMERA ARIDHISHWA NA MATUMIZI SAHIHI YA FEDHA KATIKA UTEKELEZAJI MIRADI YA MAENDELEO BUSOKELO

Posted on: June 5th, 2024



Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe.Juma Zuberi Homera ameridhishwa na utekelezaji wa miradi ya maendeleo  katika Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo.


Mhe.Homera leo 05/06/2024 amefanya ziara ya kukagua miradi wa ukarabati miundombinu katika shule ya msingi Lupata iliyoko katika kijiji cha Lupata Kata ya Lupata.

Shule ya Msingi Lupata ilipokea shilingi Milioni 90,kutoka Serikali kuu kwa ajili ya ukarabati wa miundombinu shuleni hapo ambayo ni  ,vyumba vinne vya madarasa na ofisi mbili.

Hadi sasa ujenzi umefikia aslimia 98 na  fedha iliyotumika ni shilingi Millioni 73,6.


Mhe.Homera aipongeza Halmashauri ya Busokelo namna inavyosimamia utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa kuzingatia matumizi sahihi ya fedha na kushurikiana na Serikali ya Kijiji cha Lupata pamoja na kamati ya Ujenzi ili kufanikia utekelezaji miradi ya maendeleo.


Aidha Shilingi Milioni 16.3 zimebaki na zimeelekezwa kutumika Kujenga  matundu matano (5) ya vyoo vya Wasicha na tundu moja la choo cha Wanafunzi Wavulana wenye mahitaji Maalumu.


@juma_zuberi_homera  @ortamisemi  @samia_suluhu_hassan  @jaffarhaniu  @ikulu_mawasiliano  @afya



Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA USAILI WA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA. December 09, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA AJIRA YA MKATABA October 20, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI MOJA YA AJIRA April 11, 2023
  • TANGAZO LA UKODISHAJI MAGHALA YA KUHIFADHIA KOKOA June 05, 2024
  • View All

Latest News

  • MHE. HOMERA AHIMIZA USHIRIKIANO WA WANANCHI NA SERIKALI UTEKELEZAJI MIRADI YA MAENDELEO.

    June 11, 2025
  • KIDELI SASA BASI, CHANJO YA KUKU YA YAZINDULIWA RASMI BUSOKELO.

    June 09, 2025
  • MAFANIKIO SEKTA YA KILIMO HALMASHAURI YA BUSOKELO MWAKA 2024/2025.

    June 06, 2025
  • KAMPUNI YA UJENZI WA BARABARA YA CHINA ROADS AND BRIDGE CO-OPERATION YASAINI MKATABA WA KUWA MPANGAJI KATIKA MAKAMBI YA MBAMBO.

    May 29, 2025
  • View All

Video

Mkurugenzi atoa hamasa ya chakula kwa watoto mashuleni
More Videos

Quick Links

  • Watumishi Portal
  • Salary slip
  • Councilors list
  • Gallery

Related Links

  • President's Office, Public Service Management
  • TAMISEMI
  • e-Government Agency
  • President's Officia Website
  • Mbeya Regional Website
  • Public Service Recruitment Secretariet

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Lwangwa, Tukuyu

    Postal Address: S. L. P. 2, Tukuyu

    Telephone: +255 737 205 318

    Mobile:

    Email: ded@busokelodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2019 Busokelo DC . All rights reserved.