• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Busokelo District Council
Busokelo District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Busokelo District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Adminstration
    • Organization Structure
    • Departments
      • Adminstration and Human Resource
      • Planning and Statistics
      • Finance and Trade
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Health
      • Water
      • Sanitation and Environment
      • Agriculture, Irrigation and Cooperatives
      • Livestock and Fisheries
      • Development and Social Walfare
      • Land and Natural Resouces
      • Construction, Fire and Works
    • Units
      • Internal Audit
      • Bee Keeping
      • Election
      • Legal
      • Ict
      • Procurement and Supplies
  • Investment Oppotunities
    • Tourism
    • Agricultural
    • Livestock
    • Fishing
    • Bee Keeping
    • Industries
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
  • Councilors
    • Councilors list
    • Standing Committee
      • Finance Planning and Adminstration
      • Economy Works and Environment
      • Education Health and Water
      • CMAC
      • Ethics committee
    • Schedules
      • Councilors schedule meetings
      • Chairperson schedule
  • Projects
    • Planned projects
    • On going projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Acts
    • Customer service contrct
    • Strategic plan
    • Reports
    • Application Forms
    • Guidelines
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

OBORESHAJI DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA UTAHUSISHA UJUZI, WELEDI,UZALENDO NA USHIRIKIANO.

Posted on: December 16th, 2024

OBORESHAJI DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA UTAHUSISHA UJUZI, WELEDI,UZALENDO NA USHIRIKIANO.


Zoezi la Uboreshaji Daftari la kudumu la Wapiga Kura 2024 linahusisha ujuzi, Weledi, Uzalendo na ushirikiano baina ya Maaafisa Waandikishaji, Wadau wa Siasa  na Serikali ili kufanikisha zoezi hilo ufanisi.


Haya yamelezwa leo 16/12/2024 Mkoani Mbeya na Mwenyekiti wa Tume ya Huru ya Taifa ya Uchaguzi Mhe.Jaji Jacobs C.M. Meambegele wakati afungua mafunzo ya siku mbili kwa Maafisa  Waandikishaji ngazi  ya Jimbo katika Halmashauri za Mkoa wa Mbeya.


Mhe.Jaji Mwambegele amewataka Maafisa Waandikishaji ngazi ya Jimbo katika katika Mkoa wa pamoja na Maafisa TEHAMA kwenda kutumia ujuzi na maarifa watakayopatiwa kupitia mafunzo hayo, kwa weledi, Uzalendo, ushirikiano na kujituma ili kufanikisha zoezi la Uboreshaji Daftari la Kudumu la kupiga kura .


Katika hatua nyingine Mhe.Jaji Mwambegele amesema kuwa Mawakala wa vyama vya siasa  Wataruhusiwa  kuwepo katika vituo vya Uboreshaji Daftari la Kudumu la Wapiga kura ili kuongeza uwazi na kuwezesha ushirikiano katika kufanikisha zoezi hilo kwani wao ndio wanao watambua Wapiga kura wao katika maeneo husikia 


Aidha Mawakala hawataruhusiwa kuingilia majukumu ya Maafisa Waandikishaji katika vituo badala yake watatakiwa kutimiza majukumu yako  ya Uwakala kulingana na miongozo na taribu zitakazo tolewa kupitia vya vyao vya siasa.


Zoezi la Uboreshaji Daftari la Kudumu la Wapiga kura mwaka 2024 Mkoani Mbeya linatarajia kuanza 27/12/204 hadi tarehe 02/01/2024 


Kauli mbiu ya Uboreshaji Daftari la Kudumu la Wapiga kura Mwaka 2024  "Kujiandika kwa Mpiga Kura ni Msingi wa Uchaguzi 

Bora"

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA USAILI WA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA. December 09, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA AJIRA YA MKATABA October 20, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI MOJA YA AJIRA April 11, 2023
  • TANGAZO LA UKODISHAJI MAGHALA YA KUHIFADHIA KOKOA June 05, 2024
  • View All

Latest News

  • JUMLA YA MIRADI YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 171. YAKAGULIWA NA KAMATI YA UKAGUZI.

    July 14, 2025
  • MAJARIBIO YA VIJANA WENYE VIPAJI VYA SOKA BUSOKELO

    July 18, 2025
  • MHE. HOMERA AHIMIZA USHIRIKIANO WA WANANCHI NA SERIKALI UTEKELEZAJI MIRADI YA MAENDELEO.

    June 11, 2025
  • KIDELI SASA BASI, CHANJO YA KUKU YA YAZINDULIWA RASMI BUSOKELO.

    June 09, 2025
  • View All

Video

Mkurugenzi atoa hamasa ya chakula kwa watoto mashuleni
More Videos

Quick Links

  • Watumishi Portal
  • Salary slip
  • Councilors list
  • Gallery

Related Links

  • President's Office, Public Service Management
  • TAMISEMI
  • e-Government Agency
  • President's Officia Website
  • Mbeya Regional Website
  • Public Service Recruitment Secretariet

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Lwangwa, Tukuyu

    Postal Address: S. L. P. 2, Tukuyu

    Telephone: +255 737 205 318

    Mobile:

    Email: ded@busokelodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2019 Busokelo DC . All rights reserved.