• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Busokelo District Council
Busokelo District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Busokelo District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Adminstration
    • Organization Structure
    • Departments
      • Adminstration and Human Resource
      • Planning and Statistics
      • Finance and Trade
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Health
      • Water
      • Sanitation and Environment
      • Agriculture, Irrigation and Cooperatives
      • Livestock and Fisheries
      • Development and Social Walfare
      • Land and Natural Resouces
      • Construction, Fire and Works
    • Units
      • Internal Audit
      • Bee Keeping
      • Election
      • Legal
      • Ict
      • Procurement and Supplies
  • Investment Oppotunities
    • Tourism
    • Agricultural
    • Livestock
    • Fishing
    • Bee Keeping
    • Industries
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
  • Councilors
    • Councilors list
    • Standing Committee
      • Finance Planning and Adminstration
      • Economy Works and Environment
      • Education Health and Water
      • CMAC
      • Ethics committee
    • Schedules
      • Councilors schedule meetings
      • Chairperson schedule
  • Projects
    • Planned projects
    • On going projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Acts
    • Customer service contrct
    • Strategic plan
    • Reports
    • Application Forms
    • Guidelines
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

SUALA LA LISHE NI JUKUMU LA KILA MMOJA, WAZAZI NA WALEZI TUWAJIBIKE.

Posted on: October 31st, 2024

SUALA LA LISHE NI JUKUMU LA KILA MMOJA, WAZAZI NA WALEZI TUWAJIBIKE.


Mkuu wa Wilaya ya Rungwe Mhe.Jaffar Haniu leo 31/10/2024 amehitimisha Madhimisho ya Siku ya Lishe Kitaifa Katika Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo.


Akiwahutubia Wananchi wa Busokelo katika viwanja vya Lwangwa shule ya msingi, Mhe.Haniu ameeleza kuwa Suala la lishe ni jukumu la kila mmoja hivyo wazazi na walezi wahakikishe watoto wanakuwa na afya bora.


Aidha Mhe.Haniu ameagiza kuundwa kwa klabu za Lishe mashuleni huku akiwasisitiza wazazi wote kuhakikisha Wanachangia chakula cha watoto shuleni ili kuwawezesha watoto kufanya vizuri kitaaluma katika masomo yao.

Afisa Lishe wa Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo Bi.Mwanahawa Ntandu akisoma taarifa ya tathmini ya Lishe kwa kipindi cha Julai hadi Septemba 2024, amesema kuwa hali ya udumavu kwa watoto chini ya miaka mitano ni 2.1%.,hali ya ukondefu ni 1.6%, uzito uliozidi ni  0.4%.

Pia Watoto walizaliwa na uzito pungufu ni2.39% na akina Mama waja wazito waliopatikana na upungufu wa damu ni 0.1%


Katika hatua nyingine,Mkuu wa Wilaya ya Rungwe Mhe.Haniu amewahimiza Wananchi wote kutimiza haki  yao ya Kikatiba kwenda kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kwa kuchagua Viongozi bora.


‘’Nichukue fursa hii kuwaomba, wale wote tuliojiandikisha katika daftari la wakazi katika uchaguzi wa serikali za mitaa, tumemaliza zoezi hili, nasasa tumebakiwa na zoezi la Uchaguzi, niwaombe wote waliyofikisha umri wa miaka 18 na kuendelea tushiriki  uchaguzi kwa kuchagua Viongozi wa Serikali za Mitaa itakapofika Novemba 27 ,2024’’alisema Mhe. Haniu.


Maadhimisho ya Siku ya Lishe katika Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo yamepambwa na michezo mbalimbali ikiwemo, mpira ya miguu,ngoma za asili,buruadani za muziki,na mpira ya net ball.


Kauli mbiu ‘’ Mchongo ni Afya yako, Zingatia unachokula"




Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA USAILI WA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA. December 09, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA AJIRA YA MKATABA October 20, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI MOJA YA AJIRA April 11, 2023
  • TANGAZO LA UKODISHAJI MAGHALA YA KUHIFADHIA KOKOA June 05, 2024
  • View All

Latest News

  • MHE. HOMERA AHIMIZA USHIRIKIANO WA WANANCHI NA SERIKALI UTEKELEZAJI MIRADI YA MAENDELEO.

    June 11, 2025
  • KIDELI SASA BASI, CHANJO YA KUKU YA YAZINDULIWA RASMI BUSOKELO.

    June 09, 2025
  • MAFANIKIO SEKTA YA KILIMO HALMASHAURI YA BUSOKELO MWAKA 2024/2025.

    June 06, 2025
  • KAMPUNI YA UJENZI WA BARABARA YA CHINA ROADS AND BRIDGE CO-OPERATION YASAINI MKATABA WA KUWA MPANGAJI KATIKA MAKAMBI YA MBAMBO.

    May 29, 2025
  • View All

Video

Mkurugenzi atoa hamasa ya chakula kwa watoto mashuleni
More Videos

Quick Links

  • Watumishi Portal
  • Salary slip
  • Councilors list
  • Gallery

Related Links

  • President's Office, Public Service Management
  • TAMISEMI
  • e-Government Agency
  • President's Officia Website
  • Mbeya Regional Website
  • Public Service Recruitment Secretariet

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Lwangwa, Tukuyu

    Postal Address: S. L. P. 2, Tukuyu

    Telephone: +255 737 205 318

    Mobile:

    Email: ded@busokelodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2019 Busokelo DC . All rights reserved.