• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Busokelo District Council
Busokelo District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Busokelo District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Adminstration
    • Organization Structure
    • Departments
      • Adminstration and Human Resource
      • Planning and Statistics
      • Finance and Trade
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Health
      • Water
      • Sanitation and Environment
      • Agriculture, Irrigation and Cooperatives
      • Livestock and Fisheries
      • Development and Social Walfare
      • Land and Natural Resouces
      • Construction, Fire and Works
    • Units
      • Internal Audit
      • Bee Keeping
      • Election
      • Legal
      • Ict
      • Procurement and Supplies
  • Investment Oppotunities
    • Tourism
    • Agricultural
    • Livestock
    • Fishing
    • Bee Keeping
    • Industries
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
  • Councilors
    • Councilors list
    • Standing Committee
      • Finance Planning and Adminstration
      • Economy Works and Environment
      • Education Health and Water
      • CMAC
      • Ethics committee
    • Schedules
      • Councilors schedule meetings
      • Chairperson schedule
  • Projects
    • Planned projects
    • On going projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Acts
    • Customer service contrct
    • Strategic plan
    • Reports
    • Application Forms
    • Guidelines
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

WALIMU WAMETAKIWA KUWA WABUNIFU KATIKA UFUNDISHAJI ILI KUONGEZA UELEWA KWA WANAFUNZI

Posted on: June 1st, 2024




WALIMU WAMETAKIWA KUWA WABUNIFU KATIKA UFUNDISHAJI ILI KUONGEZA UELEWA KWA WANAFUNZI.


Walimu wametakiwa kubuni njia mbadala za ufundishaji ili kuongeza uelewa kwa wanafunzi na kuwawezesha  Wanafunzi mashuleni kunya vizuri katika masomo kuanzia   ngazi ya Elimu ya Awali , Msingi na Sekondari.


Hayo yameelezwa leo 01/Juni/2024 na Mwl.Suzana Nussu Mkurugenzi msaidizi aneshughulikia masuala ya Elimu ya Awali na Msingi Ofis ya Rais TAMISEMI katika Kikako kazi cha kuhimiza ufundishaji kwa Walimu wa shule za Msingi na Sekondari kilichofanyika katika shule ya sekondari Lwangwa.


Mwl. Nussu amewaambia Walimu kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inaendelea kuboresha mazingira rafiki ya kufundishia na ujifunzaji pamoja na utatuzi wa changamoto za watumishi wote wa umma ikiwemo Walimu.


‘’Nina salamu zenu kutoka kwa Mhe.Rais Dk.Samia, Mhe.Rais anawashukuru sana kwa kazi nzuri mnayoifanya, hivyo basi Walimu wenzangu ni lazima nina wahimiza tuendelee kufanya kazi kwa umahiri, uweledi na nidhamu ya hali ya juu, vilevile Walimu wa Busokelo naomba nitoe tu ushuhuda, hatuna kesi nyingi za kinidhamu kwa Walimu wa Busokelo, naomba niwapongeze kwa hilo” alisema Mwl.Nussu.


Aidha Mwl.Nussu amesisitiza kuwa msingi mzuri wa ufundisha huanzia katika madarasa ya awali na kuendelea hivyo ni vema Walimu watumie mbinu rafiki na bunifu mbalimbali zinazo endana na mwongozo wa ufundishaji ili watoto waweze kuelewa na kuyashika yale wanayofundishwa darasani .


‘’Walimu wenzangu wajengeeni uwezo mzuri watoto kuanzia madarasa ya Awali ili wawe na umahiri katika masomo yao kupitia kusoma, kuandika na kuhesabu, ikiwemo  matumizi ya lugha ya kiingereza’’


Katika hatua nyingine Mwl.Nussu amewataka Walimu wote kudumisha umoja na mshikikamano ili wawze kutumia majukumu yako kwa ushirikiano na hivyo kuleta matokeo chanya kitaaluma na kijamii.



Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA USAILI WA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA. December 09, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA AJIRA YA MKATABA October 20, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI MOJA YA AJIRA April 11, 2023
  • TANGAZO LA UKODISHAJI MAGHALA YA KUHIFADHIA KOKOA June 05, 2024
  • View All

Latest News

  • MHE. HOMERA AHIMIZA USHIRIKIANO WA WANANCHI NA SERIKALI UTEKELEZAJI MIRADI YA MAENDELEO.

    June 11, 2025
  • KIDELI SASA BASI, CHANJO YA KUKU YA YAZINDULIWA RASMI BUSOKELO.

    June 09, 2025
  • MAFANIKIO SEKTA YA KILIMO HALMASHAURI YA BUSOKELO MWAKA 2024/2025.

    June 06, 2025
  • KAMPUNI YA UJENZI WA BARABARA YA CHINA ROADS AND BRIDGE CO-OPERATION YASAINI MKATABA WA KUWA MPANGAJI KATIKA MAKAMBI YA MBAMBO.

    May 29, 2025
  • View All

Video

Mkurugenzi atoa hamasa ya chakula kwa watoto mashuleni
More Videos

Quick Links

  • Watumishi Portal
  • Salary slip
  • Councilors list
  • Gallery

Related Links

  • President's Office, Public Service Management
  • TAMISEMI
  • e-Government Agency
  • President's Officia Website
  • Mbeya Regional Website
  • Public Service Recruitment Secretariet

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Lwangwa, Tukuyu

    Postal Address: S. L. P. 2, Tukuyu

    Telephone: +255 737 205 318

    Mobile:

    Email: ded@busokelodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2019 Busokelo DC . All rights reserved.