• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Busokelo District Council
Busokelo District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Busokelo District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Adminstration
    • Organization Structure
    • Departments
      • Adminstration and Human Resource
      • Planning and Statistics
      • Finance and Trade
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Health
      • Water
      • Sanitation and Environment
      • Agriculture, Irrigation and Cooperatives
      • Livestock and Fisheries
      • Development and Social Walfare
      • Land and Natural Resouces
      • Construction, Fire and Works
    • Units
      • Internal Audit
      • Bee Keeping
      • Election
      • Legal
      • Ict
      • Procurement and Supplies
  • Investment Oppotunities
    • Tourism
    • Agricultural
    • Livestock
    • Fishing
    • Bee Keeping
    • Industries
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
  • Councilors
    • Councilors list
    • Standing Committee
      • Finance Planning and Adminstration
      • Economy Works and Environment
      • Education Health and Water
      • CMAC
      • Ethics committee
    • Schedules
      • Councilors schedule meetings
      • Chairperson schedule
  • Projects
    • Planned projects
    • On going projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Acts
    • Customer service contrct
    • Strategic plan
    • Reports
    • Application Forms
    • Guidelines
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

WALIO KATISHA MASOMO KUTOKANA KUPATA UJAUZITO WAMSHUKURU RAIS SAMIA KWA KUWAPA NAFASI YA KUREJA SHULENI KUENDELEA NA MASOMO.

Posted on: September 26th, 2023

WALIO KATISHA MASOMO KUTOKANA KUPATA UJAUZITO WAMSHUKURU RAIS SAMIA KWA KUWAPA NAFASI YA KUREJA SHULENI KUENDELEA NA MASOMO.


Wanafunzi wa kike waliokatisha masomo yao ya elimu ya sekondari kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kupata ujazito, wamemshukuru Rais Dk.Samia  Suluhu Hassan kwa kuwapatia nafasi ya kurudi shuleni kuendelea na masomo ya Elmu ya sekondari.


Hayo yamejiri  26/09/2023 Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya, katika kituo cha Mafunzo Elimj kwa watu wazima mradi  wa SEQUIP shule ya Sekonadari Kiwira ambapo Afisa Elimu Mkoa wa Mbeya, Maafisa Elimu ya watu wazima na Wenyeviti wa Kamati huduma ya Jamii katika Halmashauri 7 za Mkoa wa Mbeya walifika   tembelea kituo cha SEQUIP kiwira  katika maadhimisho ya Juma la Elimu ya watu wazima.


Jumla ya wanafunzi wa kike 43 wanaendelea na masomo yao ya sekondari wakiwa ni miongoni wanafunzi waliyo katisha masomo yao hapo awali kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kupata ujazito wakiwa masomoni.

Irene Isac Joseph ni miongoni mwa Wanafunzi wanaoendelea na masomo ya sekondari katika kituo cha SEQUIP Kiwira, anaeleza kwamba vishawishi vilimpelekea kushindwa  kuendelea na  masomo yake ya sekondari baada ya kubeba ujauzito.  " Sisi watoto wa kike tuna kabiliwa na changamoto nyingi ikiwemo vishawishi vya kidunia, usipokuwa makini ni rahisi sana kushawishika, mimi nilibeba ujauzito hali iliyopekea kuacha masomo, ndoto yangu ilikuwa kuja kuwa Daktari lakini niliona siwezi ifikia baada ya kuacha masomo, lakini nina mshukuru sana Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutupatia nafasi hii turudi shuleni kuendelea na masomo, ninaamini ndoto yangu ya kuwa Daktari itamia" alisema Irene.

Naye Mwenyekiti wa Kamati ya Huduma za Jamii Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo ambaye  ni Diwani wa Kata ya Ipagika, Mh.Mekara O.Mwang'ombola  alisema kuwa ni lazima sasa jamii ihamasike kwa ujumla kuwaibua watoto wote waliyokatisha masomo yao hapo awali kutokana na changamoto za ujauzito na sababu zingine waingizwe katika mpango wa SEQUIP na mafunzo ya Elimu ya vitendo kwa watu wazima  ili wapate elimu na maarifa yatayowasidia kufikia  ndoto zao.


Mkoa wa Mbeya una jumla ya vituo 12 vinayohudumia watoto wa kike waliyo katisha masomo yao kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo hali duni ya kimaisha, ujauzito, utoro na Ugonjwa.


Kituo cha SEQUIP-AEP Kiwira Sekondari kipo kijiji cha Ilundo, Kata ya Kiwira Wilayani Rungwe, Mkoa wa Mbeya kilanza rasmi 18/02/2022 baada ya Rais Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  kuamua kuwarejesha shuleni  Watoto wenye umri kuanzia miaka 13-21 waliyokatiza masomo yao kutokana na sababu mbalimbali ikwemo utoro, ujauzito, ugonjwa na hali duni ya maisha.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA USAILI WA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA. December 09, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA AJIRA YA MKATABA October 20, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI MOJA YA AJIRA April 11, 2023
  • TANGAZO LA UKODISHAJI MAGHALA YA KUHIFADHIA KOKOA June 05, 2024
  • View All

Latest News

  • MHE. HOMERA AHIMIZA USHIRIKIANO WA WANANCHI NA SERIKALI UTEKELEZAJI MIRADI YA MAENDELEO.

    June 11, 2025
  • KIDELI SASA BASI, CHANJO YA KUKU YA YAZINDULIWA RASMI BUSOKELO.

    June 09, 2025
  • MAFANIKIO SEKTA YA KILIMO HALMASHAURI YA BUSOKELO MWAKA 2024/2025.

    June 06, 2025
  • KAMPUNI YA UJENZI WA BARABARA YA CHINA ROADS AND BRIDGE CO-OPERATION YASAINI MKATABA WA KUWA MPANGAJI KATIKA MAKAMBI YA MBAMBO.

    May 29, 2025
  • View All

Video

Mkurugenzi atoa hamasa ya chakula kwa watoto mashuleni
More Videos

Quick Links

  • Watumishi Portal
  • Salary slip
  • Councilors list
  • Gallery

Related Links

  • President's Office, Public Service Management
  • TAMISEMI
  • e-Government Agency
  • President's Officia Website
  • Mbeya Regional Website
  • Public Service Recruitment Secretariet

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Lwangwa, Tukuyu

    Postal Address: S. L. P. 2, Tukuyu

    Telephone: +255 737 205 318

    Mobile:

    Email: ded@busokelodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2019 Busokelo DC . All rights reserved.