• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Busokelo District Council
Busokelo District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Busokelo District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Adminstration
    • Organization Structure
    • Departments
      • Adminstration and Human Resource
      • Planning and Statistics
      • Finance and Trade
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Health
      • Water
      • Sanitation and Environment
      • Agriculture, Irrigation and Cooperatives
      • Livestock and Fisheries
      • Development and Social Walfare
      • Land and Natural Resouces
      • Construction, Fire and Works
    • Units
      • Internal Audit
      • Bee Keeping
      • Election
      • Legal
      • Ict
      • Procurement and Supplies
  • Investment Oppotunities
    • Tourism
    • Agricultural
    • Livestock
    • Fishing
    • Bee Keeping
    • Industries
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Water
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
  • Councilors
    • Councilors list
    • Standing Committee
      • Finance Planning and Adminstration
      • Economy Works and Environment
      • Education Health and Water
      • CMAC
      • Ethics committee
    • Schedules
      • Councilors schedule meetings
      • Chairperson schedule
  • Projects
    • Planned projects
    • On going projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Acts
    • Customer service contrct
    • Strategic plan
    • Reports
    • Application Forms
    • Guidelines
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

Waratibu wa Elimu Kata Busokelo wakabidhiwa pikipiki

Posted on: October 3rd, 2018

Uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo jana, umekabidhi pikipiki 13 kwa Waratibu wa elimu kata za Busokelo.

Akikabidhi pikipiki hizo zilizotolewa na Serikali kupitia mradi wa LANES ambayo inafadhiliwa na umoja wa mataifa, Makamu mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Busokelo, Mhe. Uswege Mbamba, aliwaasa waratibu hao kuwa makaini na matumizi ya vyombo hivyo vya Serikali.

“kuletwa kwa pikipiki hizi katika Halmashauri ya Busokelo itakuwa ni chachu ya kuongeza kiwango cha taaluma na ufaulu wa darasa la nne, saba na kiadato cha 2, 4 na 6”. Alisema Mhe. Mbamba

Mhe. Mbamba aliongeza kuwa ufumbuzi wa vyombo vya usafiri kwa waratibu wa elimu kata ambao ndio wasimamizi wakuu wa  elimu ngazi ya kata limepata dawa ya kudumu kwani jiografia ya Busokelo kila mtu anaielewa changamoto yake.

Aidha Mhe. Mbamba alitoa rai kwa waratibu hao kufuata miongozo ya matumizi ya vyombo hivyo vya moto iliyotolewa na Waziri mwenye dhamana ya elimu ili pikipiki hizo ziweze kudumu kwa muda mrefu na matumizi yenye tija.

Akisoma taarifa mbele ya Mgeni rasmi, Afisa Elimu  Msingi wa Wilaya Bw. Atuvonwe Chaula alisema kuwa Halmashauri ya Busokelo ni miongoni mwa halmashauri nchini zilizopata pikipiki kwa ajili ya ufuatiliaji wa elimu ngazi ya Kata, ambapo alifafanua kuwa LANES ni kifupisho cha manaeno “Literature And Numerous Education Support” ambapo lengo kuu ni kuimarisha Stadi za Msingi za kusoma, kuandika na kuhesabu “KKK” kwa rika la kuanzia miaka 5 hadi 13 kwa watoto wasiokuwa na mfumo rasmi na walio katika mfumo rasmi.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA USAILI WA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA. December 09, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA AJIRA YA MKATABA October 20, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI MOJA YA AJIRA April 11, 2023
  • TANGAZO LA UKODISHAJI MAGHALA YA KUHIFADHIA KOKOA June 05, 2024
  • View All

Latest News

  • MHE. HOMERA AHIMIZA USHIRIKIANO WA WANANCHI NA SERIKALI UTEKELEZAJI MIRADI YA MAENDELEO.

    June 11, 2025
  • KIDELI SASA BASI, CHANJO YA KUKU YA YAZINDULIWA RASMI BUSOKELO.

    June 09, 2025
  • MAFANIKIO SEKTA YA KILIMO HALMASHAURI YA BUSOKELO MWAKA 2024/2025.

    June 06, 2025
  • KAMPUNI YA UJENZI WA BARABARA YA CHINA ROADS AND BRIDGE CO-OPERATION YASAINI MKATABA WA KUWA MPANGAJI KATIKA MAKAMBI YA MBAMBO.

    May 29, 2025
  • View All

Video

Mkurugenzi atoa hamasa ya chakula kwa watoto mashuleni
More Videos

Quick Links

  • Watumishi Portal
  • Salary slip
  • Councilors list
  • Gallery

Related Links

  • President's Office, Public Service Management
  • TAMISEMI
  • e-Government Agency
  • President's Officia Website
  • Mbeya Regional Website
  • Public Service Recruitment Secretariet

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Lwangwa, Tukuyu

    Postal Address: S. L. P. 2, Tukuyu

    Telephone: +255 737 205 318

    Mobile:

    Email: ded@busokelodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2019 Busokelo DC . All rights reserved.