Msimami wa Uchaguzi Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo anawatangazia wale wote Waliyoomba nafasi za muda katika uboreshaji wa daftari la Kudumu la Wapiga kufika katika usaili siku ya tarehe 12/12/2024.
Usaili utafanyika kuanzia saa 02:00 Asubuhi katika Ukumbi wa Lwangwa Sekondari
Lwangwa, Tukuyu
Anuani ya Posta: S. L. P. 2, Tukuyu
Simu: +255 737 205 318
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@busokelodc.go.tz
Hakimiliki ©2019 Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo. Haki zote zimehifadhiwa.