TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO KWA KIPINDI CHA ROBO YA NNE (APRILI – JUNI, 2018) MWAKA WA FEDHA 2017/18
MFUKO WA JIMBO (CDCF)
JINA LA MRADI
|
SHUGHULI ZILIZOPANGWA
|
UTEKELEZAJI
|
% YA UTEKELEZAJI
|
FEDHA ILIYOKASIMIWA
|
FEDHA ILIYOTOLEWA
|
FEDHA ILIYOTUMIKA
|
MAONI
|
Kuziwezesha kata kukamilisha miradi mbalimbali kwa fedha za mfuko wa kuchochea maendeleo ya jimbo ifikapo Juni,2018.
|
Kuziwezesha kata kukamilisha miradi mbalimbali kwa fedha za mfuko wa kuchochea maendeleo ya jimbo ifikapo Juni,2018.
|
Utekelezaji wa miradi katika ngazi ya vijiji na Kata umeshaanza.
|
50
|
40,137,000.00
|
40,137,000.00
|
40,137,000.00
|
Kazi zinaendelea.
|
JUMLA KUU
|
|
|
|
40,137,000.00
|
40,137,000.00
|
40,137,000.00
|
|
MFUKO WA AFYA (BUSKET FUND)
JINA LA MRADI
|
SHUGHULI ZILIZOPANGWA
|
UTEKELEZAJI
|
% YA UTEKELEZAJI
|
FEDHA ILIYOKASIMIWA
|
FEDHA ILIYOTOLEWA
|
FEDHA ILIYOTUMIKA
|
MAONI
|
AFYA UTAWALA NA HOSPITALI
|
|||||||
Kuandaa Mpango kabambe wa afya (CCHP) WA MWAKA WA FEDHA 2018/2019
|
Kuandaa Mpango kabambe wa afya (CCHP) WA MWAKA WA FEDHA 2018/2019
|
Mpango Kabambe wa Afya(CCHP) wa mwaka 2018/2019 uliandaliwa
|
100 |
16,800,000.00 |
6,913,100.00 |
6,913,100.00 |
Kazi ilifanyika kipindi cha robo ya tatu 2017/2018
|
Kuwawezesha watumishi 2 wa afya kuhudhuria vikao vya Bajeti ya mwaka wa fedha 2018/2019
|
Kuwawezesha watumishi 2 wa afya kuhudhuria vikao vya Bajeti ya mwaka wa fedha 2018/2019
|
Watumishi 2 walihudhuria vikao vya Bajeti
|
100 |
2,120,000.00 |
0 |
0 |
Kazi imekamilika.
|
Kufanya ufuatiliaji wezeshi kwa kila Robo mwakakatika vituo 21 vya kutolea huduma za afya
|
Kufanya ufuatiliaji wezeshi kwa kila Robo mwakakatika vituo 21 vya kutolea huduma za afya
|
Kazi imefanyika ya ufuatiliaji wezeshi katika vituo vyote 21
|
50 |
29,634,200.00 |
2,760,000.00 |
2,760,000.00 |
Kazi imefanyika na inaendelea kufanyika.
|
Kutekeleza makubaliano ya mkataba wa huduma kati ya Halmashauri ya wilaya ya Busokelo na Hospitali ya Itete kila Robo mwaka
|
Kutekeleza makubaliano ya mkataba wa huduma kati ya Halmashauri ya wilaya ya Busokelo na Hospitali ya Itete kila Robo mwaka
|
Kazi imetekelezwa ambapo fedha zimepelekwa Hospitali ya Itete kwa ajili ya ununuzi wa dawa
|
100 |
74,980,920.00 |
48,135,200.00 |
48,135,200.00 |
Kazi imetekelezwa
|
JUMLA NDOGO
|
|
|
|
126,613,120.00
|
57,808,300.00
|
57,808,300.00
|
|
VITUO VYA AFYA
|
|||||||
Kuwezesha ununuzi wa dawa na vifaa tiba visivyopatika MSD kwa ajili ya kituo 1 cha afya
|
Kuwezesha ununuzi wa dawa na vifaa tiba visivyopatika MSD kwa ajili ya kituo 1 cha afya
|
Ununuzi wa Dawa na vifaa tiba umefanyika
|
20 |
23,672,200.00 |
4,945,950.00 |
4,945,950.00 |
Kazi imefanyika
|
Kufanya maadhimisho ya wiki ya chanjo
|
Kufanya maadhimisho ya wiki ya chanjo
|
Kazi Haijafanyika.
|
0 |
1,200,000.00 |
0 |
0 |
Kazi haijafanyika
|
Kutoa huduma za Mkoba katika vijiji 3 visivyo rahisi kufikika
|
Kutoa huduma za Mkoba katika vijiji 3 visivyo rahisi kufikika
|
Kazi imefanyika katika vijiji 3 vya Lugombo,Mwela na Ipelo
|
68 |
1,080,000.00 |
740,000.00 |
740,000.00 |
Kazi imefanyika
|
Kuwawezesha watumishi 8 wa kituo cha afya kuandaa Mpango na Bajeti wa mwaka 2018/2019
|
Kuwawezesha watumishi 8 wa kituo cha afya kuandaa Mpango na Bajeti wa mwaka 2018/2019
|
Kazi imetekelezwa mpango wa mwaka 2018/2019 umeandaliwa
|
100 |
1,710,000.00 |
530,000.00 |
530,000.00 |
Kazi imefanyika
|
Kuwezesha huduma za dharura kwa wagonjwa katika kituo cha afya
|
Kuwezesha huduma za dharura kwa wagonjwa katika kituo cha afya
|
Kazi imefanyika gari la kubeba wagonjwa wa dharura lilitengenezwa pmoja na kuwawezesha watumishi kuhudhuria mafunzo ya utoaji wa dawa za usingizi
|
100
|
11,720,000.00 |
4,802,000.00
|
4,802,000.00
|
Kazi imefanyika.
|
JUMLA NDOGO
|
|
|
|
44,632,200.00
|
11,017,950.00
|
11,017,950.00
|
|
ZAHANATI
|
|||||||
Kuwezesha ununuzi wa dawa muhimu na vifaa tiba visivyopatika MSD
|
Kuwezesha ununuzi wa dawa muhimu na vifaa tiba visivyopatika MSD
|
Kazi imetekelezwa
|
|
17,392,250.00
|
4,348,062.5
|
4,348,062.5
|
Kazi imefanyika.
|
Kufanya maadhimisho ya wiki ya chanjo
|
Kufanya maadhimisho ya wiki ya chanjo
|
Wiki ya chanjo imeazimishwa kuanzia tarehe 21/04/2018 hadi tarehe 30/04/2018
|
100
|
8,120,000.00 |
920,000.00 |
920,000.00 |
Kazi imekamilka
|
Kutoa huduma za mkoba katika vijiji 28 visivyo fikika kwa urahisi
|
Kutoa huduma za mkoba katika vijiji 28 visivyo fikika kwa urahisi
|
Huduma za Mkoba zimefanyika kwa miezi yote 3 katika vijiji vyote 28
|
100
|
5,654,000.00
|
4,175.000.00
|
4,175.000.00
|
Kazi imekamilika
|
Kutoa vifaa vya kuhifadhia chanjo kwa zahanati 20
|
Kutoa vifaa vya kuhifadhia chanjo kwa zahanati 20
|
Vifaa vya kuhifadhia chanjo kwa zahanati 20 vimenunuliwa
|
5
|
17,234,260.00
|
1,026,000.00
|
1,026,000.00
|
Kazi hii itaendelea katika mwaka wa Fedha 2018/19
|
Kuandaa Mipango na Bajeti za zahanati za mwaka wa fedha 2018/2019
|
Kuandaa Mipango na Bajeti za zahanati za mwaka wa fedha 2018/2019
|
Kazi imetekelezwa
|
100
|
9,190,000.00
|
1,410,000.00
|
1,410,000.00
|
Kazi imekamilika
|
JUMLA NDOGO
|
|
|
|
62,024,510.00
|
7,708,237.50
|
7,708,237.50
|
|
JUMLA KUU MFUKO WA AFYA
|
|
|
|
244,427,880.00
|
76,534,487.50
|
76,534,487.50
|
|
SHUGHULI ZINAZOFADHILIWA NA UNICEF
JINA LA MRADI
|
SHUGHULI ZILIZOPANGWA
|
UTEKELEZAJI
|
% YA UTEKELEZAJI
|
FEDHA ILIYOKASIMIWA
|
FEDHA ILIYOTOLEWA
|
FEDHA ILIYOTUMIKA
|
MAONI
|
|
|||||||
AFYA- AFYA YA UZAZI NA MTOTO (RCH)
|
|
||||||||||||||
Kufanya usimamizi wezeshi katika vituo 21 vya kutolea huduma za Tiba kila Robo mwaka
|
Kufanya usimamizi wezeshi katika vituo 21 vya kutolea huduma za Tiba kila Robo mwaka
|
Usimamizi wezeshi katika vituo 21 umefanyika
|
75
|
7,600,000.00 |
5,700,600,00
|
5,700,600.00
|
Kazi imefanyika.
|
|
|||||||
Kufanya mapitio ya utekelezaji wa Program ya PMTCT na RMNCH
|
Kufanya mapitio ya utekelezaji wa Program ya PMTCT na RMNCH
|
Mapitio ya utekelezaji wa Program ya PMTCT na RMNCH yamefanyika
|
50
|
5,400,000.00 |
2,700,000.00
|
2,700,000.00
|
Kazi imefanyika.
|
|
|||||||
Kufanya usimamizi elekezi kila Robo mwaka kwa MNCH,PMTCT na IVD kwa vituo 21 vya kutolea huduma za tiba
|
Kufanya usimamizi elekezi kila Robo mwaka kwa MNCH,PMTCT na IVD kwa vituo 21 vya kutolea huduma za tiba
|
Usimamizi elekezi kwa MNCH,PMTCT na IVD kwa vituo 21 umefanyika
|
100
|
5,316,000.00 |
5,316,000.00
|
5,316,000.00
|
Kazi imefanyika.
|
|
|||||||
Kufanya mapitio juu ya mwenendo wa vifo vya wazazi na watoto wachanga (MPDSR)
|
Kufanya mapitio juu ya mwenendo wa vifo vya wazazi na watoto wachanga (MPDSR)
|
Mapitio mwenendo wa vifo vya wazazi na watoto wachanga (MPDSR) yamefanyika
|
100
|
3,460,000.00 |
3,460,000.00
|
3,460,000.00
|
Kazi imefanyika.
|
|
|||||||
Kufanya uhamasishaji wa watu kuchangia damu kila Robo mwaka
|
Kufanya uhamasishaji wa watu kuchangia damu kila Robo mwaka
|
Uhamasishaji umefanyika katika maeneo ya masoko ya Ntaba ,Mwakaleli na Lwangwa
|
100
|
3,640,000.00 |
3,640,000.00
|
3,640,000.00
|
Kazi imefanyika.
|
|
|||||||
Kufanya vikao katika vituo 15 vya kutolea huduma za tiba kwa udhamini wa KOICA juu ya Maternal na New born QI
|
Kufanya vikao katika vituo 15 vya kutolea huduma za tiba kwa udhamini wa KOICA juu ya Maternal na New born QI
|
Vikao katika vituo 15 vya kutolea huduma za tiba kwa udhamini wa KOICA juu ya Maternal na New born vimefanyika
|
75
|
8,650,000.00 |
6,213,000.00
|
6,213,000.00
|
Kazi imefanyika.
|
|
|||||||
Kufanya uchambuzi wa mifumo ya DHIS2 na webportal HMIS na mapitio ya viashiria vya RMNCH
|
Kufanya uchambuzi wa mifumo ya DHIS2 na webportal HMIS na mapitio ya viashiria vya RMNCH
|
Uchambuzi wa mifumo ya DHIS2 na webportal HMIS na mapitio ya viashiria vya RMNCHB umefanyika.
|
50
|
1,200,000.00 |
600,000.00
|
600,000.00
|
Kazi imefanyika.
|
|
|||||||
Kufanya Tathmini ya usahihi wa takwimu katika vituo 21 vya kutolea huduma za tiba
|
Kufanya Tathmini ya usahihi wa takwimu katika vituo 21 vya kutolea huduma za tiba
|
Tathmini ya usahihi wa takwimu katika vituo 15 vya kutolea huduma za tiba umefanyika
|
50
|
4,500,000.00 |
2,175,000.00
|
2,175,000.00
|
Kazi imefanyika.
|
|
|||||||
Kuwezesha utekelezaji wa huduma ya mama na mtoto iliyo boreshwa (QI)
|
Kuwezesha utekelezaji wa huduma ya mama na mtoto iliyo boreshwa (QI)
|
Uwezeshaji wa utekelezaji wa huduma ya mama na mtoto iliyo boreshwa umefanyika
|
100
|
7,380,000.00 |
7,380,000.00
|
7,380,000.00
|
Kazi imefanyika.
|
|
|||||||
JUMLA NDOGO-RCH
|
|
|
47,146,000.00
|
37,184,600.00
|
37,184,600.00
|
|
|
||||||||
LISHE
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|||||||
Kutoa mafunzo ya siku 5 juu ya MYCAN kwa watumishi wa afya 42
|
Kutoa mafunzo ya siku 5 juu ya MYCAN kwa watumishi wa afya 42
|
Mafunzo ya siku 5 juu ya MYCAN kwa watumishi 42
|
50
|
19,150,000.00 |
9,575,000.00
|
9,575,000.00
|
Shughuli imetekelezwa
|
|
|||||||
Kufanya vikao vya lishe vya kisekta pamoja na waratibu wa lishe Kutoka kwenye NGOs na CBOs kwaajili ya kuandaa Mpango kazi wa lishe
|
Kufanya vikao vya lishe vya kisekta pamoja na waratibu wa lishe Kutoka kwenye NGOs na CBOs kwaajili ya kuandaa Mpango kazi wa lishe
|
Mpango kazi wa Lishe wa mwaka 2018/2019 umeandaliwa
|
100
|
1,330,000.00 |
1,330,000.00
|
1,330,000.00
|
Kazi imekamilika
|
|
|||||||
Kufanya vikao vya kamati ya lishe kila Robo mwaka
|
Kufanya vikao vya kamati ya lishe kila Robo mwaka
|
Kikao cha Kamati ya Lishe kimefanyika
|
100
|
990,000.00 |
980,000.00
|
980,000.00
|
Shughuli imetekelezwa
|
|
|||||||
Kufanya usimamizi wezeshi katika utekelezaji wa shughuli za lishe kwa kila Robo mwaka
|
Kufanya usimamizi wezeshi katika utekelezaji wa shughuli za lishe kwa kila Robo mwaka
|
Usimamizi umefanyika katika vituo 12 na vituo vingine 10 vitafanyiwa usimamizi katika a robo ya tatu
|
100
|
4,756,000.00 |
4,587,000.00
|
4,587,000.00
|
Kazi Imekamilika
|
|
|||||||
Kutoa mafunzo ya siku 3 kwa watumishi wa afya juu ya maendeleo ya ukuaji kwa vipimo vya WHO
|
Kutoa mafunzo ya siku 3 kwa watumishi wa afya juu ya maendeleo ya ukuaji kwa vipimo vya WHO
|
Wawezeshaji wameshapata mafunzo na mafunzo kwa watumishi yatafanyika robo ya tatu
|
100
|
10,650,000.00 |
10,650,000.00 |
10,650,000.00 |
Kazi imefanyika
|
|
|||||||
JUMLA NDOGO – LISHE
|
|
|
38,126,000.00 |
27,122,000.00
|
27,122,000.00
|
|
|
||||||||
MIPANGO
|
|
||||||||||||||
Kufanya ufuatiliaji na Tathmini ya shughuli za UNICEF
|
Kufanya ufuatiliaji na Tathmini ya shughuli za UNICEF
|
Ufuatiliaji wa shughuli za UNICEF unaendelea kufanyika.
|
100
|
8,182,000.00 |
8,181,000.00
|
8,181,000.00
|
Kazi imekamilika.
|
|
|||||||
JUMLA NDOGO |
|
|
8,182,000.00 |
8,181,000.00
|
8,181,000.00
|
|
|
||||||||
JUMLA KUU UNICEF
|
|
|
|
156,654,000.00 |
72,487,600.00
|
72,487,600.00
|
|
|
|||||||
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
SHUGHULI ZA MAGONJWA YASIYOPEWA KIPAUMBELE (NTD)
JINA LA MRADI
|
SHUGHULI ZILIZOPANGWA
|
UTEKELEZAJI
|
% YA UTEKELEZAJI
|
FEDHA ILIYOKASIMIWA
|
FEDHA ILIYOTOLEWA
|
FEDHA ILIYOTUMIKA
|
MAONI
|
Uhamasishaji wa zoezi la unyweshaji dawa za magonjwa yasiyopewa kipaumbele mashuleni
|
Uhamasishaji wa zoezi la unyweshaji dawa za magonjwa yasiyopewa kipaumbele mashuleni
|
Uhamasishaji umefanyika katika shule za msingi 61
|
100
|
805,000.00
|
805,000.00
|
805,000.00
|
Kazi imekamilika
|
Kunywesha dawa za minyoo na kichocho mashuleni kwa walimu 122
|
Kunywesha dawa za minyoo na kichocho mashuleni kwa walimu 122
|
Walimu wote 122 wamenyweshwa dawa kutoka katika shule zote 61
|
100
|
6,382,000.00
|
6,382,000.00
|
6,382,000.00
|
Kazi imekamilika
|
Ufuatiliaji na usimamizi wa zoezi la unyweshaji dawa za minyoo na kichocho mashuleni
|
Ufuatiliaji na usimamizi wa zoezi la unyweshaji dawa za minyoo na kichocho mashuleni
|
Ufuatiliaji umefanyika katika shule zote 61
|
100
|
1,863,200.00 |
1,863,200.00
|
1,863,200.00
|
Kazi imekamilka
|
Kufanya mafunzo ya magonjwa yasiyopewa kipaumbele mashuleni kuhusu unyweshaji wa dawa za minyoo na kichocho
|
Kufanya mafunzo ya magonjwa yasiyopewa kipaumbele mashuleni kuhusu unyweshaji wa dawa za minyoo na kichocho
|
Mafunzo ya magonjwa yasiyopewa kipaumbele yamefanyika mashuleni ambapo walimu 122 walipata mafunzo.
|
100
|
7,520,400.00 |
7,520,400.00
|
7,520,400.00
|
Kazi imekamilika
|
JUMLA KUU
|
|
|
|
16,570,600.00
|
16,570,600.00
|
16,570,600.00
|
|
SHUGHULI ZA UKIMWI
JINA LA MRADI
|
SHUGHULI ZILIZOPANGWA
|
UTEKELEZAJI
|
% YA UTEKELEZAJI
|
FEDHA ILIYOKASIMIWA
|
FEDHA ILIYOTOLEWA
|
FEDHA ILIYOTUMIKA
|
MAONI
|
Kuwawezesha watumishi ngazi ya jamii wanaohusika na kusaidia huduma za kinamama wenye watoto wachanga (mama mwambata)kufikia Juni 2018
|
Kuwawezesha watumishi ngazi ya jamii wanaohusika na kusaidia huduma za kinamama wenye watoto wachanga (mama mwambata)kufikia Juni 2018
|
Watumishi 8 wamelipwa mishahara yao na stahiki zao nyingine
|
100
|
3,480,000.00
|
3,480,000.00
|
3,480,000.00
|
Kazi imekamilika
|
Kufanya kikao cha siku moja cha wadau wa Afya kutoka vituo vyote vya kutolea huduma za ukimwi kufikia sep 2018
|
Kufanya kikao cha siku moja cha wadau wa Afya kutoka vituo vyote vya kutolea huduma za ukimwi kufikia sep 2018
|
Kikao cha wadau wa Afya kimefanyika
|
100
|
2,066,000.00
|
2,066,000.00
|
2,066,000.00
|
Kazi imekamilika
|
Kuwawezesha wafanyakazi wa vituo 7 vya kutolea huduma ya CTC ifikapo Juni 2018
|
Kuwawezesha wafanyakazi wa vituo 7 vya kutolea huduma ya CTC ifikapo Juni 2018
|
Wafanyakazi wa vituo vyote 7 wamewezeshwa katika utoaji huduma ya CTC
|
100
|
14,065,040.00
|
14,065,040.00
|
14,065,040.00
|
Kazi imekamilka
|
JUMLA KUU
|
|
|
|
19,611,040.00
|
19,611,040.00
|
19,611,040.00
|
|
ELIMU BILA MALIPO (MSINGI)
JINA LA MRADI
|
SHUGHULI ZILIZOPANGWA
|
UTEKELEZAJI
|
% YA UTEKELEZAJI
|
FEDHA ILIYOKASIMIWA
|
FEDHA ILIYOTOLEWA
|
FEDHA ILIYOTUMIKA
|
MAONI
|
Kutoa fedha za uendeshaji wa shule kwa wanafunzi 25,543 wa shule za Msingi
|
Kutoa fedha za uendeshaji wa shule kwa wanafunzi 25,543 wa shule za Msingi
|
Fedha za uendeshaji zimepokelewa na kupelekwa katika shule zote 61
|
100
|
106,473,000.00 |
129,629,734.87
|
129,629,734.87
|
Fedha zimepokelewa na kupelekwa katika shule zote
|
Kutoa posho ya madaraka kwa walimu wakuu 61 na Waratibu elimu kata 13
|
Kutoa posho ya madaraka kwa walimu wakuu 61 na Waratibu elimu kata 13
|
Posho ya madaraka kwa walimu wakuu 61 na Waratibu elimu kata 13 zimeshatolewa
|
100
|
185,400,000.00 |
185,400,000.00
|
185,400,000.00
|
Fedha zimepokelewa na kupelekwa katika shule zote
|
JUMLA KUU
|
|
|
|
312,635,000.00
|
315,029,734.87
|
315,029,734.87
|
|
ELIMU BILA MALIPO (SEKONDARI)
JINA LA MRADI
|
SHUGHULI ZILIZOPANGWA
|
UTEKELEZAJI
|
% YA UTEKELEZAJI
|
FEDHA ILIYOKASIMIWA
|
FEDHA ILIYOTOLEWA
|
FEDHA ILIYOTUMIKA
|
MAONI
|
Kutoa fedha za chakula kwa wanafunzi 2084 wa kidato cha 5 na 6
|
Kutoa fedha za chakula kwa wanafunzi 2084 wa kidato cha 5 na 6
|
Fedha kwa ajili ya chakula zimepelekwa katika shule za sekondari za Lwangwa,Lufilyo na Mwakaleli
|
100
|
699,744,000.00 |
1,088,803,867.4
|
1,088,803,867.4
|
Fedha zimeshapelekwa mashuleni.
|
Kutoa fedha za uendeshaji wa shule kwa wanafunzi 7081wa Sekondari
|
Kutoa fedha za uendeshaji wa shule kwa wanafunzi 7081 wa Sekondari
|
Fedha za uendeshaji zimeshapelekwa katika shule zote 15
|
100
|
57,296,000.00 |
86,965,338.41
|
86,965,338.41
|
Fedha zimeshapelekwa mashuleni
|
Kutoa posho ya madaraka kwa wakuu wa shule 15
|
Kutoa posho ya madaraka kwa wakuu wa shule 15
|
Posho zimeshashatolewa katika shule zote 15
|
100
|
45,000,000.00 |
45,000,000.00
|
45,000,000.00
|
Fedha zimeshapelekwa mashuleni
|
Kutoa fidia ya ada kwa wanafunzi 5179 wa shule za sekondari
|
Kutoa fidia ya ada kwa wanafunzi 5179 wa shule za sekondari
|
Fidia za ada zimepokelewa na kutolewa katika shule zote 15
|
100
|
96,860,000.00
|
97,549,587.34
|
97,549,587.34
|
Fedha zimeshapelekwa mashuleni
|
JUMLA KUU
|
|
|
|
898,900,000.00
|
1,318,318,793.15
|
1,318,318,793.15
|
|
MIRADI YA EP4R (ELIMU MSINGI)
JINA LA MRADI
|
SHUGHULI ZILIZOPANGWA
|
UTEKELEZAJI
|
% YA UTEKELEZAJI
|
FEDHA ILIYOKASIMIWA
|
FEDHA ILIYOTOLEWA
|
FEDHA ILIYOTUMIKA
|
MAONI
|
Ukamilishaji wa vyumba 2 vya madarasa katika shule ya Msingi Lukasi
|
Ukamilishaji wa vyumba 2 vya madarasa katika shule ya Msingi Lukasi
|
Ujenzi upo hatua ya upauaji
|
60
|
8,064,324.33
|
8,064,324.33
|
0
|
Kazi inaendelea kwa nguvu za wananchi
|
Ukamilishaji wa chumba cha darasa kimoja katika shule ya Msingi Kasanga
|
Ukamilishaji wa chumba cha darasa kimoja katika shule ya Msingi Kasanga
|
Ujenzi umeanza upo katika hatua ya Msingi
|
10
|
20,000,000.00 |
20,000,000.00
|
0
|
Kazi inaendelea kwa nguvu za wananchi
|
Ufuatiliaji , Takwimu na Usimamizi wa Kielimu
|
Ufuatiliaji , Takwimu na Usimamizi wa Kielimu
|
Ufuatiliaji , Takwimu na Usimamizi wa Kielimu umefanyika.
|
100
|
5,994,794.16 |
5,994,794.16 |
5,994,794.16 |
Kazi imekamilika.
|
Kurekebisha ikama ya walimu
|
Kurekebisha ikama ya walimu
|
Walimu 9 walilipwa fedha za uhamisho ambapo walimu 3 walihamia shule ya msingi Mapambano,2 Nyanga,2 Ipoma, 1Lupata na 1 shule ya msingi Ndubi.
|
100
|
17,984,382.49 |
17,984,382.49 |
17,984,382.49 |
Kazi imekamilika
|
|
JUMLA KUU
|
|
|
52,043,500.98 |
52,043,500.98
|
23,979,176.65
|
|
MIRADI YA EP4R (ELIMU SEKONDARI)
JINA LA MRADI
|
SHUGHULI ZILIZOPANGWA
|
UTEKELEZAJI
|
% YA UTEKELEZAJI
|
FEDHA ILIYOKASIMIWA
|
FEDHA ILIYOTOLEWA
|
FEDHA ILIYOTUMIKA
|
MAONI
|
Ukamilishaji wa vyumba 2 vya madarasa katika shule ya sekondari Luteba
|
Ukamilishaji wa vyumba 2 vya madarasa katika shule ya sekondari Luteba
|
Utekelzaji bado haujaanza .
|
0
|
7,494,406.44 |
7,494,406.44 |
0
|
Fedha zimeshapelekwa shule.
|
Ukamilishaji wa maabara za Fizikia katika shule za sekondari 8 za Luteba,Mbigili,Mzalendo,Ikapu,Selya,Kisegese,Mpata na Kyejo
|
Ukamilishaji wa maabara za Fizikia katika shule za sekondari 8 za Luteba,Mbigili,Mzalendo,Ikapu,Selya,Kisegese,Mpata na Kyejo
|
Utekelezaji bado haujaanza
|
0
|
26,765,737.29 |
26,765,737.29
|
0
|
Utaratibu wa kutafuta mafundi unaendelea.
|
Ufuatiliaji , Takwimu na Usimamizi wa Kielimu
|
Ufuatiliaji , Takwimu na Usimamizi wa Kielimu
|
Ufuatiliaji na Usimamizi wa Takwimu umefanyika na takwimu zimeshaingizwa kwenye Mfumo
|
100
|
2,973,970.81 |
2,973,970.81
|
2,973,970.81
|
Kazi imekamilika.
|
|
|
JUMLA KUU
|
|
37,234,114.54 |
37,234,114.54
|
2,973,970.81
|
|
USAFI WA MAZINGIRA
NA |
SHUGHURI ZILIZOPANGWA |
UTEKELEZAJI |
% YA UTEKELEZAJI |
FEDHA ILIYOKASIMIWA |
FEDHA ILIYOTOLEWA |
FEDHA ILIYOTUMIKA |
MAONI |
1
|
Kufanya vikao vya kila robo vya Kamati ya usimamizi wa maji na usafi wa mazingira (CWST) ya Halmashauri
|
Vikao vimefanyika robo ya pili na tatu
|
50
|
3,658,000.00 |
3,658,000.00 |
2,670,000.00
|
Kikao cha robo ya nne kitafanyika katika robo ya kwanza ya mwaka 2018/2019
|
2
|
Ufuatiliaji wa usafi wa mazingira kwenye maeneo yote kwa kila robo na taarifa zake.
|
Ufuatiliaji wa usafi wa mazingira kwenye vijiji vyote 56
|
100
|
10,838,100.00 |
10,838,100.00 |
10,053,900.00 |
Kazi imekamilika..
|
3
|
Kuwawezesha watumishi kuhudhuria vikao ngazi ya Mkoa kwa kila robo mwaka
|
Mtumishi alihudhuria kikao kimoja Mkoani Mbeya
|
100
|
503,900.00 |
503,900.00 |
340,000.00 |
Kazi imekamilika
|
JUMLA KUU
|
15,000,000.00 |
15,000,000.00 |
13,063,900.00 |
|
UJENZI WA VITUO VYA AFYA
JINA LA MRADI
|
SHUGHULI ZILIZOPANGWA |
UTEKELEZAJI |
% YA UTEK. |
FEDHA ILIYOKASIMIWA |
FEDHA ILIYOTOLEWA |
FEDHA ILIYOTUMIKA |
MAONI |
Ujenzi wa Kituo cha Afya cha Mpata
|
Ujenzi wa Jengo la Upasuaji, Maabara ,Wodi ya Wazazi,kuhifadhia maiti, kutakasia nguo, nyumba ya mtumishi,Jengo la wagonjwa wa ndani (IPD)na Ujenzi wa Jengo la wagonjwa wa nje (OPD)
|
Majengo ya Upasuaji, Maabara, kuhifadhia maiti, jengo la kutakasia nguo na nyumba ya mtumishi yapo hatua ya kupigwa lipu.
Jengo la wodi ya Wazazi lipo hatua ya ukamilishaji wa boma. Jengo la wagonjwa wa ndani(IPD) lipo hatua ya upauaji. |
68
|
500,000,000.00 |
500,000,000.00 |
229,566,595.00
|
Kazi inaendelea vizuri.
|
Ujenzi wa Kituo cha Afya cha Isange
|
Ujenzi wa Jengo la Upasuaji, Maabara,Wodi ya Wazazi, kuhifadhia maiti, kutakasia nguo na Ujenzi wa jengo la mionzi (x-ray)
|
Ujenzi upo hatua ya msingi katika majengo yote.
|
10
|
500,000,000.00 |
500,000,000.00 |
0
|
Kazi inaendelea vizuri
|
|
JUMLA KUU
|
|
|
1,000,000,000.00 |
1,000,000,000.00 |
229,566,595.00 |
|
TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MIRADI ILIYOVUKA MWAKA WA FEDHA 2016/2017
RUZUKU YA MIRADI YA MAENDELEO – LGCDG
JINA LA MRADI
|
SHUGHULI ZILIZOPANGWA
|
UTEKELEZAJI
|
% YA UTEKELEZAJI
|
FEDHA ILIYOVUKA MWAKA
|
FEDHA ILIYOTOLEWA
|
FEDHA ILIYOTUMIKA
|
MAONI
|
IDARA YA UTAWALA
|
|||||||
Kukamilisha mradi wa ujenzi wa jengo la utawala makao makuu ya Halmashauri
|
Kukamilisha mradi wa ujenzi wa jengo la utawala makao makuu ya Halmashauri
|
Janvi la msingi wa jengo limeshawekwa bado kujenga nguzo
|
20
|
316,684,804.00 |
316,684,804.00
|
285,364,357.00
|
Ujenzi umesimama lakini mchakato wa kumpata Mkandarasi mwingine ili aendelee na kazi unaendelea.
|
JUMLA MKUU
|
|
|
|
316,684,804.00 |
316,684,804.00
|
285,364,357.00
|
|
MRADI WA MAJI NA USAFI WA MAZINGIRA (RWSSP)
JINA LA MRADI
|
SHUGHULI ZILIZO PANGWA
|
UTEKELEZAJI
|
% YA UTEKELEZAJI
|
FEDHA ILIYOVUKA MWAKA
|
FEDHA ILIYO
TOLEWA |
FEDHA ILIYO
TUMIKA |
MAONI
|
Kujenga mradi wa maji Ilamba
|
Kujenga mradi wa maji Ilamba
|
Ujenzi wa uzio wa tenki pamoja na vituo sita (6) vya nyongeza umekamilika
|
100
|
102,485,314.16
|
102,485,314.16
|
68,932,500.00
|
Kazi imekamilika.
|
Kujenga mradi wa maji Kapyu
|
Kujenga mradi wa maji Kapyu
|
Upimaji na usanifu wa mradi umekamilika.
|
10
|
84,796,260.00
|
84,796,260.00
|
0
|
Kazi ipo hatua ya manunuzi
|
Kujenga mradi wa maji Kilimansanga
|
Kujenga mradi wa maji Kilimansanga
|
Upimaji na usanifu wa mradi umekamilika.
|
10
|
80,000,000.00
|
80,000,000.00
|
0
|
Kazi ipo hatua ya manunuzi
|
Kukarabati mradi wa maji Mbambo
|
Kukarabati mradi wa maji Mbambo
|
Kazi ya kufunga mabomba kutoka kwenye chanzo kuelekea kwenye Tenki imekamilika. Ujenzi wa uzio, vituo sita vya nyongeza vya maji, ukarabati wa chanzo na tenki utekelezaji wake uko hatua ya ununuzi wa vifaa.
|
48
|
16,328,480.00
|
16,328,480.00
|
6,592,000.00
|
Kazi inaendelea
|
Kusimamia miradi ya maji
|
Kusimamia miradi ya maji
|
Ufuatiliaji na usimamizi wa Miradi ya Maji unaendelea
|
75
|
19,101,655.09
|
26,291,655.09
|
26,291,655.09
|
Kazi inaendelea
|
JUMLA
|
|
315,794,774.25
|
314,924,774.25
|
101,816,155.09 |
|
Lwangwa, Tukuyu
Anuani ya Posta: S. L. P. 2, Tukuyu
Simu: +255 737 205 318
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@busokelodc.go.tz
Hakimiliki ©2019 Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo. Haki zote zimehifadhiwa.