Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo ina utajiri mkubwa wa maziwa ambayo yanaweza kutumika kwa ajili ya shughuli za uvuvi kwa ajili ya viwanda vya samaki. Maziwa hayo yana uwezo wa kuzalisha samaki kwa ajili ya matumizi na faida kwa ajili ya iashara. Miongoni mwa maziwa hayo ni Kyungululu, Kingili, Ilamba, Ikapu, Itamba na Itende. Uwekezaji unaoweza kufanywa katika maziwa hayo ni ufugaji samaki ambapo aina tofauti za samaki zinaweza kufugwa katika maziwa hayo.
NA
|
JINA LA KIKUNDI
|
KIJIJI
|
IDADI YA MABWAWA
|
AINA YA SAMAKI
|
1
|
Kikundi cha Ufugaji Samaki Kisegese
|
Kisegese
|
7
|
Kambale na Magege/Sato
|
2
|
Kikundi cha Ufugaji wa Samaki lupata
|
Lupata
|
7
|
Magege/Sato
|
MABWAWA YA WATU BINAFSI :
NA
|
KATA
|
IDADI YA MABWAWA YA SAMAKI
|
1
|
Kandete
|
14 |
2
|
Luteba
|
11 |
3
|
Mpombo
|
6 |
4
|
Isange
|
26 |
5
|
Lwangwa
|
6 |
6
|
Kabula
|
7 |
7
|
Lupata
|
21 |
8
|
Itete
|
9 |
9
|
Lufilyo
|
5 |
10
|
Kisegese
|
17 |
11
|
Mpata
|
5 |
Lwangwa, Tukuyu
Anuani ya Posta: S. L. P. 2, Tukuyu
Simu: +255 737 205 318
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@busokelodc.go.tz
Hakimiliki ©2019 Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo. Haki zote zimehifadhiwa.