Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo inategemea kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo katika babajeti ya mwaka wa fedha 2018/19 kama ifuatavyo:
AINA YA MRADI
|
KIASI CHA FEDHA
|
|
CHANZO
|
Ujenzi wa vizimba 3 vya kukusanyia taka katika kata ya Lwangwa, Ntaba na Kandete.
|
7,500,000.00
|
|
Mapato ya ndani
|
Mikopo ya Vijana, Wanawake na Walemavu
|
75,630,000.00
|
|
Mapato ya ndani
|
Ukamilishaji wa ujenzi wa jengo la Utawala la makao makuu ya Halmashauri
|
2,300,000,000.00
|
|
Fedha za miradi ya maendeleo kutoka Serikali kuu
|
Ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Busokelo
|
1,500,000,000.00
|
|
Fedha za miradi ya maendeleo kutoka Serikali kuu
|
Ujenzi wa skimu ya maji ya kijiji cha Ikamambande
|
176,000,000.00
|
|
NWSSP
|
Ukarabati wa mradi wa maji skimu ya Kabembe awamu ya kwanza.
|
110,520,000.00
|
|
NWSSP
|
Ukararabati wa mradi wa maji skimu ya Nswigala katika kijiji cha Lukasi
|
61,152,000.00
|
|
NWSSP
|
JUMLA
|
4,230,802,000.00
|
|
|
Lwangwa, Tukuyu
Anuani ya Posta: S. L. P. 2, Tukuyu
Simu: +255 737 205 318
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@busokelodc.go.tz
Hakimiliki ©2019 Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo. Haki zote zimehifadhiwa.