kushirikisha wadau tofauti katika maeneo husika ili kuongeza uchangiaji wa mawazo na/au nyenzo, usimamizi, uratibu na utekelezaji wa kazi za Tume za kudhibiti UKIMWI;
kusimamia uundaji wa Kamati zote za kudhibiti UKIMWI;
kupendekeza na kuchambua hali ya UKIMWI/Mipango na utekelezaji wake na kufikisha katika ngazi husuka kwa hatua zaidi;
kutathmini hali ya UKIMWI katika eneo lake kuhusu;
idadi ya waathirika: wagonjwa, yatima, wajane,
kasi ya maambukizo
mazingira Maalum yanayochangia maambukizo;
uelewa wa wananchi juu ya janga hili.
Kuwa na mipango madhubuti itakayoiwezesha Halmashauri kupata fedha kutoka serikalini.
kubuni na kupendekeza njia bora za kuzuia na kudhibiti magonjwa ya milipuko.