TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO KWA KIPINDI CHA ROBO YA NNE (APRILI – JUNI, 2018) MWAKA WA FEDHA 2017/18
RUZUKU YA MIRADI YA MAENDELEO – LGCDG
JINA LA MRADI
|
SHUGHULI ZILIZOPANGWA
|
UTEKELEZAJI
|
% YA UTEKELEZAJI
|
FEDHA ILIYOKASIMIWA
|
FEDHA ILIYOTOLEWA
|
FEDHA ILIYOTUMIKA
|
MAONI
|
|||
IDARA YA UTAWALA
|
||||||||||
Kukamilisha mradi wa ujenzi wa jengo la utawala makao makuu ya Halmashauri
|
Kukamilisha mradi wa ujenzi wa jengo la utawala makao makuu ya Halmashauri
|
Jamvi la msingi wa jengo limeshawekwa bado kujenga nguzo
|
20
|
700,000,000.00 |
700,000,000.00
|
0
|
Mchakato wa kumpata Mkandarasi atakaeendelea na ujenzi unaendelea
|
|||
JUMLA NDOGO
|
|
|
765,478,400.00
|
700,000,000.00
|
0
|
|
||||
JUMLA–CDG
|
|
|
|
1,509,610,300.00
|
700,000,000.00
|
0
|
|
|||
JUMLA CBG
|
|
|
|
89,956,700.00
|
0
|
0
|
|
|||
JUMLA KUU CDG+CBG
|
|
|
|
1,599,567,000.00
|
700,000,000.00
|
|
|
|||
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
PROGRAMU YA MAJI VIJIJINI – RWSSP
JINA LA MRADI
|
SHUGHULI ZILIZOPANGWA
|
UTEKELEZAJI
|
% YA UTEKELEZAJI
|
FEDHA ILIYO KASIMIWA
|
FEDHA ILIYO TOLEWA
|
FEDHA ILIYO TUMIKA
|
MAONI
|
Ujenzi wa mradi wa maji katika kijiji cha Kitema
|
Ujenzi wa mradi wa maji katika kijiji cha Kitema
|
Upimaji na Usanifu umekamilika
|
10
|
82,877,550.00 |
0
|
0
|
Kazi ipo hatua ya manunuzi ya kumpata Mkandarasi
|
Ujenzi wa mradi wa maji katika kijiji cha Mpata
|
Ujenzi wa mradi wa maji katika kijiji cha Mpata
|
Upimaji na Usanifu umekamilika
|
10
|
88,965,120.00 |
0
|
0
|
Kazi ipo hatua ya manunuzi.
|
Kufanya Usanifu,ufuatiliaji na usimamizi wa utekelezaji wa miradi ya maji
|
Kufanya Usanifu,ufuatiliaji na usimamizi wa utekelezaji wa miradi ya maji
|
Kazi ya Ukaguzi wa miradi ya maji imefanyika
|
25
|
40,732,921.5 |
35,687,271.5
|
11,378,000.00
|
Kazi inaendelea
|
Ujenzi wa mradi wa maji katika kijiji cha Kanyelele
|
Ujenzi wa mradi wa maji katika kijiji cha Kanyelele
|
Upimaji na Usanifu umekamilika
|
4
|
128,852,680.00 |
0
|
0
|
Kazi ipo hatua ya manunuzi
|
Ukarabati wa vituo vya kuchotea maji (DPs)na mtandao wa maji katika vijiji vya Lusungo- Vituo 4, Kandete vituo 3 na Mwela vituo 4
|
Ukarabati wa vituo vya kuchotea maji (DPs)na mtandao wa maji katika vijiji vya Lusungo- Vituo 4 na Kandete vituo 3 na Mwela vituo 4
|
Utekelezaji bado haujaanza
|
0
|
7,829,453.85 |
7,829,453.85
|
0
|
Kazi bado haijaanza
|
Kukarabati mtandao wa maji kijiji cha Mpunguti, Itebe, Luteba na Kilasi
|
Kukarabati mtandao wa maji kijiji cha Mpunguti, Itebe, Luteba na Kilasi
|
Utekelezaji bado haujaanza
|
0
|
38,215,084.65 |
38,215,084.65
|
0
|
Kazi bado haijaanza
|
Kujenga chanzo mradi wa Maji wa Nswesi
|
Kujenga chanzo mradi wa Maji wa Nswesi
|
Utekelezaji bado haujaanza
|
0
|
7,400,000.00 |
7,400,000.00
|
0
|
Kazi bado haijaanza
|
Kujenga mfumo wa kuhifadhi maji katika choo cha Soko la Ntangasale
|
Kujenga mfumo wa kuhifadhi maji katika choo cha Soko la Ntangasale
|
Utekelezaji bado haujaanza
|
0
|
1,450,000.00 |
1,450,000.00
|
0
|
Kazi bado haijaanza
|
JUMLA KUU
|
|
|
|
396,322,810.00
|
90,581,810.00
|
11,378,000.00
|
|
MFUKO WA JIMBO (CDCF)
JINA LA MRADI
|
SHUGHULI ZILIZOPANGWA
|
UTEKELEZAJI
|
% YA UTEKELEZAJI
|
FEDHA ILIYOKASIMIWA
|
FEDHA ILIYOTOLEWA
|
FEDHA ILIYOTUMIKA
|
MAONI
|
Kuziwezesha kata kukamilisha miradi mbalimbali kwa fedha za mfuko wa kuchochea maendeleo ya jimbo ifikapo Juni,2018.
|
Kuziwezesha kata kukamilisha miradi mbalimbali kwa fedha za mfuko wa kuchochea maendeleo ya jimbo ifikapo Juni,2018.
|
Utekelezaji wa miradi katika ngazi ya vijiji na Kata umeshaanza.
|
50
|
40,137,000.00
|
40,137,000.00
|
40,137,000.00
|
Kazi zinaendelea.
|
JUMLA KUU
|
|
|
|
40,137,000.00
|
40,137,000.00
|
40,137,000.00
|
|
MIRADI YA EP4R (ELIMU MSINGI)
JINA LA MRADI
|
SHUGHULI ZILIZOPANGWA
|
UTEKELEZAJI
|
% YA UTEKELEZAJI
|
FEDHA ILIYOKASIMIWA
|
FEDHA ILIYOTOLEWA
|
FEDHA ILIYOTUMIKA
|
MAONI
|
Ukamilishaji wa vyumba 2 vya madarasa katika shule ya Msingi Lukasi
|
Ukamilishaji wa vyumba 2 vya madarasa katika shule ya Msingi Lukasi
|
Ujenzi upo hatua ya upauaji
|
60
|
8,064,324.33
|
8,064,324.33
|
0
|
Kazi inaendelea kwa nguvu za wananchi
|
Ukamilishaji wa chumba cha darasa kimoja katika shule ya Msingi Kasanga
|
Ukamilishaji wa chumba cha darasa kimoja katika shule ya Msingi Kasanga
|
Ujenzi umeanza upo katika hatua ya Msingi
|
10
|
20,000,000.00 |
20,000,000.00
|
0
|
Kazi inaendelea kwa nguvu za wananchi
|
|
JUMLA KUU
|
|
|
52,043,500.98 |
52,043,500.98
|
23,979,176.65
|
|
MIRADI YA EP4R (ELIMU SEKONDARI)
JINA LA MRADI
|
SHUGHULI ZILIZOPANGWA
|
UTEKELEZAJI
|
% YA UTEKELEZAJI
|
FEDHA ILIYOKASIMIWA
|
FEDHA ILIYOTOLEWA
|
FEDHA ILIYOTUMIKA
|
MAONI
|
Ukamilishaji wa vyumba 2 vya madarasa katika shule ya sekondari Luteba
|
Ukamilishaji wa vyumba 2 vya madarasa katika shule ya sekondari Luteba
|
Utekelzaji bado haujaanza .
|
0
|
7,494,406.44 |
7,494,406.44 |
0
|
Fedha zimeshapelekwa shule.
|
Ukamilishaji wa maabara za Fizikia katika shule za sekondari 8 za Luteba,Mbigili,Mzalendo,Ikapu,Selya,Kisegese,Mpata na Kyejo
|
Ukamilishaji wa maabara za Fizikia katika shule za sekondari 8 za Luteba,Mbigili,Mzalendo,Ikapu,Selya,Kisegese,Mpata na Kyejo
|
Utekelezaji bado haujaanza
|
0
|
26,765,737.29 |
26,765,737.29
|
0
|
Utaratibu wa kutafuta mafundi unaendelea.
|
|
|
JUMLA KUU
|
|
37,234,114.54 |
37,234,114.54
|
2,973,970.81
|
|
UJENZI WA VITUO VYA AFYA
JINA LA MRADI
|
SHUGHULI ZILIZOPANGWA |
UTEKELEZAJI |
% YA UTEK. |
FEDHA ILIYOKASIMIWA |
FEDHA ILIYOTOLEWA |
FEDHA ILIYOTUMIKA |
MAONI |
Ujenzi wa Kituo cha Afya cha Mpata
|
Ujenzi wa Jengo la Upasuaji, Maabara ,Wodi ya Wazazi,kuhifadhia maiti, kutakasia nguo, nyumba ya mtumishi,Jengo la wagonjwa wa ndani (IPD)na Ujenzi wa Jengo la wagonjwa wa nje (OPD)
|
Majengo ya Upasuaji, Maabara, kuhifadhia maiti, jengo la kutakasia nguo na nyumba ya mtumishi yapo hatua ya kupigwa lipu.
Jengo la wodi ya Wazazi lipo hatua ya ukamilishaji wa boma. Jengo la wagonjwa wa ndani(IPD) lipo hatua ya upauaji. |
68
|
500,000,000.00 |
500,000,000.00 |
229,566,595.00
|
Kazi inaendelea vizuri.
|
Ujenzi wa Kituo cha Afya cha Isange
|
Ujenzi wa Jengo la Upasuaji, Maabara,Wodi ya Wazazi, kuhifadhia maiti, kutakasia nguo na Ujenzi wa jengo la mionzi (x-ray)
|
Ujenzi upo hatua ya msingi katika majengo yote.
|
10
|
500,000,000.00 |
500,000,000.00 |
0
|
Kazi inaendelea vizuri
|
|
JUMLA KUU
|
|
|
1,000,000,000.00 |
1,000,000,000.00 |
229,566,595.00 |
|
TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MIRADI ILIYOVUKA MWAKA WA FEDHA 2016/2017
RUZUKU YA MIRADI YA MAENDELEO – LGCDG
JINA LA MRADI
|
SHUGHULI ZILIZOPANGWA
|
UTEKELEZAJI
|
% YA UTEKELEZAJI
|
FEDHA ILIYOVUKA MWAKA
|
FEDHA ILIYOTOLEWA
|
FEDHA ILIYOTUMIKA
|
MAONI
|
IDARA YA UTAWALA
|
|||||||
Kukamilisha mradi wa ujenzi wa jengo la utawala makao makuu ya Halmashauri
|
Kukamilisha mradi wa ujenzi wa jengo la utawala makao makuu ya Halmashauri
|
Janvi la msingi wa jengo limeshawekwa bado kujenga nguzo
|
20
|
316,684,804.00 |
316,684,804.00
|
285,364,357.00
|
Ujenzi umesimama lakini mchakato wa kumpata Mkandarasi mwingine ili aendelee na kazi unaendelea.
|
JUMLA MKUU
|
|
|
|
316,684,804.00 |
316,684,804.00
|
285,364,357.00
|
|
MRADI WA MAJI NA USAFI WA MAZINGIRA (RWSSP)
JINA LA MRADI
|
SHUGHULI ZILIZO PANGWA
|
UTEKELEZAJI
|
% YA UTEKELEZAJI
|
FEDHA ILIYOVUKA MWAKA
|
FEDHA ILIYO
TOLEWA |
FEDHA ILIYO
TUMIKA |
MAONI
|
Kujenga mradi wa maji Kapyu
|
Kujenga mradi wa maji Kapyu
|
Upimaji na usanifu wa mradi umekamilika.
|
10
|
84,796,260.00
|
84,796,260.00
|
0
|
Kazi ipo hatua ya manunuzi
|
Kujenga mradi wa maji Kilimansanga
|
Kujenga mradi wa maji Kilimansanga
|
Upimaji na usanifu wa mradi umekamilika.
|
10
|
80,000,000.00
|
80,000,000.00
|
0
|
Kazi ipo hatua ya manunuzi
|
Kukarabati mradi wa maji Kasyabone
|
Kukarabati mradi wa maji Kasyabone
|
Vifaa kwa ajili ya ukarabati wa chanzo cha Maji cha Kasyabone vimeshanunuliwa.
|
0
|
10,047,825.00
|
1,987,825.00
|
0
|
Kazi bado haijaanza inategemewa kuanza katika mwezi Julai.
|
Kukarabati mradi wa maji Mbambo
|
Kukarabati mradi wa maji Mbambo
|
Kazi ya kufunga mabomba kutoka kwenye chanzo kuelekea kwenye Tenki imekamilika. Ujenzi wa uzio, vituo sita vya nyongeza vya maji, ukarabati wa chanzo na tenki utekelezaji wake uko hatua ya ununuzi wa vifaa.
|
48
|
16,328,480.00
|
16,328,480.00
|
6,592,000.00
|
Kazi inaendelea
|
Kusimamia miradi ya maji
|
Kusimamia miradi ya maji
|
Ufuatiliaji na usimamizi wa Miradi ya Maji unaendelea
|
75
|
19,101,655.09
|
26,291,655.09
|
26,291,655.09
|
Kazi inaendelea
|
Ukarabati wa vituo vya kuchotea maji
|
Ukarabati wa vituo 4 vya kuchotea maji Kandete na kukarabati mfumo wa maji wa Ofisi kuu ya Halmashauri ya Wilaya
|
Maandalizi ya kuanza ukarabati wa miradi unaendelea
|
0
|
3,035,240.00
|
3,035,240.00
|
0
|
Utekelezaji utafanyika robo y kwanza 2018/2019
|
JUMLA
|
|
315,794,774.25
|
314,924,774.25
|
101,816,155.09 |
|
Lwangwa, Tukuyu
Anuani ya Posta: S. L. P. 2, Tukuyu
Simu: +255 737 205 318
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@busokelodc.go.tz
Hakimiliki ©2019 Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo. Haki zote zimehifadhiwa.