Sunday 29th, January 2023
@Ntaba, Kambasegela, Lwangwa, Kabula, Mpombo na Kandete
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Busokelo anawatangazia Wananchi wote kuwa kutakuwa na kampeni ya kuhamasisha ujenzi wa vyoo bora kwenye kaya na taasisi. Uhamasishaji huo utafanywa na msanii wa utamaduni Mrisho Mpoto kwa kushirikiana na kundi lake la burudani katika kata sita (6) za Busokelo.
Lwangwa, Tukuyu
Anuani ya Posta: S. L. P. 2, Tukuyu
Simu: +255 737 205 318
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@busokelodc.go.tz
Hakimiliki ©2019 Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo. Haki zote zimehifadhiwa.