• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua ya Pepe |
Busokelo District Council
Busokelo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango na Takwimu
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Usafishaji na Mazingira
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Ujenzi na Zima moto
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Ufugaji Nyuki
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Utawala na Mipango
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Elimu Afya na Maji
      • Kamati ya kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MAADHIMISHO YA SIKU YA LISHE HALMASHAURI YA WILAYA YA BUSOKELO

Tuesday 13th, May 2025
@KIJIJI CHA LUKASI KATA YA LWANGWA

Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Busokelo akitoa neno juu ya maadhimisho ya siku ya Afya na lishe katika kijiji cha lukasi kilichopo Halmashauri ya Busokelo kata ya lwangwa.  

Kaimu huyo aliambatana na kamati ya lishe wilaya  ili kujionea shughuli zinazofanyika katika siku hii aidha Kaimu huyu alisisitiza wananchi kua kuweza kuhudhuria siku hii ili kujipatia Elimu ya lishe na Afya kiujumla.

Kaimu Mkurugenzi pia aliomba wananchi wa walukasi kuhakikisha wanachangia vyakula shuleni ili watoto waweze kupata chakula shuleni na hivyo kuinua Taaluma yao kiujumla.

Wakati huo Afisa lishe Busokelo Bi Mwanahawa Ntandu alisisitiza mlo kamili kwa kufuata makundi matano ya chakula na pia aliwaomba wananchi kwa pamoja kutokomeza udumavu kwa kua makini katika siku 1000 ambazo zinaanzia kipindi mama akiwa mjamzito hadi miaka miwili ya mtoto.

Siku hizi 1000 ni muhimu katika ukuaji na maendeleo ya mtoto kiujumla .

Pia alitoa wito kwa wale wanaokosa siku hii kwani hukosa siku muhimu na  huduma zitolewa siku hii ni Elimu ya lishe, Elimu ya bustani jiko na ufugaji wa wanyama wadogo wadogo , elimu ya usafi , maendeleo na ustawi wa jamii lakini pia upimaji wa hali za lishe, ugawaji matone ya vitamini A na dawa za minyoo pamoja dawa za kuongeza wekundu wa damu kwa kina Mama.

Upikaji wa vyakula mchanganyiko kwa watoto ambao utahusisha makundi mbalimbali ya chakula .

Hivyo alisisitiza ni siku isiyo yakukosa kwa jinsia zote.


Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA USAILI WA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA. December 09, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA AJIRA YA MKATABA October 20, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI MOJA YA AJIRA April 11, 2023
  • TANGAZO LA UKODISHAJI MAGHALA YA KUHIFADHIA KOKOA June 05, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • ELIMU YAHATUA ZA KUWASILISHA MALALAMIKO KWA WATUMIAJI WA TAASISI ZA KIFEDHA.

    March 21, 2025
  • WANANCHI KATA YA LUFILYO WAFIKIWA NA NISHATI SAFI YA KUPIKIA.

    March 10, 2025
  • DC HANIU ATEMBELEA KALAKANA ZILIZOPO CHUO CHA VETA BUSOKELO

    March 01, 2025
  • WADAU WA VYAMA VYA SIASA BUSOKELO KUHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.

    December 21, 2024
  • Angalia zote

Video

Mkurugenzi atoa hamasa ya chakula kwa watoto mashuleni
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Watumishi Portal
  • Hati ya Mshahara
  • Orodha ya Madiwani
  • Maktaba ya Picha

Viunganishi Linganifu

  • Utumishi wa Umma
  • TAMISEMI
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya Rais
  • Tovuti ya Mkoa wa Mbeya
  • Sekretarieti ya Ajira

Kipimo cha Wateja duniani

world map hits counter

Wateja waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Lwangwa, Tukuyu

    Anuani ya Posta: S. L. P. 2, Tukuyu

    Simu: +255 737 205 318

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@busokelodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2019 Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo. Haki zote zimehifadhiwa.