Nishati Safi ya Kupikia imewafikia Wananchi wa Kata ya Lufilyo siku leo Jumatatu 10/03/2025
Serikali ya Mhe.Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan inaendelea kuwezesha upatikanaji wa Nishati Safi ya Kupikia kwa Wananchi ili kuendelea kutunza Mazingira na kukabilia na Mabadiliko ya Tabianchi.
Kila Mwananchi atapatiwa Mtungi mmoja wa Gesi ya kupikia akiwa na kitambulisho chake Cha Taifa ( NIDA) pamoja shilingi Elfu Ishirini (20,000/=) za Kitanzania.
Lwangwa, Tukuyu
Anuani ya Posta: S. L. P. 2, Tukuyu
Simu: +255 737 205 318
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@busokelodc.go.tz
Hakimiliki ©2019 Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo. Haki zote zimehifadhiwa.