• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua ya Pepe |
Busokelo District Council
Busokelo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango na Takwimu
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maji
      • Usafishaji na Mazingira
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Ujenzi na Zima moto
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Ufugaji Nyuki
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Utawala na Mipango
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Elimu Afya na Maji
      • Kamati ya kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba ya vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti
    • Fomu za Maombi
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

DED BUSOKELO AAGIZA MRADI WA VYOO KATIKA SHULE MSINGI IKAPU UKAMILIKE IFIKAPO JUNI 29 2024

Imewekwa tarehe: June 25th, 2024

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo Bi Loema Peter  ametaka mradi wa ujenzi wa matundu 6 ya vyoo katika shule ya msingi Ikapu iliyo katika Kata ya Kambasegera ukamilike ifikapo siku ya Jumamosi  29/06/2024.

Bi. Loema ametoa agizo hilo leo tarehe 25/06/2024 akiwa katika ziara ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo.

Mradi wa ujenzi wa matundu 6 ya vyoo katika shule msingi Ikapu  umehusisha nguvu za Wananchi, na Serikali imewezesha ukamalishaji wa mradi huo Kwa gharama ya shilingi milioni 6 na laki nne( 6400,000/=).

Bi.Loema alipongeza  juhudi zilizooneshwa na kamati ya Ujenzi shuleni hapo katika usimamizi wa mradi huo, na kuitaka Kamati hiyo kuendelea kumpa ushirikiano fundi anae jenga vyoo hivyo vikamilike katika ubora unaotakiwa ifikapo tarehe 29/06/2024  ili Wanafunzi waweze kuvitumia vyoo hivyo pindi shule zitakapo funguliwa .

Hadi hivi sasa fundi anejenga vyoo hivyo yupo katika hatua za mwisho za ukamilishaji mradio ambapo anaendelea na kazi za ukamilishaji ambazo ni pamoja na uwekaji wa tailis katika vyoo hivyo na amehahidi  kukamilisha na kuikabidhi kazi hiyo katika tarehe iliyopangwa .


Katika ZIARA hiyo Mkurugenzi  Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo aliongozana na  Mkuu wa Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi, Mkuu wa Divisheni ya Mipango na Uratibu, Mhandishi wa Halmashauri pamoja na Kaimu Mkuu wa Divisheni ya Elimu Sekondari Halmashauri ya Wilaya Busokelo.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA USAILI WA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA. December 09, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA AJIRA YA MKATABA October 20, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI MOJA YA AJIRA April 11, 2023
  • TANGAZO LA UKODISHAJI MAGHALA YA KUHIFADHIA KOKOA June 05, 2024
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MHE. HOMERA AHIMIZA USHIRIKIANO WA WANANCHI NA SERIKALI UTEKELEZAJI MIRADI YA MAENDELEO.

    June 11, 2025
  • KIDELI SASA BASI, CHANJO YA KUKU YA YAZINDULIWA RASMI BUSOKELO.

    June 09, 2025
  • MAFANIKIO SEKTA YA KILIMO HALMASHAURI YA BUSOKELO MWAKA 2024/2025.

    June 06, 2025
  • KAMPUNI YA UJENZI WA BARABARA YA CHINA ROADS AND BRIDGE CO-OPERATION YASAINI MKATABA WA KUWA MPANGAJI KATIKA MAKAMBI YA MBAMBO.

    May 29, 2025
  • Angalia zote

Video

Mkurugenzi atoa hamasa ya chakula kwa watoto mashuleni
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Watumishi Portal
  • Hati ya Mshahara
  • Orodha ya Madiwani
  • Maktaba ya Picha

Viunganishi Linganifu

  • Utumishi wa Umma
  • TAMISEMI
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya Rais
  • Tovuti ya Mkoa wa Mbeya
  • Sekretarieti ya Ajira

Kipimo cha Wateja duniani

world map hits counter

Wateja waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Lwangwa, Tukuyu

    Anuani ya Posta: S. L. P. 2, Tukuyu

    Simu: +255 737 205 318

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@busokelodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki ©2019 Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo. Haki zote zimehifadhiwa.