Mkuu Wilaya ya Rungwe Mhe.Haffar Haniu( wanne kutoka kushoto) akikagua usahihi wa vipimo vya mashimo ya vyoo na mifumo ya majitaka katika ujenzi wa mradi wa Zahanati ya Kijiji cha Ijoka Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo.
Leo 24/06/2024.
Kukamilika Kwa Zahanati hii kunatarajiwa kurahisisha upatikanaji wa huduma za matibabu kwa Wanakijiji wa Ijoka.
Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Dkt.Samia Suluhu Hassan imewezesha ujenzi wa zanahati hiyo kwa gharama ya shilingi milioni 70 ili kuwasogezea karibu huduma za matibabu Wananchi.
Lwangwa, Tukuyu
Anuani ya Posta: S. L. P. 2, Tukuyu
Simu: +255 737 205 318
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@busokelodc.go.tz
Hakimiliki ©2019 Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo. Haki zote zimehifadhiwa.