Mkuu wa Wilaya ya Rungwe Mhe.Jaffar Haniu @jaffarhaniu amepiga marufuku kuendesha shughuli za kilimo kando kando ya vyanzo vya maji ili kuendeleza uhifadhi wa mazingira .
I
Mhe.Haniu ametoa agizo hilo leo 24/05/2024 alipotembelea na kukagua miradi wa chanzo cha maji Ipelo uliyoko katika Kata ya Kandete Halmshauri ya Wilaya ya Busokelo.
Akiongozana na Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Rungwe , Mhe.Haniu alimtaka Meneja wa RUWASA pamoja na uongozi wa kata ya Kandete kuhakikisha kuwa vyanzo vya maji vinatunzwa vizuri bila kuruhusu uendeshaji wa shulughuli zingine za kibinadamu karibu vyanzo vya maji kama shughuli za kilimo na ufigaji kwani shughuli hizo huathiri sauala zima la uendelezwaji na uhifadhi wa vyanzo maji.
Lwangwa, Tukuyu
Anuani ya Posta: S. L. P. 2, Tukuyu
Simu: +255 737 205 318
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@busokelodc.go.tz
Hakimiliki ©2019 Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo. Haki zote zimehifadhiwa.