"Maafisa Habari na TEHAMA wengi wanakabiliwa na changamotoya kutokuwa na Vitendea kazi ikiwa ni pamoja na Kamera, Kompyuta pamoja naupatikanaji wa Mtandao (Internet). Kuwa na Vitendea kazi kutawawezeshakuendesha Tovuti hizi kwa ufanisi mkubwa".
Hayo yamesemwa na Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, William Ntinikawakati wa kufunga Mafunzo ya Usimamizi na Uendeshaji wa Tovuti za Serikalisambab\mba na Kuzindua Tovuti hizo kwa Maafisa Habari na TEHAMA wa Mikoa yaMbeya, Songwe, Njombe na Rukwa katika hafla iliyofanyika katika Ukumbi waTughimbe jijini Mbeya, ambapo alimuakilisha Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla.
Hata hivyo Mkuu huyo wa Wilaya, aliiomba Wizara ya TAMISEMIkuhakikisha kuwa Halmashauri zote zinakuwa na Maafisa Habari kwani baadhi yaHalmashauri zina Afisa TEHAMA pekee jambo litakuwa vigumu kuendesha Tovuti.
Lwangwa, Tukuyu
Anuani ya Posta: S. L. P. 2, Tukuyu
Simu: +255 737 205 318
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@busokelodc.go.tz
Hakimiliki ©2019 Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo. Haki zote zimehifadhiwa.