Afisa TEHAMA Mkoa wa Mbeya Bwana Frank Choka akitoa elimu kuhusu namna kutumia Mfumo wa mpya wa Manunuzi ya Umma Nest Kwa Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo, leo 24/08/2023 katika Ukumbi wa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya.
Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo wakiwa katika mafunzo ya kutumia Mfumo wa Manununzi ya Umma kwa njia ya Mtandao NeST yanayoendelea katika kwa Halmashauri 7 za Mkoa Mbeya katika Ukumbi wa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya.
Siku ya pili(2) Watumishi mbalimbali wa Halmashauri za Mkoa wa Mbeya wakishiriki Mafunzo ya matumizi ya Mfumo wa Manunuzi ya Umma kwa njia mtandao yanayoendelea katika ukumbi wa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya
Lwangwa, Tukuyu
Anuani ya Posta: S. L. P. 2, Tukuyu
Simu: +255 737 205 318
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@busokelodc.go.tz
Hakimiliki ©2019 Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo. Haki zote zimehifadhiwa.