Imewekwa tarehe: October 3rd, 2018
Uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo jana, umekabidhi pikipiki 13 kwa Waratibu wa elimu kata za Busokelo.
Akikabidhi pikipiki hizo zilizotolewa na Serikali kupitia mradi wa LANES ambayo ina...
Imewekwa tarehe: September 12th, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mhe. Albert Chalamila amewaasa watumishi wa Halmashauri ya Busokelo kutojihusisha na siasa zinazokinzana na mipango ya Serikali ‘domokrasia’.
Ameyaongea hayo leo mjini Lwangw...
Imewekwa tarehe: August 24th, 2018
Uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo umeingia makubalianao na Kampuni ya Ujenzi ya Mzinga kwa kusaini mkataba wa ujenzi wa jengo la utawala la Halmashauri ya Busokelo.
Makubaliano hayo yame...