Imewekwa tarehe: June 12th, 2024
Shule ya Msingi Lupata ilipokea shilingi Milioni 90,kutoka Serikali kuu kwa ajili ya ukarabati wa miundombinu shuleni hapo ambayo ni ,vyumba vinne vya madarasa na ofisi mbili.
...
Imewekwa tarehe: June 10th, 2024
BUSOKELO YANG'ARA MASHINDANO YA UMiSSETA NGAZI YA MKOA 2024.
Halmashauri ya Wilaya Busokelo imeng'ara kwa kufanya vizuri katika mashindo ya UMiSSETA ngazi ya Mkoa na...
Imewekwa tarehe: June 5th, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe.Juma Zuberi Homera ameridhishwa na utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo.
Mhe.Homera leo 05/06/2024 amefany...