Imewekwa tarehe: April 15th, 2023
Leo tarehe 15.4.2023,baada ya Kamati ya Halmashauri ya Mradi wa Boost kutoa elimu kwa Wananchi juu ya ujeo wa fedha za ujenzi wa madarasa kwa nyakati tofauti katika Halmashauri ya wilaya ya Busokelo. ...
Imewekwa tarehe: April 4th, 2023
Kamati ya BOOST YA HALMASHAURI, Leo tarehe 04.04.2023 imekutana na viongozi wa kata, vijiji na Shule kwa maeneo yaliyopata miradi na kuwajulisha kiasi cha fedha zilizopokelewa pamoja na taratibu, muda...